Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


WATOTO WENYE MARADHI YA SARATANI WANUFAIKA NA LISHE BORA

Meneja Mawasiliano na Matukio wa Vodacom Tanzania, Christina Chacha(wapili toka kushoto) akifurahia jambo na  mtoto Anna Rajabu anayelelewa na kupata matibabu  ya Saratani katika kituo cha Tumaini la Maisha katika hospitali ya Taifa Muhimbili, Wakati wafanyakazi wa Vodacom Tanzania walipowatembelea na  kuzindua mradi wa lishe bora kwa watoto hao wenye kusumbuliwa na maradhi hayo. Ambapo Taasisi ya Vodacom Foundation...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

Benki ya Exim yaadhimisha Siku ya Saratani Duniani na Watoto wenye Saratani Hospitali ya Taifa Muhimbili


exim1 Mkuu wa matawi wa Benki ya Exim, Bi. Elizabeth Mayengoh, akikabidhi vitabu kwa mmoja wa watoto waliolazwa katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili kwenye wodi maalum ya watoto wanaougua ugonjwa wa saratani katika kuadhimisha siku ya saratani duniani. Wanaoshudia ni baadhi ya wafanyakazi wa benki ya Exim na wazazi wa watoto hao. Benki hiyo ilikabidhi vifaa mbalimbali vikiwemo vyakula, vifaa vya kuchezea, sabuni, vifaa vya shule nk, lengo likiwa ni kujenga...

 

11 years ago

Habarileo

Watoto wengi hawana lishe bora

WATAALAMU wa sekta ya afya mkoani Morogoro, wameeleza kuwa watoto wengi wanakabiliwa na uzito pungufu na udumavu, kutokana kukosa lishe bora.

 

11 years ago

Mwananchi

Wapeni lishe bora watoto wenu-Rai

Wazazi wametakiwa kutilia mkazo lishe na afya za watoto wao, kwani kwa kufanya hivyo kutawaongezea uwezo wa kujifunza shuleni.

 

10 years ago

Mtanzania

Tanzania haijawekeza kwenye lishe bora ya watoto

Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dk. Seif RashidBILL Gates tajiri mkubwa duniani ambaye ameanzisha Foundation (taasisi ya kutoa misaada) inayosaidia shughuli za maendeleo kama vile huduma za afya, kupambana na Ukimwi, kuimarisha kilimo, kuendeleza elimu na utafiti wa nishati endelevu.
Anaeleza kuwa alipoanza kutembelea vijiji vya Afrika ikiwemo Tanzania alikuwa anakisia umri wa watoto aliokutana nao. Mara kwa mara watoto aliodhani wana umri wa miaka saba au nane umri wao halisi ulikuwa miaka 12 au 13. Watoto wengi wamedumaa kwa ukosefu wa...

 

10 years ago

Bongo5

Ben Pol kusheherekea birthday yake Jumatatu (Sept 8) na watoto wenye maradhi mbalimbali walioko Muhimbili

Jumatatu ya Tarehe 8 septemba ni siku ya kuzaliwa mwimbaji wa R&B Tanzania, Ben Pol. Na katika kusheherekea siku hiyo mwimbaji huyo wa ‘Jikubali’ ameiambia Bongo5 kuwa atajumuika na watoto wanaosumbuliwa na maradhi mbalimbali walioko katika hospitali ya Muhimbili kitengo cha MOI, ili kuwapatia misaada. “Nimefikiria kutembelea kitengo cha watoto hasa watoto wenye matatizo ya […]

 

9 years ago

StarTV

Zaidi ya 50% ya maisha ya watoto wenye ugonjwa Saratani  yaokolewa

Katika kipindi cha miaka mitano, tangu Serikali kwa kushirikiana na wadau wa afya waanzishe kitengo cha ugonjwa wa Saratani kwa watoto kwenye Hospitali ya Taifa ya Muhimbili, zaidi ya asilimia 50 ya maisha ya watoto wenye ugonjwa huo yameokolewa.

Awali katika wodi ya watoto wenye tatizo hilo kwenye taasisi ya Saratani ya Ocean Road ni asilimia 10 tu ya watoto hao walioweza kuokolewa maisha.

Umasikini na  uelewa mdogo katika ugonjwa  Saratani  ni miongoni mwa sababu zinazochangia ongezeko la...

 

11 years ago

Michuzi

BENKI YA POSTA TANZANIA YATOA MSAADA VITU MBALIMBALI KWA WODI YA WATOTO WENYE MAGONJWA YA SARATANI MUHIMBILI

 Kaimu Mkurugenzi Mtendaji Mkuu wa Benki ya Posta Tanzania (TPB), Mystica Ngongi akimkabidhi hundi ya sh. milioni 2 Mkuu wa Idara ya Ustawi ya Jamii Hospitali ya Taifa Muhimbili, Beatrice Mugula kwa ajili ya wagonjwa wa saratani watoto waliolazwa katika hospitali hiyo. Kushoto ni Meneja Mahusiano Mwandamizi TPB, Noves Moses. Hafla hiyo ilifanyika jijini Dar es Salaam, mwishoni mwa wiki.  Kaimu Mkurugenzi Mtendaji Mkuu wa Benki ya Posta Tanzania (TPB), Mystica Ngongi (wa pili kushoto)...

 

11 years ago

Mwananchi

Njia bora za kuwasaidia watoto wenye ulemavu

Katika jamii yetu wanazaliwa watoto wenye hitilafu mbalimbali kama vile ulemavu wa viungo, upofu wa macho, ubovu wa masikio, kutoweza kuongea na pia mtindio wa ubongo.

 

11 years ago

BBCSwahili

Je Saratani ya Tezi-Kibofu ni 'maradhi ya Zinaa?'

Wanasayansi nchini Marekani wanasema kwamba Saratani hiyo husababishwa na maradhi yanayoenezwa wakati wa kitendo cha ngono.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani