Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Usajili mpya wa pikipiki kuanza Oktoba Mosi

Serikali kupitia Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) inakusudia kudhibiti matukio ya uhalifu yanayohusisha vyombo vya moto kwa kutangaza usajili mpya wa namba za pikipiki za aina zote, zikiwamo bodaboda na bajaji.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Usajili wa pikipiki, bajaji unahitaji umakini

Hatua ya Serikali ya kuweka mfumo mpya wa usajili wa namba za pikipiki na bajaji ni ya kupongeza ingawa imekuja ikiwa imechelewa. 

 

10 years ago

Mwananchi

Waomba muda wa usajili pikipiki uongezwe

>Madereva wa pikipiki maarufu kama bodaboda mjini hapa, wameitaka Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), kuongeza muda wa kusajili namba mpya kwani muda uliowekwa kisheria hautoshi.

 

9 years ago

Michuzi

TRA YAONGEZA MWEZI MMOJA USAJILI WA PIKIPIKI

Na Raymond Mushumbusi MAELEZO
Mamlaka ya Mapato ya Tanzania (TRA) imesema imeongeza muda kwa usajili  wa vyombo vya usafiri vya Pikipiki za magurudumu mawili na matatu mpaka  Februari Mosi mwaka 2016.
Hayo yamesemwa leo na Kaimu Kamishna Mkuu wa Mamlaka hiyo Alphayo Kidata alipokuwa akizungumza na waandishi wa Habari katika kikao chake cha kutoa taarifa kwa umma juu ya ukusanyaji wa kodi, Kaimu Kamishna Mkuu amesema wameamua kuongeza muda wa zoezi la usajili wa pikipiki ili kuiwapa nafasi wale...

 

10 years ago

BBCSwahili

Kombe la Mapinduzi kuanza Januari Mosi

Michuano ya kombe la mapinduzi kuanza kutimua vumbi Zanzibari januari mosi mpaka Januari 13 mwakani.

 

9 years ago

Habarileo

El-nino kuanza Oktoba

MAMLAKA ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imetoa tahadhari ya kunyesha mvua nyingi za El–nino katika kipindi cha Oktoba hadi Desemba mwaka huu.

 

9 years ago

Habarileo

Bunge la 11 kuanza leo kwa usajili

WAKATI wabunge wateule wakianza kujisajili leo tayari kwa vikao muhimu vya kwanza vya Bunge la 11 wiki ijayo ikiwamo kumchagua Spika na Waziri Mkuu, Serikali ya Mkoa wa Dodoma imesema imejipanga vyema kuupokea ugeni huo na kuuhudumia huku ikisisitiza amri iliyowekwa ya kuzuia mikutano ya hadhara na maandamano iko palepale.

 

10 years ago

Dewji Blog

Bodi ya Utalii Tanzania (TTB), yaandaa onesho la sites kufanyika ukumbi wa Mlimani City Oktoba Mosi jijini Dar

Kaimu Mkurugenzi Mwendeshaji Bodi ya Utalii Tanzania, Devotha Mdachi (kulia), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam jana, kuhusu Onesho la Sites litakalofanyika Oktoba Mosi hadi 3, 2015 Ukumbi wa Mlimani City. Kushoto ni Ofisa Mauzo Mkuu wa Shirika la Ndege la Ethiopia, Lima Dsilva na  Meneja Huduma wa Shirika la Ndege la Ethiopia, Dawit Mekonnen.

Meneja Huduma za Utalii wa Bodi ya Utalii Tanzania (TTB), Philip Sebastian (wa pili kulia), akizungumza katika...

 

11 years ago

Michuzi

Masomo ya ODPE Vyuo kuanza Oktoba 6

Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi (NACTE) limetangaza 6 Oktoba kuwa ni tarehe ya kuanza kwa mafunzo ya stashahada ya ualimu wa shule za msingi (Ordinary Diploma in Primary Education (ODPE)) katika vyuo teule vya majaribio na Stashahada maalumu ya Ualimu wa Sekondari kwa waliomaliza kidato cha nne (Hisabati na Sayansi) itakayoendeshwa katika chuo kikuu cha Dodoma.
Zoezi la uombaji wa mafunzo hayo kwa mwaka 2014/15 lilianza rasmi tarehe 23 June 2014 na litakoma 31 Agosti 2014 na mafunzo...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani