Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Njia bora za kuwasaidia watoto wenye ulemavu

Katika jamii yetu wanazaliwa watoto wenye hitilafu mbalimbali kama vile ulemavu wa viungo, upofu wa macho, ubovu wa masikio, kutoweza kuongea na pia mtindio wa ubongo.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

BBCSwahili

Muziki watumika kuwasaidia watoto wenye ulemavu wa akili

Asilimia moja ya watu duniani wanazaliwa wakiwa na matatizo ya akili na ubongo.

 

10 years ago

Mtanzania

Watoto wenye ulemavu wamkuna Natasha

natashaNA GEORGE KAYALA
MWIGIZAJI Susan Humba ‘Natasha’ amewataka wenye makampuni ya uandaaji wa filamu za bongo kuwatumia watoto wenye vipaji ambao wana ulemavu wa viungo.
Natasha alitoa kauli hiyo kwa watoto hao wenye ulemavu wa viungo wanaosoma Shule ya Sekondari Jangwani, jijini Dar es Salaam, baada ya kuonyesha uwezo wao wa kuigiza mbele yake.
Wanafunzi hao walionesha vipaji vyao mwishoni mwa wiki iliyopita, wakati wa uzinduzi wa shirika lisilo la kiserikali la Save Vulnerable Foundation...

 

10 years ago

Mtanzania

Barnaba: Tusiwatenge watoto wenye ulemavu

BARNABANA RUTH MNKENI
WIMBO wa ‘Tuwapende’ wa msanii wa Bongo Fleva, Barnaba umetumika katika kampeni ya kuhamasisha jamii isiwatenge watoto wenye ulemavu wa akili.
Barnaba alionyesha kwa vitendo kuhamasisha jamii hiyo kupitia wimbo wake huo huku akicheza na baadhi ya watoto hao waliokuwa wamekusanyika katika matembezi hayo mwishoni mwa wiki.
“Mimi kwa kweli niliguswa ndiyo maana nikatoka na wimbo huo kwa kuwa naamini hakuna mtu anayependa kupata mtoto mwenye ulemavu wowote na ikitokea hivyo huwa...

 

10 years ago

GPL

WATOTO WENYE ULEMAVU WAWAPONGEZA FPCT NA ERIKS

Mmoja wa watoto wenye ulemavu, Kashindye Athumani aliyenufaika na mpango huo. Watoto wenye ulemavu katika maeneo mbalimbali ya Tanzania wameipongeza taasisi ya Free Pentecostal Church of Tanzania (FPCT) na wadhamini wake, ERIKS kwa kuwawezesha kuwa na nguvu ya kueleza mahitaji na changamoto zao kwa wazazi, serikali na jamii inayowazunguka. Wakizungumzia mradi huo unaowahusu wao, watoto hao wamesema umewawezesha kuzijua haki zao...

 

9 years ago

StarTV

Wazazi watakiwa kutowaficha watoto wenye ulemavu

Wazazi wa watoto wenye ulemavu katika mkoa wa Tanga wameendelea kulaani tabia ya wazazi kuwaficha watoto wao majumbani badala ya kuwapeleka shuleni kupata elimu na maarifa yatakayowasaidia kwenye maisha yao.

Wazazi hao walikuwa wakizungumza katika hafla iliyowakutanisha walemavu kwenye kituo cha watoto wenye ulemavu cha YDCP kama sehemu ya kujumuika nao kusherehekea sikukuu ya Krismasi.

Wazazi hao wamesema ipo sababu ya msingi ya kuondokana na tabia ya kuwaficha watoto wenye ulemavu...

 

5 years ago

Michuzi

KAWAMBWA AKABIDHI VITI MWENDO KWA WATOTO WENYE ULEMAVU

 NA MWAMVUA MWINYI,BAGAMOYO  Mbunge wa Jimbo la Bagamoyo, Dkt. Shukuru Jumanne Kawambwa amekabidhi viti mwendo kwa watoto wenye ulemavu wa miguu katika jimbo lake.  Akizungumza wakati wa kukabidhi viti mwendo hivyo, Dkt. Kawambwa alisema kuwa, viti mwendo hivyo ni msaada kutoka kwa mama Janeth Magufuli hivyo anakabidhi kwa walengwa ili kutimiza wajibu wake kama alivyooagizwa na mama Janeth Magufuli.  Alisema Viti mwendo hivyo vitawasaidia watoto hao kutembea sehemu mbali mbali kwa...

 

11 years ago

Mwananchi

Kwa nini tuone aibu kuzaa watoto wenye ulemavu?

Makala yangu ya mwisho nilieleza kuhusu hali ya watoto wenye ulemavu na majukumu wanayokabiliana nayo wazazi na walezi wa watoto hao.

 

10 years ago

Michuzi

Benki ya Exim yakarabati kituo cha watoto wenye ulemavu Morogoro

Meneja wa Benki ya Exim Tawi la Morogoro, Bi Anna Wesiwasi (wapili kulia) akipeana mkono na Mkurugenzi wa Kituo cha Amani cha watoto wenye ulemavu, Padri Beatus Sewando (watatu kulia) mara tu baada ya kuzindua jengo la kituo hicho kilichokarabatiwa na benki hiyo jana mkoani Morogoro. Akishuhudia ni Afisa Mauzo wa Benki hiyo Vick Haji (Kulia).
Na Mwandishi wetu, Morogoro
BENKI ya Exim Tanzania imefanya ukarabati wa majengo ya kituo cha watoto wenye ulemavu cha Amani kilichopo eneo la...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani