Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Usajili wa pikipiki, bajaji unahitaji umakini

Hatua ya Serikali ya kuweka mfumo mpya wa usajili wa namba za pikipiki na bajaji ni ya kupongeza ingawa imekuja ikiwa imechelewa. 

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Magari yaua dereva wa bajaji, pikipiki

DEREVA wa bajaj, Frank Satrun (26), mkazi wa Mikocheni jijini Dar es Salaam, amefariki dunia juzi baada ya kugongwa na gari. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kinondoni, Camillius Wambura, alisema...

 

11 years ago

Tanzania Daima

NMB: Watanzania changamkieni mikopo ya pikipiki, bajaji

BENKI ya NMB imewataka Watanzania kuchangamkia mkopo wa pikipiki na bajaji, ili kupata nafuu ya usafiri na  kuweza kujiajiri kwa kutumia usafiri huo. Ofisa Mikopo wa benki hiyo, Donatila Wapalila,...

 

11 years ago

Michuzi

walemavu watatu Ruangwa wakabidhiwa pikipiki aina ya bajaji toka kwa JK

Na Abdulaziz Video, Ruangwa   Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amekabidhi pikipiki aina ya bajaj kwa walemavu watatu katika shughuli fupi iliyofanyika katika Kata ya Mandawa wilayani Ruangwa mkoani Lindi  Shughuli ya makabidhiano inatimiza ahadi ambayo Mheshimiwa Rais aliitoa kwa walemavu hao watatu ili kufuatia ahadi aliyooitoa Mwishoni mwa mwaka jana alipokutana nao alipokuwa katika ziara yake mkoani humo kukagua shughuli za...

 

11 years ago

Michuzi

MTEMVU AKABIDHI MIKOPO YA MAGARI, BAJAJI, PIKIPIKI NA FEDHA TASLIMU KWA VIKOBA TEMEKE

 Mbunge wa Jimbo la Temeke, Abbas Mtemvu akimkabidhi ufunguo wa gari aina ya Noah katibu Mkuu wa Saccos ya Tujikwamue ya Chang'ombe, Dar es Salaam, Itika  Mwankenja katika hafla ya Taasisi ya PFT ya kukabidhi mikopo ya magari, bajaji, pikipiki na fedha kwa vicoba mbalimbali, Temeke, Dar es Salaam juzi. Mtemvu ni Mwenyekiti wa Taasisi hiyo.PICHA ZOTE NA KAMANDA WA MATUKIO BLOG  Itika akiangalia wakati Mtemvu akiliwasha gari hilo.  Mtemvu akikabidhi mkopo wa bajaji kwa moja ya wana vicoba

 

10 years ago

Mwananchi

Waomba muda wa usajili pikipiki uongezwe

>Madereva wa pikipiki maarufu kama bodaboda mjini hapa, wameitaka Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), kuongeza muda wa kusajili namba mpya kwani muda uliowekwa kisheria hautoshi.

 

11 years ago

Michuzi

Kamata kamata ya bodaboda na bajaji katikati ya jiji la Dar na utaratibu kulipia kibali maalum kwa pikipiki binafsi

ZOEZI la kupiga marufuku bodaboda na bajaji zinazofanya biashara katikati ya Jiji la Dar es Salaam limegeuka biashara kwa Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam hasa kwa watumiaji wa pikipiki hizo kwa ajili ya usafiri binafsi wa kawaida kwenda na kurudi kazini, pamoja na makampuni yanayotumia chombo hicho cha usafiri.
Halmashauri ya jiji sasa imeanza kuwatoza watu binafsi na makampuni yanayotumia chombo hicho shilingi 500 kwa siku kila bodaboda inapoingia mjini wakidai ni tozo ya...

 

9 years ago

Michuzi

TRA YAONGEZA MWEZI MMOJA USAJILI WA PIKIPIKI

Na Raymond Mushumbusi MAELEZO
Mamlaka ya Mapato ya Tanzania (TRA) imesema imeongeza muda kwa usajili  wa vyombo vya usafiri vya Pikipiki za magurudumu mawili na matatu mpaka  Februari Mosi mwaka 2016.
Hayo yamesemwa leo na Kaimu Kamishna Mkuu wa Mamlaka hiyo Alphayo Kidata alipokuwa akizungumza na waandishi wa Habari katika kikao chake cha kutoa taarifa kwa umma juu ya ukusanyaji wa kodi, Kaimu Kamishna Mkuu amesema wameamua kuongeza muda wa zoezi la usajili wa pikipiki ili kuiwapa nafasi wale...

 

10 years ago

Mwananchi

Usajili mpya wa pikipiki kuanza Oktoba Mosi

Serikali kupitia Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) inakusudia kudhibiti matukio ya uhalifu yanayohusisha vyombo vya moto kwa kutangaza usajili mpya wa namba za pikipiki za aina zote, zikiwamo bodaboda na bajaji.

 

9 years ago

MillardAyo

Matatu kutoka TRA >>>makusanyo ya kodi yaliyofikiwa, usajili wa pikipiki, walioshindwa kulipa kodi…

Mipango ya Rais Magufuli kuendelea kupambana na wabadhirifu wa mapato ya Serikali yameendeela kuchukua sura mpya. Kupitia Mamlaka ya Mapato TRA Rais aliweza kufanya mabadiliko makubwa ikiwa ni pamoja na kuwaondoa watendaji ambao walihusika katika upotevu wa fedha za umma pamoja na kuwabana wakwepa kodi ambao ni wafanyabiashara wakubwa. Kingine kilichonifikia leo kutoa  kutoka kwa […]

The post Matatu kutoka TRA >>>makusanyo ya kodi yaliyofikiwa, usajili wa pikipiki, walioshindwa kulipa kodi…...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani