TRA YAONGEZA MWEZI MMOJA USAJILI WA PIKIPIKI
Na Raymond Mushumbusi MAELEZO
Mamlaka ya Mapato ya Tanzania (TRA) imesema imeongeza muda kwa usajili wa vyombo vya usafiri vya Pikipiki za magurudumu mawili na matatu mpaka Februari Mosi mwaka 2016.
Hayo yamesemwa leo na Kaimu Kamishna Mkuu wa Mamlaka hiyo Alphayo Kidata alipokuwa akizungumza na waandishi wa Habari katika kikao chake cha kutoa taarifa kwa umma juu ya ukusanyaji wa kodi, Kaimu Kamishna Mkuu amesema wameamua kuongeza muda wa zoezi la usajili wa pikipiki ili kuiwapa nafasi wale...
Michuzi
Habari Zinazoendana
9 years ago
Global Publishers17 Dec
Rais Magufuli Aipongeza TRA Kukusanya Trilioni 1.3 kwa Mwezi Mmoja
Rais Dkt John Pombe Magufuli.
Rais Magufuli amempongeza Kaimu Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania Dkt. Philip Mpango kwa kazi nzuri ya ukusanyaji wa mapato inayofanywa na mamlaka hiyo ambayo imeongeza ukusanyaji wa Mapato na kwa mara ya kwanza mwezi huu ukusanyaji wa mapato hayo unatarajiwa kuwa zaidi ya shilingi trilioni 1.3
Kutokana na mafanikio hayo amewahakikishia watanzania kuwa fedha kwa ajili ya kutimiza ahadi ya kutoa elimu bure kwa shule za msingi na sekondari ambazo ni...
9 years ago
MillardAyo06 Jan
Matatu kutoka TRA >>>makusanyo ya kodi yaliyofikiwa, usajili wa pikipiki, walioshindwa kulipa kodi…
Mipango ya Rais Magufuli kuendelea kupambana na wabadhirifu wa mapato ya Serikali yameendeela kuchukua sura mpya. Kupitia Mamlaka ya Mapato TRA Rais aliweza kufanya mabadiliko makubwa ikiwa ni pamoja na kuwaondoa watendaji ambao walihusika katika upotevu wa fedha za umma pamoja na kuwabana wakwepa kodi ambao ni wafanyabiashara wakubwa. Kingine kilichonifikia leo kutoa kutoka kwa […]
The post Matatu kutoka TRA >>>makusanyo ya kodi yaliyofikiwa, usajili wa pikipiki, walioshindwa kulipa kodi…...
10 years ago
Habarileo07 Aug
TFF yaongeza muda wa usajili
SHIRIKISHO la soka Tanzania (TFF) limesogeza mbele dirisha la usajili kwa timu za Ligi Kuu, daraja la kwanza na la pili na sasa litafunga Agosti 20 badala ya jana kama ilivyopangwa awali.
11 years ago
Tanzania Daima24 Apr
DART yaongeza siku usajili daladala
WAKALA wa Mradi wa Mabasi Yaendayo Haraka Dar es Salaam (DART) umetangaza kusogeza mbele zoezi la kuandikisha mabasi ya abiria ‘daladala’ zinazopita katika Barabara ya Morogoro au kukatiza katika njia...
10 years ago
Mwananchi24 Sep
Waomba muda wa usajili pikipiki uongezwe
10 years ago
Mwananchi16 Sep
Usajili wa pikipiki, bajaji unahitaji umakini
10 years ago
Mwananchi09 Sep
Usajili mpya wa pikipiki kuanza Oktoba Mosi
10 years ago
Mwananchi25 Dec
TRA: Pikipiki zisajiliwe kwa muda uliowekwa
10 years ago
Mwananchi17 Dec
TRA kufuta usajili wa vyombo vya moto