Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mwezi mmoja wa uongozi wa Magufuli Tanzania

Kasi ya utendaji wa Rais wa Tanzania John Pombe Magufuli imeibua hisia mbalimbali nchini humo, nchi za jirani na hata zingine za mbali barani Afrika.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Global Publishers

Rais Magufuli Aipongeza TRA Kukusanya Trilioni 1.3 kwa Mwezi Mmoja

MagufuliRais Dkt John Pombe Magufuli.

Rais Magufuli amempongeza Kaimu Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania Dkt. Philip Mpango kwa kazi nzuri ya ukusanyaji wa mapato inayofanywa na mamlaka hiyo ambayo imeongeza ukusanyaji wa Mapato na kwa mara ya kwanza mwezi huu ukusanyaji wa mapato hayo unatarajiwa kuwa zaidi ya shilingi trilioni 1.3

Kutokana na mafanikio hayo amewahakikishia watanzania kuwa fedha kwa ajili ya kutimiza ahadi ya kutoa elimu bure kwa shule za msingi na sekondari ambazo ni...

 

10 years ago

GPL

MAFUNZO YA MWEZI MMOJA YA OLIMPIKI MAALUMU TANZANIA KWA WATOTO WENYE ULEMAVU WA AKILI YA FUNGWA RASMI

Walimu waliokuwa wakiendesha mafunzo kwa watoto hao wakiwa katika picha ya pamoja. Kutoka kushoto ni Beatha Qambayot, Zilpa Masunga, Mtendaji Mkuu wa Olimpiki Maalumu Tanzania, Frank Macha na Alphonsia Mwairafu. Walimu hao wakiwa wameshika mipira ya kufundishia. (Imeandaliwa na mtandao wa habari za jamii.com-simu namba 0712-727062)…

 

10 years ago

Michuzi

MAFUNZO YA MWEZI MMOJA YA OLIMPIKI MAALUMU TANZANIA KWA WATOTO WENYE ULEMAVU WA AKILI YA FUNGWA RASMI LEO

Walimu waliokuwa wakiendesha mafunzo kwa watoto hao wakiwa katika picha ya pamoja. Kutoka kushoto ni Beatha Qambayot, Zilpa Masunga, Mtendaji Mkuu wa Olimpiki Maalumu Tanzania, Frank Macha na Alphonsia Mwairafu.Walimu hao wakiwa wameshika mipira ya kufundishia.Watoto wenye ulemavu wa akili wakiwa katika picha na  wazazi, pamoja na walimu wao baada ya kumaliza mafunzo  ya mwezi mmoja ya Olimpiki Maalumu Tanzania  yaliyofikia tamati wilayani Temeke Dar es Salaam leo.

BOFYA HAPA KWA PICHA...

 

9 years ago

CCM Blog

MAGUFULI AVUNJA BODI YA UONGOZI MUHIMBILI ATEUA UONGOZI MPYA


THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA
DIRECTORATE OF PRESIDENTIAL COMMUNICATIONS
Telephone: 255-22-2114512, 2116898
E-mail: ikulucommpress@googlemail.com
Website : www.ikulu.go.tz             
Fax: 255-22-2113425


PRESIDENT’S OFFICE,
     STATE HOUSE,
             1 BARACK OBAMA ROAD, 
11400 DAR ES SALAAM.
Tanzania.
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli , leo mchana amefanya ziara ya kushtukiza katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili na...

 

9 years ago

Michuzi

BREAKING NYUZZZZZ.....: RAIS MAGUFULI AVUNJA BODI YA UONGOZI WA HOSPITALI YA TAIFA MUHIMBILI, ATEUA UONGOZI MPYA WA MUDA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli , leo mchana amefanya ziara ya kushtukiza katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili na kukutana na hali ya kumsikitisha.
“ Rais  amesikitishwa na kuhuzunishwa na hali ya huduma kwa wagonjwa hususan wanaolala chini. Pia amekasirishwa na hali ya kutokujali wala kushughulikia vifaa vya kufanyia kazi ambapo amekuta mashine muhimu za uchunguzi wa magonjwa kama vile MRI na CT-SCAN zikiwa hazifanyi kazi kwa muda wa miezi miwili...

 

10 years ago

BBCSwahili

Chamberlain kukaa nje mwezi mmoja

Arsenal itakosa huduma za Alex Oxlade-Chamberlain kwa takriban majuma 4 kutokana na jeraha

 

10 years ago

Dewji Blog

Mwakyembe apigwa mwezi mmoja kutoa majibu

1

Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akiwahutubia wananchi wa mjini Mtwara katika mkutano wa hadhara uliofanyika kwenye  viwanja vya Mashujaa mjini humo akihitimisha ziara yake ya siku 16 aliyoifanya katika mikoa ya Lindi na Mtwara akikagua utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya CCM ya mwaka 2010 inayotekelezwa na serikali kwa kushirikiana na wananchi wenyewe na kuhimiza uhai wa chama cha Mapinduzi CCM.

Katika ziara hiyo Katibu mkuu huyo aliongozana na Nape Nnauye Katibu wa NEC Itikadi,...

 

9 years ago

Michuzi

TRA YAONGEZA MWEZI MMOJA USAJILI WA PIKIPIKI

Na Raymond Mushumbusi MAELEZO
Mamlaka ya Mapato ya Tanzania (TRA) imesema imeongeza muda kwa usajili  wa vyombo vya usafiri vya Pikipiki za magurudumu mawili na matatu mpaka  Februari Mosi mwaka 2016.
Hayo yamesemwa leo na Kaimu Kamishna Mkuu wa Mamlaka hiyo Alphayo Kidata alipokuwa akizungumza na waandishi wa Habari katika kikao chake cha kutoa taarifa kwa umma juu ya ukusanyaji wa kodi, Kaimu Kamishna Mkuu amesema wameamua kuongeza muda wa zoezi la usajili wa pikipiki ili kuiwapa nafasi wale...

 

10 years ago

BBCSwahili

Mwezi mmoja toka mauaji ya Baga Nigeria

Leo ni mwezi mmoja tangu wapiganaji wa Boko Haram waliposhambulia miji ya Baga na Doron Baga kaskazini mashariki mwa Nigeria.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani