Ruby afungukia kolabo yake na Diamond
CloudsFM
Habari Zinazoendana
10 years ago
Bongo516 Oct
Diamond adai kolabo yake na Ne-Yo imewatisha wasanii wa Nigeria
10 years ago
Bongo512 Oct
Ruby ajipanga kufanya kolabo na Christian Bella
11 years ago
CloudsFM10 Jun
MAFIKIZOLO WAMUOMBA KOLABO DIAMOND
Kundi la Mafikizolo la Afrika Kusini limemuomba kolabo Staa wa Bongo Fleva,Diamond Platnumz ambapo jana (June 9) waliingia katika studio ya Oskido iliyoko Johannesburg kurekodi wimbo huo.
“We doing a collaboration with Diamond,the song is sounding awesome yes” aliandika Theo Kgosinkwe wa Mafikizolo katika moja ya picha wakiwa studio na Diamond.
Collabo hiyo ya Mafikizolo na Diamond itampa nafasi nzuri zaidi Platnumz sababu ya ukubwa walionao wanamuziki hao wa Afrika Kusini.
Mafikizolo ni...
10 years ago
GPL
DAYNA: SINA MPANGO WA KOLABO NA DIAMOND
11 years ago
Tanzania Daima22 Jul
Kopa kufanya kolabo na Alikiba, Diamond
MALKIA wa mipasho nchini, Khadija Kopa, amesema katika kuchanganya ladha ya muziki kwa wapenzi wake, amepanga kufanya kolabo na wasanii wa muziki wa kizazi kipya, wakiwemo Alikiba na Diamond Platinumz....
11 years ago
Tanzania Daima03 Feb
Ali Kiba: ‘Kolabo’ na Diamond haitatokea
NYOTA wa muziki wa kizazi kipya nchini, Ali Kiba, amesema haitakuja kutokea kufanya ‘kolabo’ na msanii wa muziki huo, Naseeb Abdul ‘Diamond Platinum’ katika maisha yake. Kauli hiyo ya Ali...
10 years ago
Michuzi
Diamond Platnumz Kufanya kolabo na Usher Raymond?

Babu Tale (pichani) ni meneja wa Diamond Platnumz, amekutana kwenye hii Exclusive na dstv.com na kukubali kuizungumzia hiyo na ishu nyingine zote.
Kama wataka muziki ya kukupendeza basi jiburudishe na kipindi ya Official African Chart kila Jumanne saa 21:00 kwenye MTV Base.
Kupata chanzo na mengi mengine BOFYA HAPA
9 years ago
MillardAyo06 Jan
EXLUSIVE: Majibu ya Alikiba kuhusu kolabo yake na Davido
Ni Exclusive Interview Alikiba aliyoifanya na MillardAyo baada ya maswali kuendelea kuwepo kuhusu walipofikia baada ya Davido kuongea kwenye Interview na Millard Ayo July 2014 na kusema single nyingine na mkali wa bongofleva itakua ni yeye na Alikiba, sasa kujua alichosema Alikiba tazama hii Interview hapa chini.
The post EXLUSIVE: Majibu ya Alikiba kuhusu kolabo yake na Davido appeared first on TZA_MillardAyo.
10 years ago
GPL
JOH MAKINI ATOBOA SIRI YA KOLABO YAKE NA DAVIDO