Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kesi Bunge Maalum kuanza kusikilizwa leo

MAHAKAMA Kuu Kanda ya Dar es Salaam leo inaanza kusikiliza kesi ya Kikatiba, iliyofunguliwa na Mwandishi wa Habari, Saidi Kubenea akihoji mamlaka ya Bunge Maalumu la Katiba, linaloendelea mkoani Dodoma.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

Uamuzi kesi kupinga Bunge Maalum leo

MAHAKAMA Kuu Kanda ya Dar es Salaam leo inatarajia kutoa uamuzi wa kesi ya kikatiba iliyofunguliwa na Mwandishi wa Habari, Said Kubenea akihoji mamlaka ya Bunge la Katiba.

 

10 years ago

Mwananchi

Kesi ya Ponda kusikilizwa leo

Kesi inayomkabili Kiongozi wa Jumuiya na Taasisi za Kiislamu nchini, Sheikh Ponda Issa Ponda katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Morogoro, inaendelea kusikilizwa leo kwa shahidi wa tatu kutoa ushahidi wake.

 

11 years ago

Mwananchi

Kesi ya kusafirisha twiga hai kusikilizwa leo

Kesi ya uhujumu uchumi ya kusafirisha wanyamapori hai wakiwamo twiga wanne kutoka Tanzania kwenda Jiji la Doha Qatar, itaendelea kusikilizwa leo kwa siku mbili mfululizo.

 

9 years ago

Bongo5

Kesi ya kuamua kama Oscar Pistorius ataachiwa huru kusikilizwa leo

Bodi ya parole jijini Johannesburg, Afrika Kusini ilitarajiwa kutoa uamuzi wa kama itamwachia huru Oscar Pistorius kutoka gerezeni Jumatatu hii. Bodi hiyo ilikutana jijini Durban mwezi uliopita lakini iliahirisha kesi yake kwa wiki mbili. Katika kipindi hicho idara ya haki ilisema haikupata muda wa kumaliza kesi ya Pistorius kutokana na kuwa na mambo ya kuyapitia. […]

 

10 years ago

Habarileo

Kesi kusimamisha Bunge Maalum yatupwa

MAHAKAMA Kuu Kanda ya Dar es Salaam imetupa ombi la kusimamisha vikao vya Bunge la Katiba, vinavyoendelea mjini Dodoma, lililowasilishwa na Mwanahabari Said Kubenea.

 

10 years ago

Habarileo

Hukumu kesi Bunge Maalum Septemba 22

MAHAKAMA Kuu Kanda ya Dar es Salaam imepanga Septemba 22 mwaka huu kutoa uamuzi wa ombi la Chama cha Wanasheria wa Tanganyika (TLS) kufungua kesi ya kupinga vikao vya Bunge Maalumu la Katiba linaloendelea mkoani Dodoma. Jopo la majaji watatu likiongozwa na Jaji Augustine Mwarija, Dk Fauz Twaib pamoja na Aloysius Mujulizi limeridhia hivyo jana baada ya kusikiliza hoja za pande zote mbili.

 

10 years ago

Habarileo

Utata kesi ya Kubenea kupinga Bunge Maalum

KESI ya kikatiba iliyofunguliwa na Mwandishi wa Habari, Said Kubenea akihoji mamlaka ya Bunge la Katiba, jana imeibua utata baada ya majaji kubaini maana mbili tofauti ya kifungu cha 25(2) cha Sheria ya Mabadiliko ya Katiba Namba 83 ya mwaka 2011.

 

10 years ago

GPL

HUKUMU YA KESI YA KUBENEA KUHUSU BUNGE MAALUM LA KATIBA‏

Wakili wa Saed Kubenea, Peter Kibatala. Mahakama Kuu ya Tanzania iliyokaa chini ya Judges Augustine Mwarija, Aloysius Mujulizi na Dr Fauz Twaib imetoa uamuzi wake leo kufuatia maombi ya Saed Kubenea kama ifuatavyo; 1.Kuna mgongano mkubwa kati ya toleo la Kiswahili na Toleo la Kiingereza la kifungu cha 25 (2) cha Sheria ya Mabadiliko ya Katiba. 2. Kwamba pamoja na mgongano huo, Sheria imekusudia kwamba Madaraka ya Bunge Maalum la...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Kesi ya Simba kuanza leo

MAHAKAMA Kuu Kanda ya Dar es Salaam, leo itaanza kusikiliza kesi iliyofunguliwa na wanachama watatu wa  Klabu ya Simba, wakiomba  itoe amri ya muda ya kuzuia  kufanyika kwa uchaguzi mkuu...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani