Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Rais Magufuli Aipongeza TRA Kukusanya Trilioni 1.3 kwa Mwezi Mmoja

MagufuliRais Dkt John Pombe Magufuli.

Rais Magufuli amempongeza Kaimu Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania Dkt. Philip Mpango kwa kazi nzuri ya ukusanyaji wa mapato inayofanywa na mamlaka hiyo ambayo imeongeza ukusanyaji wa Mapato na kwa mara ya kwanza mwezi huu ukusanyaji wa mapato hayo unatarajiwa kuwa zaidi ya shilingi trilioni 1.3

Kutokana na mafanikio hayo amewahakikishia watanzania kuwa fedha kwa ajili ya kutimiza ahadi ya kutoa elimu bure kwa shule za msingi na sekondari ambazo ni...

Global Publishers

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

TRA YAVUKA LENGO YAKUSANYA TRILIONI 1.4 KWA MWEZI

 kaimu Kamishna Mkuu wa Mamlaka Tanzania (TRA) (Katikati) Alphayo Kidata akisisitiza jambo wakati alipofanya mazungumzo na waandishi wa habari kuhusu taarifa za ukusanyaji wa mapato wa kila mwezi Kushoto ni Kaimu Kamishna wa Forodha Jocktan Kyamuhanga na kulia  ni Kaimu Kamishna wa Kodi za Ndani Yusufu Salum .
 Kaimu Kamishna Mkuu wa Mamlaka Tanzania (TRA) (Katikati) Alphayo Kidata akizungumza na waandishi wa Habari wakati akitoa taarifa za ukusanyaji wa mapato wa kila mwezi.Picha Na...

 

9 years ago

Global Publishers

TRA yavuka lengo la kusanya Trilioni 1.4 kwa mwezi

IMG_0614 Kaimu Kamishna Mamlaka ya Mapato Tanzania TRA, Alphayo Kidata.

Jumla ya shilingi trilioni 1.4 imekusanywa na Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) katika kipindi cha mwezi Desemba mwaka uliopita wa 2015.

Kiasi hicho ni sawa na ongezeko la wastani wa shilingi bilioni 490 kwa mwezi ukulinganisha na wastani wa makusanyo ya kuanzia Julai hadi Novemba ambapo ,TRA ilikuwa imekusanya wastani wa shilingi bilioni 900 kwa mwezi.

Takwimu hizo zimetolewa leo jijini Dar es salaam na Kaimu Kamishna Mamlaka ya...

 

9 years ago

Mwananchi

TRA kukusanya Sh12.3 trilioni mwaka huu

Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA),  Rished Bade amesema mamlaka hiyo imejipanga kukusanya zaidi ya Sh12.3 trilioni  katika mwaka huu wa fedha.

 

9 years ago

Michuzi

TRA YAONGEZA MWEZI MMOJA USAJILI WA PIKIPIKI

Na Raymond Mushumbusi MAELEZO
Mamlaka ya Mapato ya Tanzania (TRA) imesema imeongeza muda kwa usajili  wa vyombo vya usafiri vya Pikipiki za magurudumu mawili na matatu mpaka  Februari Mosi mwaka 2016.
Hayo yamesemwa leo na Kaimu Kamishna Mkuu wa Mamlaka hiyo Alphayo Kidata alipokuwa akizungumza na waandishi wa Habari katika kikao chake cha kutoa taarifa kwa umma juu ya ukusanyaji wa kodi, Kaimu Kamishna Mkuu amesema wameamua kuongeza muda wa zoezi la usajili wa pikipiki ili kuiwapa nafasi wale...

 

5 years ago

Michuzi

RAIS DK. MAGUFULI AIPONGEZA MKAPA FOUNDATION KWA UJENZI WA NYUMBA ZA MADAKTARI NCHINI

Afisa Mtendaji Mkuu wa Mkapa Foundation Ellen Mkondya Senkoro akimuelekeza jambo Mwakilishi wa WHO nchini Tanzania Dr. Tigest Ketsela katikati wakati alipotembelea banda la taasisi hiyo katika maadhimisho ya Siku ya Madaktari Tanzania yaliyofanyika jana kwenye ukumbi wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam.Afisa Mtendaji Mkuu wa Mkapa Foundation Ellen Mkondya Senkoro akiwa na Mwakilishi wa WHO nchini Tanzania Dr. Tigest Ketsela kulia ni Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Dar es salaam walipotembelea...

 

9 years ago

BBCSwahili

Mwezi mmoja wa uongozi wa Magufuli Tanzania

Kasi ya utendaji wa Rais wa Tanzania John Pombe Magufuli imeibua hisia mbalimbali nchini humo, nchi za jirani na hata zingine za mbali barani Afrika.

 

5 years ago

Michuzi

RC SHIGELA AIPONGEZA TRA KUENDESHA KAMPENI YA ELIMU KWA MLIPAKODI


Mkuu wa Mkoa wa Tanga Mhe. Martine Shigela akizungumza na timu ya maafisa wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) wakati walipomtembelea ofisini kwake kuzungumzia kampeni ya elimu kwa mlipakodi inayoendelea jijini humo.
Mkuu wa Mkoa wa Tanga Mhe. Martine Shigela akizungumza na timu ya maafisa wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) wakati walipomtembelea ofisini kwake kuzungumzia kampeni ya elimu kwa mlipakodi inayoendelea jijini humo.

Afisa Msimamizi wa Kodi kutoka Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA)...

 

10 years ago

Habarileo

TRA yashindwa kukusanya bilioni 40/-

MAMLAKA ya Mapato Tanzania (TRA) mkoani Mwanza imeshindwa kufikia malengo yake ya kukusanya mapato Sh bilioni 40 katika kipindi cha Julai hadi Oktoba, mwaka huu kutokana na sababu mbalimbali zikiwemo za ukwepaji kodi.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani