Wazazi watakiwa kutowaficha watoto wenye ulemavu
Wazazi wa watoto wenye ulemavu katika mkoa wa Tanga wameendelea kulaani tabia ya wazazi kuwaficha watoto wao majumbani badala ya kuwapeleka shuleni kupata elimu na maarifa yatakayowasaidia kwenye maisha yao.
Wazazi hao walikuwa wakizungumza katika hafla iliyowakutanisha walemavu kwenye kituo cha watoto wenye ulemavu cha YDCP kama sehemu ya kujumuika nao kusherehekea sikukuu ya Krismasi.
Wazazi hao wamesema ipo sababu ya msingi ya kuondokana na tabia ya kuwaficha watoto wenye ulemavu...
StarTV
Habari Zinazoendana
11 years ago
Michuzi.jpg)
WAZAZI MKOANI RUVUMA WATAKIWA KUTOWAFICHA WATOTO VIZIWI.
11 years ago
Dewji Blog15 May
Wazazi wenye watoto ambao wanatatizo la Usonji watakiwa kuwapenda watoto hao
Mwenyekiti wa Taasisi ya Wanawake na Maendeleo (WAMA) Mama Salma Kikwete.
Na Anna Nkinda – Maelezo
Wazazi wenye watoto ambao wanatatizo la usonji (Autism) nchini wametakiwa kuwapenda, kuwatunza na kuwapa mahitaji yao kama watoto wengine kwani ni makusudi na mapenzi ya Mwenyezi Mungu kuwapa watoto hao.
Mwito huo umetolewa leo na Mwenyekiti wa Taasisi ya Wanawake na Maendeleo (WAMA) Mama Salma Kikwete wakati akiongea na walimu, walezi na wazazi wa watoto hao katika Shule ya Msingi...
10 years ago
Mtanzania28 Apr
Watoto wenye ulemavu wamkuna Natasha
NA GEORGE KAYALA
MWIGIZAJI Susan Humba ‘Natasha’ amewataka wenye makampuni ya uandaaji wa filamu za bongo kuwatumia watoto wenye vipaji ambao wana ulemavu wa viungo.
Natasha alitoa kauli hiyo kwa watoto hao wenye ulemavu wa viungo wanaosoma Shule ya Sekondari Jangwani, jijini Dar es Salaam, baada ya kuonyesha uwezo wao wa kuigiza mbele yake.
Wanafunzi hao walionesha vipaji vyao mwishoni mwa wiki iliyopita, wakati wa uzinduzi wa shirika lisilo la kiserikali la Save Vulnerable Foundation...
10 years ago
Mtanzania04 May
Barnaba: Tusiwatenge watoto wenye ulemavu
NA RUTH MNKENI
WIMBO wa ‘Tuwapende’ wa msanii wa Bongo Fleva, Barnaba umetumika katika kampeni ya kuhamasisha jamii isiwatenge watoto wenye ulemavu wa akili.
Barnaba alionyesha kwa vitendo kuhamasisha jamii hiyo kupitia wimbo wake huo huku akicheza na baadhi ya watoto hao waliokuwa wamekusanyika katika matembezi hayo mwishoni mwa wiki.
“Mimi kwa kweli niliguswa ndiyo maana nikatoka na wimbo huo kwa kuwa naamini hakuna mtu anayependa kupata mtoto mwenye ulemavu wowote na ikitokea hivyo huwa...
5 years ago
Michuzi
WAZAZI WENYE WATOTO MAHITAJI MAALUM WAASWA KUWAPELEKA SHULE WATOTO WAO BADALA YA KUKAA NAO NYUMBANI
Ameyasema hayo wakati akitoa vifaa mbalimbali vilivyotolewa na wanawake viongozi wa Elimu Wilaya ya Tandahimba kwenye shule maalum mjimpya
Mwinuka ameeleza kuwa shule hiyo ni bweni hivyo wanapokea watoto wakike na wakiume wananchi waache kuwafungia ndani badala yake wawapeleke wakapate elimu mbalimbali...
10 years ago
GPLWATOTO WENYE ULEMAVU WAWAPONGEZA FPCT NA ERIKS
11 years ago
Mwananchi28 Jan
Njia bora za kuwasaidia watoto wenye ulemavu
5 years ago
BBCSwahili13 Feb
Muziki watumika kuwasaidia watoto wenye ulemavu wa akili