Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


WATOTO WENYE ULEMAVU WAWAPONGEZA FPCT NA ERIKS

Mmoja wa watoto wenye ulemavu, Kashindye Athumani aliyenufaika na mpango huo. Watoto wenye ulemavu katika maeneo mbalimbali ya Tanzania wameipongeza taasisi ya Free Pentecostal Church of Tanzania (FPCT) na wadhamini wake, ERIKS kwa kuwawezesha kuwa na nguvu ya kueleza mahitaji na changamoto zao kwa wazazi, serikali na jamii inayowazunguka. Wakizungumzia mradi huo unaowahusu wao, watoto hao wamesema umewawezesha kuzijua haki zao...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

KATIBU FPCT AZUNGUMZIA KONGAMANO LA KIMATAIFA LA WATOTO NA VIJANA WENYE ULEMAVU

Mchungaji Elias Shija akizungumza na waandishi wa habari (Hawapo pichani) Kulia ni mmoja wa waratibu wa kongamano hilo, Lucas Mhenga.…

 

9 years ago

GPL

FPCT, ERIKS DEVELOPMENT WATOA ‘WHEEL CHAIRS’ KWA WATOTO WALEMAVU!

Askofu wa Kanisa la FPCT Jimbo la Tabora Kusini, Mchungaji Isaya Ilumba akimkabidhi mwanafunzi Nassoro Ally kiti cha magurudumu. Mwanafunzi Nassoro Ally (miaka 10), wa darasa la kwanza, Shule ya Msingi Chemchem akiwa na bibi yake Joha Mhanuka baada ya kukabidhiwa kiti…

 

10 years ago

GPL

HALMASHAURI MKOANI DODOMA ZAUNGA MKONO JUHUDI ZA FPCT, ERIKS

Mkurugenzi wa Halmashauri ya Bahi, Fredrick Kayambo akisisitiza jambo. Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Chamwino, Elias Kaweya akizungumza. Msaidizi wa Katibu Tawala wa Mkoa wa Dodoma, Emmanuel  Kuboja akitoa…

 

10 years ago

Mtanzania

Watoto wenye ulemavu wamkuna Natasha

natashaNA GEORGE KAYALA
MWIGIZAJI Susan Humba ‘Natasha’ amewataka wenye makampuni ya uandaaji wa filamu za bongo kuwatumia watoto wenye vipaji ambao wana ulemavu wa viungo.
Natasha alitoa kauli hiyo kwa watoto hao wenye ulemavu wa viungo wanaosoma Shule ya Sekondari Jangwani, jijini Dar es Salaam, baada ya kuonyesha uwezo wao wa kuigiza mbele yake.
Wanafunzi hao walionesha vipaji vyao mwishoni mwa wiki iliyopita, wakati wa uzinduzi wa shirika lisilo la kiserikali la Save Vulnerable Foundation...

 

10 years ago

Mtanzania

Barnaba: Tusiwatenge watoto wenye ulemavu

BARNABANA RUTH MNKENI
WIMBO wa ‘Tuwapende’ wa msanii wa Bongo Fleva, Barnaba umetumika katika kampeni ya kuhamasisha jamii isiwatenge watoto wenye ulemavu wa akili.
Barnaba alionyesha kwa vitendo kuhamasisha jamii hiyo kupitia wimbo wake huo huku akicheza na baadhi ya watoto hao waliokuwa wamekusanyika katika matembezi hayo mwishoni mwa wiki.
“Mimi kwa kweli niliguswa ndiyo maana nikatoka na wimbo huo kwa kuwa naamini hakuna mtu anayependa kupata mtoto mwenye ulemavu wowote na ikitokea hivyo huwa...

 

9 years ago

StarTV

Wazazi watakiwa kutowaficha watoto wenye ulemavu

Wazazi wa watoto wenye ulemavu katika mkoa wa Tanga wameendelea kulaani tabia ya wazazi kuwaficha watoto wao majumbani badala ya kuwapeleka shuleni kupata elimu na maarifa yatakayowasaidia kwenye maisha yao.

Wazazi hao walikuwa wakizungumza katika hafla iliyowakutanisha walemavu kwenye kituo cha watoto wenye ulemavu cha YDCP kama sehemu ya kujumuika nao kusherehekea sikukuu ya Krismasi.

Wazazi hao wamesema ipo sababu ya msingi ya kuondokana na tabia ya kuwaficha watoto wenye ulemavu...

 

11 years ago

Mwananchi

Njia bora za kuwasaidia watoto wenye ulemavu

Katika jamii yetu wanazaliwa watoto wenye hitilafu mbalimbali kama vile ulemavu wa viungo, upofu wa macho, ubovu wa masikio, kutoweza kuongea na pia mtindio wa ubongo.

 

5 years ago

BBCSwahili

Muziki watumika kuwasaidia watoto wenye ulemavu wa akili

Asilimia moja ya watu duniani wanazaliwa wakiwa na matatizo ya akili na ubongo.

 

5 years ago

Michuzi

KAWAMBWA AKABIDHI VITI MWENDO KWA WATOTO WENYE ULEMAVU

 NA MWAMVUA MWINYI,BAGAMOYO  Mbunge wa Jimbo la Bagamoyo, Dkt. Shukuru Jumanne Kawambwa amekabidhi viti mwendo kwa watoto wenye ulemavu wa miguu katika jimbo lake.  Akizungumza wakati wa kukabidhi viti mwendo hivyo, Dkt. Kawambwa alisema kuwa, viti mwendo hivyo ni msaada kutoka kwa mama Janeth Magufuli hivyo anakabidhi kwa walengwa ili kutimiza wajibu wake kama alivyooagizwa na mama Janeth Magufuli.  Alisema Viti mwendo hivyo vitawasaidia watoto hao kutembea sehemu mbali mbali kwa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani