Kesi kusimamisha Bunge Maalum yatupwa
MAHAKAMA Kuu Kanda ya Dar es Salaam imetupa ombi la kusimamisha vikao vya Bunge la Katiba, vinavyoendelea mjini Dodoma, lililowasilishwa na Mwanahabari Said Kubenea.
habarileo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Habarileo19 Sep
Hukumu kesi Bunge Maalum Septemba 22
MAHAKAMA Kuu Kanda ya Dar es Salaam imepanga Septemba 22 mwaka huu kutoa uamuzi wa ombi la Chama cha Wanasheria wa Tanganyika (TLS) kufungua kesi ya kupinga vikao vya Bunge Maalumu la Katiba linaloendelea mkoani Dodoma. Jopo la majaji watatu likiongozwa na Jaji Augustine Mwarija, Dk Fauz Twaib pamoja na Aloysius Mujulizi limeridhia hivyo jana baada ya kusikiliza hoja za pande zote mbili.
10 years ago
Habarileo17 Sep
Kesi Bunge Maalum kuanza kusikilizwa leo
MAHAKAMA Kuu Kanda ya Dar es Salaam leo inaanza kusikiliza kesi ya Kikatiba, iliyofunguliwa na Mwandishi wa Habari, Saidi Kubenea akihoji mamlaka ya Bunge Maalumu la Katiba, linaloendelea mkoani Dodoma.
10 years ago
Habarileo24 Sep
Utata kesi ya Kubenea kupinga Bunge Maalum
KESI ya kikatiba iliyofunguliwa na Mwandishi wa Habari, Said Kubenea akihoji mamlaka ya Bunge la Katiba, jana imeibua utata baada ya majaji kubaini maana mbili tofauti ya kifungu cha 25(2) cha Sheria ya Mabadiliko ya Katiba Namba 83 ya mwaka 2011.
10 years ago
Habarileo25 Sep
Uamuzi kesi kupinga Bunge Maalum leo
MAHAKAMA Kuu Kanda ya Dar es Salaam leo inatarajia kutoa uamuzi wa kesi ya kikatiba iliyofunguliwa na Mwandishi wa Habari, Said Kubenea akihoji mamlaka ya Bunge la Katiba.
10 years ago
GPLHUKUMU YA KESI YA KUBENEA KUHUSU BUNGE MAALUM LA KATIBA
10 years ago
Habarileo11 Feb
Waomba Mahakama kusimamisha kesi ya Escrow
UPANDE wa utetezi katika kesi ya kupokea rushwa ya Sh milioni 323.4 inayomkabili Mkurugenzi wa Sheria wa Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Rugonzibwa Mujunangoma umeiomba Mahakama kusimamisha kesi hadi itakaposikiliza ombi lao.
11 years ago
Tanzania Daima28 Jun
Kesi ya uchaguzi Simba yatupwa
HATIMAYE Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam, imekataa kutoa amri ya muda kuzuia kufanyika kwa uchaguzi mkuu wa Simba uliopangwa kufanyika kesho, kutokana na maombi hayo ya zuio yaliyowalishwa...
10 years ago
Habarileo06 Dec
Maombi ya DPP kesi ya Lwakatare yatupwa
KESI ya ugaidi iliyowasilishwa katika Mahakama ya Rufaa na Mkurugenzi wa Mashitaka (DPP), kuomba marejeo ya hukumu ya Mahakama Kuu iliyompa ushindi Mkurugenzi wa Ulinzi na Usalama wa Chadema, Wilfred Lwakatare, imetupiliwa mbali kutokana na kuwepo kwa upungufu wa kisheria.
10 years ago
Michuzi31 Jul
BREAKING NEWSSSS !!!!!!! KESI YA IPTL DHIDI YA KAFULILA YATUPWA NJE.
Katika shauri hilo, Kampuni ya IPTL,PAP na Herbinder Singh Sethi walitaka Mahakama...