Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


WATOTO WALEMAVU MAHENGE WANUFAIKA NA MSAADA WA BAISKELI

 Mtoto Mwidini Ligubuga kutoka kijiji cha Mbuga akifurahia kiti chake kutoka kwa Kibaran Resources . Kushoto ni Mkurugenzi wa kampuni hiyo nchini Bw.  Grant Pierce, na kulia ni Mkurugenzi Mkuu  Bw. Andrew Spinks 

 Kaimu Mwenyekiti wa Halmashauri ya Mahenge Bw. Furaha Lilongeri akimbeba Mtoto Magdalena Nwira kutoka kijiji cha Kichanganyi kupokea kiti chake. Mkurugenzi wa Kibaran Resources Grant Pierce anasaidia kukitayarisha hicho kiti.Watoto Mahenge wakipokea viti kutoka kwa kampuni ya...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

WATOTO WALEMAVU MAHENGE WANUFAIKA NA MSAADA WA BAISKELI ZA WALEMAVU

MOROGORO,
Kampuni ya Kibaran Resources inayojihusisha na utafiti wa uchimbaji wa madini ya Uno kwenye Kijiji cha Epanko, imetoa msaada wa baiskeli 30 za walemavu kwa watoto wenye ulemavu katika kata ya Mahenge Wilaya ya Ulanga mkoani Morogoro. Baiskeli hizo zimeundwa maalumu kwa watoto wanaoishi vijijini. Akizungumza na waandishi wa habari wakati wa kukabidhi baiskeli hizo, Grant Pierce, ambaye ni mkurugenzi wa Kampuni ya...

 

10 years ago

GPL

MSAADA WA BAISKELI YA WALEMAVU TOKA MAREKANI‏

Baiskeli ya walemavu iliyotolewa na msamalia mwema wa Maryland Marekani, Joyce Rwehumbiza kwenda kwa Bibi Scholastica Mhagama mkazi wa Kijiji cha Lundusi Kata ya Peramiho wilayani Songea Mkoa wa Ruvuma. Bibi Scholastica Mhagama (76) ambaye amejiandalia jeneza lake litakalotumika kumzikia.…

 

10 years ago

Michuzi

MAANDALIZI YA MIAKA 15 YA TAMASHA LA PASAKA YAENDELEA KUNOGA,BAISKELI 100 KUTOLEWA KWA WALEMAVU MIKOA KUMI

Pichani kulia ni Mkurugenzi wa Kampuni ya Msama Promotion Bw. Alex Msama akizungumza na waandishi wa habari wakati akielezea maendeleo ya maandalizi ya miaka 15 tangu kuanzishwa kwa tamasha la Pasaka, sherehe ambazo zitafanyika wakati wa sikukuu ya Pasaka jijini Dar es salaam na kisha mikoani, Akizungumza katika mkutano huo Msama amesema mwaka huu tamasha la pasaka ni maalum kwa Msama Promotion imepanga  kuwanunulia baiskeli  100 za walemavu ambazo zitagawanywa katika mikoa 10 hapa...

 

9 years ago

GPL

WATOTO WENYE MARADHI YA SARATANI WANUFAIKA NA LISHE BORA

Meneja Mawasiliano na Matukio wa Vodacom Tanzania, Christina Chacha(wapili toka kushoto) akifurahia jambo na  mtoto Anna Rajabu anayelelewa na kupata matibabu  ya Saratani katika kituo cha Tumaini la Maisha katika hospitali ya Taifa Muhimbili, Wakati wafanyakazi wa Vodacom Tanzania walipowatembelea na  kuzindua mradi wa lishe bora kwa watoto hao wenye kusumbuliwa na maradhi hayo. Ambapo Taasisi ya Vodacom Foundation...

 

9 years ago

StarTV

Watoto yatima mkoani Njombe wanufaika na kadi za CHF

Serikali  mkoani Njombe imezindua mpango wa tiba kwa kadi (CHF) kwa watoto yatima na waishio katika mazingira magumu na hatarishi ili kuhakikisha makundi hayo yanapata  huduma za afya kwa uhakika.

Mkuu wa mkoa wa Njombe Dkt.  Dkt.Rehema Nchimbi, amesema Mpango huo umelenga kuwafikia watoto wote ndani ya mkoa, ambao wapo katika vituo vya kulelea watoto yatima na wale waishio katika kaya masikini.

Akizindua mpango huo mkuu wa mkoa wa Njombe Dkt.  Dkt.Rehema Nchimbi, amesema, lengo ni...

 

9 years ago

Habarileo

Tenisi walemavu waomba msaada

TIMU ya taifa ya tenisi kwa upande wa walemavu, imewataka wadau mbalimbali kuwaunga mkono na kuwasaidia vifaa vya michezo waweze kutimiza malengo yao ya kufanya vizuri katika michuano mbalimbali.

 

10 years ago

Tanzania Daima

Walemavu wa ukoma Tanga waomba msaada

KAMBI ya wazee wenye ulemavu wa ukoma iliyopo Msufini Kata ya Ngomeni wilayani hapa, Mkoa wa Tanga inakabiliwa na changamoto ya uchakavu wa vitanda hali inayosababisha kulala chini. Wakizungumza na...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani