Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Lulu Afungukia Siasa na Kura Yake

Okay....nimeulizwa na Wengi na pengine yanasemwa mengi kuhusu ni Chama kipi cha Siasa nina support Kama ilivyoonekana Kwa Wasanii Wenzangu wengine..! Kwa kifupi nitajaribu kufafanua machache Kwa huu uwezo mdogo wa kufikiri nilijaaliwa na Mwenyezi Mungu..!

Kwanza,kila binadamu/mwananchi ana uhuru wa kuchagua na ku support anachokipenda...kwahyo sitangaa wala kuchukia Flani ku support upande flani


Pili,Mimi Kama mm(binafsi)hii ni Mara yangu ya kwanza kupiga kura kwahyo nimeamua kuitumia Kwa...

Bongo Movies

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Bongo Movies

Lulu Afungukia Mimba Yake Iliyonzia Insta

HAPA NA PALE: Staa mrembo wa Bongo Movies, Elizabeth Michael ‘Lulu’ amewaponda baadhi ya watu ambao hupenda kuvumisha mambo hasa kupitia mtandao picha wa Instagram kuhusiana na habari zizilosambaa siku za nyuma kuwa staa huyo ana ujauzito huku picha hiyo hapo juu ikitumika kuonyesha mimba yenyewe.

“Mimba yangu hii ilianzia Insta ikaishia insta. Pale unapoamua kufanya project zako binafsi na viungo vyako.Mana watu wakufanya nao project wameisha...wote washafanya project na washafanywa...

 

11 years ago

GPL

LULU AFUNGUKIA WABAYA WAKE

Stori: shakoor jongo
Kumbe! Sexy lady wa sinema za Kibongo, Elizabeth Michael ‘Lulu’ amefunguka kwamba amewajua wabaya wake wanaomfuatilia na kumsakama kwa ubaya katika maisha yake, amewaonya kuwa dawa yao ipo jikoni. Sexy lady wa sinema za Kibongo, Elizabeth Michael ‘Lulu’. Akizungumza na Ijumaa Wikienda wikiendi iliyopita jijini Dar, Lulu alisema kuwa kila kukicha lazima watu hao waibuke na jipya...

 

11 years ago

GPL

LULU AFUNGUKIA PENZI NA NANDO WA BBA

Stori: Shakoor Jongo
MTOTO mzuri Bongo Movies, Elizabeth Michael ‘Lulu’ ameibuka na kufunguka kuwa amekerwa na kitendo cha mshiriki wa Shindano la Big Brother Africa (BBA) 2013, Amir Khan Nando kujinadi kuwa aliwahi kuwa ‘mtu’ wake kitu ambacho si cha kweli. Mtoto mzuri Bongo Movies, Elizabeth Michael ‘Lulu’. Akizungumza na Ijumaa kwa juzikati, Lulu alikiri kuwa Nando aliwahi kumtokea na...

 

10 years ago

GPL

KAJALA AFUNGUKIA KUINGIA KWENYE SIASA

Imelda Mtema Staa wa sinema za Kibongo, Kajala Masanja ‘Kay’ amefungukia kuingia kwenye siasa kuwa ni bora abaki kwenye upenzi na chama fulani kwani hawezi kugombea. Akizungumza na Amani juzikati, Kajala alisema kuwa, japokuwa wasanii wengi wakiwemo wa tasnia ya filamu Bongo, wamekuwa wakichukua fomu za kutaka kugombea nafasi mbalimbali za udiwani na ubunge lakini kwake hafikirii kitu kama hicho. ...Soma...

 

10 years ago

CloudsFM

Ruby afungukia kolabo yake na Diamond

Mkali wa ngoma inayotamba kwenye vituo mbalimbali za redio hapa nchini, ‘Yule’, Supa Nyota 2014,Ruby amesema kuwa kolabo yake na staa wa Bongo Fleva,Diamond Platnumz itafuata baada ya ngoma yake ya sasa. ‘’Ilikuwa nifanye ngoma yangu ya kwanza na Diamond kama ilikuwa ikisemekana kuwa supa nyota atafanya ngoma yake ya kwanza na Diamond lakini uongozi umeona kuwa ngoma ya kwanza nifanye mwenyewe ya pili ndo nitafanya naye naamini itakuwa bonge la ngoma mashabiki wakae mkao wa tayari...

 

10 years ago

GPL

RAY ‘AFUNGUKIA’ BASTOLA YAKE

Brighton Masalu STAA wa filamu Bongo, Vincent Kigosi ‘Ray The Greatest’ amefunguka na kuweka wazi kuwa kamwe hajawahi kuionesha bastola yake kwa makusudi au kutafuta sifa. ...Soma zaidi===>http://bit.ly/1HAPGAs

 

9 years ago

GPL

MSHINDI WA JAY MILLIONS AFUNGUKIA MAFANIKIO YAKE

Irene Mrema aliyekuwa mmoja wa washindi wa kitita cha shilingi Milioni 100 kupitia promosheni ya Jaymillions iliyokuwa ikiendeshwa na Vodacom Tanzania(kushoto) akimwelezea Meneja Uhusiano wa kampuni hiyo,Matina Nkurlu(kulia)alipomtembelea nyumbani kwake kujua maendeleo ya mafanikio aliyoyapata baada ya ushindi wake likiwemo la kumalizia nyumba ya kisasa anayoishi na familia yake maeneo ya Goba jijini Dar es Salaam. Meneja...

 

10 years ago

GPL

KAPTENI KOMBA AFUNGUKIA NYUMBA YAKE KUPIGWA MNADA

Mbunge wa Mbinga Magharibi, Kapteni John Komba. Stori: SHANI RAMADHANI
Mbunge wa Mbinga Magharibi, Kapteni John Komba ambaye pia ni Mkurugenzi wa Kundi la Sanaa la Tanzania One Theatre (TOT), amekanusha habari zinazoendelea kuzagaa kwamba nyumba yake iliyopo Mbezi Beach jijini Dar es Salaam imepigwa mnada na benki moja kutokana na madai ya kushindwa kulipa deni alilokuwa akidaiwa. “Mheshimiwa anadaiwa na benki kama...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani