Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


KAJALA AFUNGUKIA KUINGIA KWENYE SIASA

Imelda Mtema Staa wa sinema za Kibongo, Kajala Masanja ‘Kay’ amefungukia kuingia kwenye siasa kuwa ni bora abaki kwenye upenzi na chama fulani kwani hawezi kugombea. Akizungumza na Amani juzikati, Kajala alisema kuwa, japokuwa wasanii wengi wakiwemo wa tasnia ya filamu Bongo, wamekuwa wakichukua fomu za kutaka kugombea nafasi mbalimbali za udiwani na ubunge lakini kwake hafikirii kitu kama hicho. ...Soma...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Bongo5

Inspekta Haroun: Sina mpango wa kuingia kwenye siasa

Rapper mkongwe, Inspector Haroun aka Babu amesema pamoja na watu kibao kumtaka agombee nafasi mbalimbali za uongozi katika mtaa wake, amekataa kufanya hivyo kwakuwa anaamini muziki bado unamuhitaji. Inspector Haroun alikiambia kipindi cha Leo Tena, Clouds FM kuwa, hajajipanga kuwa kiongozi huku akiwatakia heri wale wote waliotangaza nia mpaka sasa. “Niseme kitu kimoja kwamba miaka […]

 

10 years ago

GPL

PREZZO AZIDI KUONYESHA NIA YAKE YA KUINGIA KWENYE SIASA

CMB Prezzo. MAPEMA mwaka jana, rapa wa nchini Kenya, CMB Prezzo katika mahojiano yake redioni alisema atakuwa akiwania nafasi ya kisiasa katika uchaguzi mkuu ujao. Mbali na kuwa alisema siku moja atawania nafasi ya urais, baadhi ya vyanzo vya habari vimeeleza kuwa kwa sasa staa huyo anajiandaa kuzindua kampeni yake ya kuingia kwenye siasa. Prezzo mwenyewe amethibitisha taarifa hizo kwa kusema: "Ni kweli nina mpango wa kuingia...

 

10 years ago

Bongo Movies

Changamoto za Walemavu Ndiyo Sababu Kubwa ya Wastara Kuingia Kwenye Siasa

Naitwa Wastara Juma kama watanzania wenzengu mnavyonifahamu mimi ni muigizaji wa filamu na kazi nyingine zinazohusiana na kiwanda cha filamu. leo niongee kitu ili watanzania wenzangu muelewe kwanini nimeamua kujiingiza kwenye siasa, kikubwa kilichonisukuma kuingia kwenye siasa ni jambo moja kubwa sana kwangu ambalo ni (WALEMAVU) .

Huwezi kusimulia uchungu wa mwana wakati haujawahi kuzaa huwezi kumzunguzia au kumtetea mlemavu hali ya kuwa hujui uchungu, matatizo na maumivu yake,, Mpaka sasa...

 

10 years ago

GPL

KAJALA AFUNGUKIA ‘PROJECT’ NA IZZO BUSINESS

Stori: Imelda Mtema
BAADA ya kusambaa kwa picha nyingi mtandaoni zikimuonesha akiwa na staa wa Bongo Fleva, Emmanuel Simwinga ‘Izzo Business’, mwigizaji Kajala Masanja ameibuka na kueleza kuwa ukaribu huo ni wa kikazi zaidi. Staa wa mwigizaji Bongo Movies, Kajala Masanja. Mapema wiki hii, kupitia mtandao wa Instagram, Kajala alitupia picha tofautitofauti wakiwa sehemu moja na Izzo kiasi cha kuzua mashaka ndipo...

 

9 years ago

Bongo Movies

Lulu Afungukia Siasa na Kura Yake

Okay....nimeulizwa na Wengi na pengine yanasemwa mengi kuhusu ni Chama kipi cha Siasa nina support Kama ilivyoonekana Kwa Wasanii Wenzangu wengine..! Kwa kifupi nitajaribu kufafanua machache Kwa huu uwezo mdogo wa kufikiri nilijaaliwa na Mwenyezi Mungu..!

Kwanza,kila binadamu/mwananchi ana uhuru wa kuchagua na ku support anachokipenda...kwahyo sitangaa wala kuchukia Flani ku support upande flani


Pili,Mimi Kama mm(binafsi)hii ni Mara yangu ya kwanza kupiga kura kwahyo nimeamua kuitumia Kwa...

 

9 years ago

Bongo5

Avril afikiria kuingia kwenye utangazaji wa TV

11934732_674761035993224_863885011_n

Muimbaji wa Kenya, Avril huenda siku za usoni akaonekana kwenye screen yako akiendesha kipindi cha TV.

12145175_686805931419572_2121712968_n

Avril ameiambia Word Is ya gazeti la The Star la Kenya kuwa amekuwa akifuatwa na watu wengi wanaompa ofa ya kufanya talk show lakini bado hajazitilia maanani.

Yeye mwenyewe pia amesema kwa muda mrefu amekuwa akivutiwa kuendesha kipindi cha TV na kuna uwezekano wa kufanya hivyo siku za usoni.

“Ingawa muziki ni kitu ninachokipenda zaidi, nimewahi kupenda televisheni pia. Labda siku za usoni...

 

10 years ago

BBCSwahili

Wakatazwa kuingia kwenye ndege, kisa HIV

Abiria wawili wa shirika la ndege la China (China Airline), wameamua kulipeleka shirika hilo mahakamani

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani