Bunge la 11 kuanza leo kwa usajili
WAKATI wabunge wateule wakianza kujisajili leo tayari kwa vikao muhimu vya kwanza vya Bunge la 11 wiki ijayo ikiwamo kumchagua Spika na Waziri Mkuu, Serikali ya Mkoa wa Dodoma imesema imejipanga vyema kuupokea ugeni huo na kuuhudumia huku ikisisitiza amri iliyowekwa ya kuzuia mikutano ya hadhara na maandamano iko palepale.
habarileo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Habarileo04 Nov
Bunge kuanza kukutana leo
MIKUTANO wa 16 na 17 ya Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inaanza mjini Dodoma leo hadi Novemba 4 hadi 28 mwaka huu.
11 years ago
Habarileo18 Feb
Bunge la Katiba kuanza leo
HISTORIA ya nchi imeandikwa leo kwa Bunge Maalumu la Katiba kuanza mkutano wake huku mchakato wa kupata Mwenyekiti wa Bunge hilo, ukiwa umetangazwa kutoa nafasi kwa wajumbe wenye sifa kuingia kwenye kinyang’anyiro.
10 years ago
Habarileo12 May
Bunge la Bajeti 2015/16 kuanza leo
MKUTANO wa 20 na wa mwisho wa Bunge la 10 la Tanzania, unatarajiwa kuanza leo mjini Dodoma, ambapo wabunge watajadili na kupitisha Bajeti ya Serikali, pia maswali 295 ya msingi yataulizwa na kupewa majibu na hatimaye bunge hilo kuvunjwa rasmi Juni 27, mwaka huu kwa ajili ya maandalizi ya uchaguzi mkuu.
10 years ago
Habarileo20 Oct
Kamati za Bunge kuanza vikao leo
VIKAO vya Bunge vya Kamati za Kudumu vinatarajiwa kuanza jijini Dar es Salaam leo ambapo masuala mbalimbali yatajadiliwa na kamati hizo. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Katibu wa Bunge hilo, Thomas Kashililah, wabunge wote wa Bunge hilo wameagizwa kuhudhuria vikao hivyo.
10 years ago
Habarileo17 Sep
Kesi Bunge Maalum kuanza kusikilizwa leo
MAHAKAMA Kuu Kanda ya Dar es Salaam leo inaanza kusikiliza kesi ya Kikatiba, iliyofunguliwa na Mwandishi wa Habari, Saidi Kubenea akihoji mamlaka ya Bunge Maalumu la Katiba, linaloendelea mkoani Dodoma.
11 years ago
Mwananchi31 Mar
Bunge la Katiba kuanza kazi rasmi leo
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-1ZAu-WfB19s/XmJXb_qn8JI/AAAAAAALhiM/0Wz3TjlspnUw51FuzGpz6k8V_vQIr7EsACLcBGAsYHQ/s72-c/PRESS%2BRELASE%2BKAMATI.jpg)
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-LL8qL5yYJIk/VQLGmmOTmmI/AAAAAAAHKD4/VCo7lRDUeco/s72-c/download%2B(3).jpg)
TAARIFA KUHUSU KUANZA KWA MKUTANO WA 19 WA BUNGE JUMANNE IJAYO
![](http://4.bp.blogspot.com/-LL8qL5yYJIk/VQLGmmOTmmI/AAAAAAAHKD4/VCo7lRDUeco/s1600/download%2B(3).jpg)
1.0 MISWADA YA SHERIA:1.1 MISWADA YA SHERIA YA SERIKALI:a) Kusomwa kwa mara ya Kwanza na hatua zake zote: Katika Mkutano huo, Kwa mujibu wa Kanuni ya 93(3) ya Kanuni za Bunge Toleo la Aprili 2013 Jumla ya...
10 years ago
Mwananchi09 Sep
Usajili mpya wa pikipiki kuanza Oktoba Mosi