Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TRA: Pikipiki zisajiliwe kwa muda uliowekwa

Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) mkoani Kagera imewataka wamiliki wa pikipiki kuhakikisha wanasajili vyombo hivyo kwa muda unaotakiwa, vinginevyo watachukuliwa hatua za kisheria.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

TRA YAONGEZA MWEZI MMOJA USAJILI WA PIKIPIKI

Na Raymond Mushumbusi MAELEZO
Mamlaka ya Mapato ya Tanzania (TRA) imesema imeongeza muda kwa usajili  wa vyombo vya usafiri vya Pikipiki za magurudumu mawili na matatu mpaka  Februari Mosi mwaka 2016.
Hayo yamesemwa leo na Kaimu Kamishna Mkuu wa Mamlaka hiyo Alphayo Kidata alipokuwa akizungumza na waandishi wa Habari katika kikao chake cha kutoa taarifa kwa umma juu ya ukusanyaji wa kodi, Kaimu Kamishna Mkuu amesema wameamua kuongeza muda wa zoezi la usajili wa pikipiki ili kuiwapa nafasi wale...

 

10 years ago

Mwananchi

Waomba muda wa usajili pikipiki uongezwe

>Madereva wa pikipiki maarufu kama bodaboda mjini hapa, wameitaka Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), kuongeza muda wa kusajili namba mpya kwani muda uliowekwa kisheria hautoshi.

 

11 years ago

Michuzi

NMB YAWAKOMBOA VIJANA KIUCHUMI KWA KUWAPA MIKOPO NAFUU YA PIKIPIKI Ni mikopo kwa ajili ya pikipiki za miguu miwili na mitatu

 Benki ya NMB kwa kushirikiana na kampuni tatu yaani Fair Deal Auto Private Ltd inayosambaza pikipiki za miguu miwili na mitatu aina ya Bajaji, kampuni ya Car & General Limited Ltd inayosambaza pikipiki za miguu mitatu aina ya TV’S King pamoja na kampuni ya Quality Motors inayosambaza pikipiki za miguu miwili aina ya Honda wameingia ubia ili kuwawezesha wananchi kupata mikopo nafuu ya kumiliki pikipiki za miguu miwili na mitatu.   Hii yote ni katika kuendeleza azma ya NMB inayolenga kubuni...

 

11 years ago

Michuzi

MBOWE ASHIKILIWA KWA MUDA NA JESHI LA POLISI IRINGA, AACHIWA KWA KOSA LA KUZIDISHA MUDA KWENYE MKUTANO WAO WA HADHARA.

Pichani ni mwenyekiti wa CHADEMA,Mh. Freeman Mbowe akiwa sambamba na Mbunge wa jimbo la Kawe,Halima  Mdee wakiwa wameachiwa na jeshi la polisi akisindikizwa kwenda kupanda chopa katika viwanja vya mwembetogwa mara baada ya kudaiwa kuzidisha muda kwenye mkutano wao wa hadhara mkoani Iringa. (picha zote na denis mlowe) Na Denis Mlowe,Iringa MWENYEKITI wa Chadema Mhe. Freeman Mbowe na Mbunge wa jimbo la Hai na Mbunge wa Jimbo la Kawe Mhe. Halima Mdee walishikiliwa kwa muda na Jeshi la...

 

9 years ago

MillardAyo

Matatu kutoka TRA >>>makusanyo ya kodi yaliyofikiwa, usajili wa pikipiki, walioshindwa kulipa kodi…

Mipango ya Rais Magufuli kuendelea kupambana na wabadhirifu wa mapato ya Serikali yameendeela kuchukua sura mpya. Kupitia Mamlaka ya Mapato TRA Rais aliweza kufanya mabadiliko makubwa ikiwa ni pamoja na kuwaondoa watendaji ambao walihusika katika upotevu wa fedha za umma pamoja na kuwabana wakwepa kodi ambao ni wafanyabiashara wakubwa. Kingine kilichonifikia leo kutoa  kutoka kwa […]

The post Matatu kutoka TRA >>>makusanyo ya kodi yaliyofikiwa, usajili wa pikipiki, walioshindwa kulipa kodi…...

 

10 years ago

Michuzi

NGO's YA APEC KWA KUSHIRIKIANA NA JESHI LA POLISI DODOMA YAFUNGA MAFUZO KWA WAENDESHA PIKIPIKI (BODABODA) MKOANI HUMO

 Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma,SACP David Misime akiongea katika kufunga mafuzo kwa waendesha pikipiki (Bodaboda) wa Manispaa ya Dodoma yaliyoendeshwa na Shirika lisilo la kiserikali la –APEC - kwa kushirikiana na Jeshi la Polisi.Muwakilishi wa Waendesha Pikipiki (Bodaboda) Mkoa wa Dodoma, Bw. Erasto Kasugu akisoma risala kwa mgeni rasmi,wakati wa kufunga mafuzo kwa waendesha pikipiki (Bodaboda) wa Manispaa ya Dodoma yaliyoendeshwa na Shirika lisilo la kiserikali la –APEC - kwa...

 

10 years ago

Habarileo

Mwendesha pikipiki auawa kwa kutatuliwa tumbo

Kamanda wa Polisi Tabora, Suzan KagandaMWENDESHA pikipiki ameuawa na watu wasiofahamika kwa tumbo lake kutatuliwa na visu hadi utumbo ukatoka nje na mwili wake kutelekezwa eneo la makaburi ya Ipuli mjini Tabora .

 

5 years ago

Michuzi

PIKIPIKI ZA JPM ZAKABIDHIWA KWA MAAFISA TARAFA KAGERA.


Na Abdullatif  Yunus MichuziTV.

Pikipiki 27 zilizonunuliwa na Rais John Pombe Magufuli kwa ajili ya kuwasaidia Maafisa Tarafa kote Nchini, kutimiza majukumu yao zimeendelea kukabidhiwa kwa Walengwa ambapo kwa Mkoa wa Kagera Pikipiki hizo zimekabidhiwa rasmi na Mkuu wa Mkoa Brigedia Marco E. Gaguti mapema Mei 22, 2020.

Pikipiki hizo zipatazo 27, aina ya SANLG zenye thamani ya Jumla Shilingi 59,913,000/=  tayari zimegawiwa katika Wilaya Nane zinazounda Mkoa Kagera, na Idadi yake kama...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani