Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Changamoto za Walemavu Ndiyo Sababu Kubwa ya Wastara Kuingia Kwenye Siasa

Naitwa Wastara Juma kama watanzania wenzengu mnavyonifahamu mimi ni muigizaji wa filamu na kazi nyingine zinazohusiana na kiwanda cha filamu. leo niongee kitu ili watanzania wenzangu muelewe kwanini nimeamua kujiingiza kwenye siasa, kikubwa kilichonisukuma kuingia kwenye siasa ni jambo moja kubwa sana kwangu ambalo ni (WALEMAVU) .

Huwezi kusimulia uchungu wa mwana wakati haujawahi kuzaa huwezi kumzunguzia au kumtetea mlemavu hali ya kuwa hujui uchungu, matatizo na maumivu yake,, Mpaka sasa...

Bongo Movies

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

KAJALA AFUNGUKIA KUINGIA KWENYE SIASA

Imelda Mtema Staa wa sinema za Kibongo, Kajala Masanja ‘Kay’ amefungukia kuingia kwenye siasa kuwa ni bora abaki kwenye upenzi na chama fulani kwani hawezi kugombea. Akizungumza na Amani juzikati, Kajala alisema kuwa, japokuwa wasanii wengi wakiwemo wa tasnia ya filamu Bongo, wamekuwa wakichukua fomu za kutaka kugombea nafasi mbalimbali za udiwani na ubunge lakini kwake hafikirii kitu kama hicho. ...Soma...

 

10 years ago

Bongo5

Inspekta Haroun: Sina mpango wa kuingia kwenye siasa

Rapper mkongwe, Inspector Haroun aka Babu amesema pamoja na watu kibao kumtaka agombee nafasi mbalimbali za uongozi katika mtaa wake, amekataa kufanya hivyo kwakuwa anaamini muziki bado unamuhitaji. Inspector Haroun alikiambia kipindi cha Leo Tena, Clouds FM kuwa, hajajipanga kuwa kiongozi huku akiwatakia heri wale wote waliotangaza nia mpaka sasa. “Niseme kitu kimoja kwamba miaka […]

 

10 years ago

GPL

PREZZO AZIDI KUONYESHA NIA YAKE YA KUINGIA KWENYE SIASA

CMB Prezzo. MAPEMA mwaka jana, rapa wa nchini Kenya, CMB Prezzo katika mahojiano yake redioni alisema atakuwa akiwania nafasi ya kisiasa katika uchaguzi mkuu ujao. Mbali na kuwa alisema siku moja atawania nafasi ya urais, baadhi ya vyanzo vya habari vimeeleza kuwa kwa sasa staa huyo anajiandaa kuzindua kampeni yake ya kuingia kwenye siasa. Prezzo mwenyewe amethibitisha taarifa hizo kwa kusema: "Ni kweli nina mpango wa kuingia...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Siasa sio mchezo mchafu bali CCM ndiyo yenye siasa chafu

SIASA safi ni kitu chema na siasa ni maisha na naamini Naibu Spika wa Bunge, Job Ndugai atakubaliana na mimi asilimia mia kwa hili na kama si kweli hapana shaka...

 

10 years ago

Bongo Movies

Wastara Aelezea Kuguswa Kwake na Walemavu

Nimetumia kipaji changu,kuonesha thamani ya walemavu kwenye jamii,nimefanya filamu zaidi ya 20 kabla na baada ya kupata walemavu wa mgumu,hii inaonesha nimekua nikiguswa tangu zamani na ndio sababu ya kuingia kwenye siasa ili niweze kupaza sauti zisizosikika kwa muda mrefu

Wastara Juma “@wastara84” on instagram

 

9 years ago

Habarileo

Samia aahidi kubeba changamoto za walemavu

MGOMBEA Mwenza wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Samia Suluhu Hassan ameahidi kushirikiana na watu wenye ulemavu katika kutatua changamoto zinazowakabili.

 

10 years ago

Habarileo

Shule ya walemavu Buhangija yaelemewa na changamoto

SHULE ya watoto wenye ulemavu ya Buhangija Jumuishi inakabiliwa na changamoto kubwa zinazofanya maisha kwa watoto hao kuwa magumu.

 

10 years ago

Dewji Blog

Shule ya walemavu Buhangija Jumuishi yaelemewa na changamoto

DSC_0162

Mkurugenzi Mkazi wa Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia Elimu, Sayansi na Utamaduni (UNESCO) Tanzania, Zulmira Rodrigues akimsikiliza kwa makini Mkuu wa kitengo cha watoto walemavu shule ya msingi Buhangija Jumuishi ya mkoani Shinyanga Mwl. Loyce Daudi aliyekuwa akimwelezea changamoto mbalimbali walizonazo shuleni hapo.(Picha na Zainul Mzige).

Na MOblog, Shinyanga

SHULE ya watoto wenye ulemavu ya Buhangija Jumuishi inakabiliwa na changamoto kubwa zinazofanya maisha kwa watoto hao...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani