Maafisa 10 wa Afya wa Wilaya za Unguja na Pemba wakabidhiwa pikipiki
![](http://3.bp.blogspot.com/-NIA-xC6b1CY/VTKFrlHxp1I/AAAAAAAHR6o/kYgl5ULkc3A/s72-c/unnamed%2B(38).jpg)
Na Faki Mjaka-Maelezo ZanzibarJumla ya Pikipiki 10 zenye thamani ya Sh.Million 42 zimegawiwa kwa Maafisa 10 wa Afya wa Wilaya za Unguja na Pemba. Pikipiki hizo ni Msaada kutoka Shirika la Watu wa Marekani USAID kupitia Taasisi ya JSI wenye lengo la kusaidia Sekta ya Afya Zanzibar. Akikabidhi Pikipiki hizo Naibu Waziri wa Afya Zanzibar Mahmoud Thabit Kombo amewataka Maafisa Waliokabidhiwa kuzitumia vyema ili kutimiza lengo lililokusudiwa. Amesema ana imani kubwa kuwa zitasaidia kwa kiasi...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Dewji Blog19 Apr
Taasisi ya JSI Â yakabidhi pikipiki 10 kwa maafisa wa afya Unguja na Pemba
Naibu Waziri wa Afya Zanzibar Mahmoud Thabit Kombo (kushoto) akimkabidhi Pikipiki Afisa wa Afya wa Wilaya Nd. Khamis Daud Ali katika hafla ya makabidhiano iliyofanyika Maruhubi.
Na Faki Mjaka-Maelezo Zanzibar
Jumla ya Pikipiki 10 zenye thamani ya Sh.Million 42 zimegawiwa kwa Maafisa 10 wa Afya wa Wilaya za Unguja na Pemba.
Pikipiki hizo ni Msaada kutoka Shirika la Watu wa Marekani USAID kupitia Taasisi ya JSI wenye lengo la kusaidia Sekta ya Afya Zanzibar.
Akikabidhi Pikipiki hizo Naibu...
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-q8J0xVJZS4g/XrbVay74cTI/AAAAAAALpn0/-HhUglGnmNYVup6ehO5ZX1GBLqjxLyeSQCLcBGAsYHQ/s72-c/PICHA-A-1-2048x1365.jpg)
MAAFISA TARAFA SIMIYU WAKABIDHIWA PIKIPIKI UTEKELEZAJI AHADI YA RAIS MAGUFULI
![](https://1.bp.blogspot.com/-q8J0xVJZS4g/XrbVay74cTI/AAAAAAALpn0/-HhUglGnmNYVup6ehO5ZX1GBLqjxLyeSQCLcBGAsYHQ/s640/PICHA-A-1-2048x1365.jpg)
Katibu Tawala wa Mkoa wa Simiyu, Bw. Jumanne Sagini (kushoto) akimkabidhi kofia Afisa Tarafa wa Dutwa, wilayani Bariadi Bi. Isabela Nyaulingo ikiwa ni ishara ya kumkabidhi pikipiki katika tukio la makabidhiano ya pikipiki zilizotolewa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli kwa Maafisa Tarafa ambazo zimekabidhiwa Mei 08, 2020 Mjini Bariadi.
![](https://fullshangweblog.co.tz/wp-content/uploads/2020/05/4eba1f44-bf77-4160-ad48-421c2b53f257.jpg)
Baadhi ya pikipiki zilizotolewa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli kwa Maafisa...
10 years ago
Dewji Blog12 Jun
THPS yakabidhi Komputer kwa vituo vinane vya Afya Unguja na Pemba
Mkurugenzi Mtendaji wa THPS, Dr. Redempta Mbatia, akizungumza kabla ya kukabidhi seti za kumputer kwa vituo vya afya vinane vya Unguja na Pemba kwa ajili ya kutunzia kumbukumbu katika vituo vyao.
DR Mdahoma akizungumza wakati wa hafla ya kukabidhiwa msaada wa Komputer kwa ajili ya kuwekea Kumbukumbu katika Vituo vya Afya vya Unguja na Pemba, makabidhiano hayo yamefanyika katika viwanja vya hoteli ya mazsons shangani Zanzibar.
Naibu Katibu Mku Wazara ya Afya Zanzibar Halima Maulid...
10 years ago
MichuziTHPS Yakabidhi Komputa kwa Vituo Vinane vya Afya Unguja na Pemba
11 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-lFBJzLxu-gM/Uyh0dIgTmQI/AAAAAAAFUow/RVS0_i-cQds/s72-c/d1.jpg)
Balozi seif ali iddi afunguwa Kituo cha Afya Cha Pwani Mchangani Wilaya ya Kaskazini “A”, Unguja
![](http://1.bp.blogspot.com/-lFBJzLxu-gM/Uyh0dIgTmQI/AAAAAAAFUow/RVS0_i-cQds/s1600/d1.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-b8chuUQK6js/Uyh0dElrfOI/AAAAAAAFUo4/ZXzJP3EG1o4/s1600/d4.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-wM2mDHdy_n0/Uyh0dToaYXI/AAAAAAAFUo0/egYnVbBVfxg/s1600/d6.jpg)
11 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-_tfLfqiN7B8/U4TvbqbH5wI/AAAAAAAFlnM/VQ6r-At-3QY/s72-c/p1.jpg)
walemavu watatu Ruangwa wakabidhiwa pikipiki aina ya bajaji toka kwa JK
10 years ago
MichuziNAIBU WAZIRI WA AFYA ZANZIBAR AFANYA ZIARA KATIKA WITUO VYA AFYA MKOA WA KASKAZINI ''A'' UNGUJA
5 years ago
MichuziRais Magufuli atimiza ahadi yake Maafisa Tarafa Mwanza wakabidhiwa Usafiri
Mkuu wa Mkoa Mwanza, John Mongella (kulia) akikabidhi ufunguo wa pikipiki kwa Mwenyekiti wa Maafisa Tarafa Mkoa Mwanza, Peter Michael (kushoto) kama ishara ya kukabidhi pikipiki 24 kwa Maafisa Tarafa wa Tarafa zote 24 za Mkoa Mwanza.
Mongella amekabidhi pikipiki hizo kwa niaba ya Rais wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli ikiwa ni utekelezaji wa ahadi yake (ahadi ya Rais Dkt. Magufuli) ya kutoa pikipiki kwa Maafisa Tarafa wote Tanzania aliyoitoa alipokutana na viongozi hao Juni 04, 2019 Ikulu...
11 years ago
Habarileo24 May
Asilimia 93 ya Unguja, Pemba kuna umeme
SERIKALI ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ) imesema imefanikiwa kusambaza huduma za umeme mjini na vijijini Unguja na Pemba kwa asilimia 93.