Ali Kiba: ‘Kolabo’ na Diamond haitatokea
NYOTA wa muziki wa kizazi kipya nchini, Ali Kiba, amesema haitakuja kutokea kufanya ‘kolabo’ na msanii wa muziki huo, Naseeb Abdul ‘Diamond Platinum’ katika maisha yake. Kauli hiyo ya Ali...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi13 Jun
Ni mpambano wa Ali Kiba V Diamond
Kitendawili cha muda mrefu cha ‘nani mbabe kati ya Ali Kiba na Diamond’ huenda kikapata moja ya majawabu yake leo usiku, wakati wa tamasha la Tuzo za Muziki za Kilimanjaro (KTMA) zitakazofanyika kwenye ukumbi wa Mlimani City.
11 years ago
GPLALI KIBA, DIAMOND WAFIKA PABAYA!
Na Sifael Paul
Hatimaye! Kwa mara ya kwanza staa ‘the big name’ wa Bongo Fleva ndani na nje ya Bongo, Ali Saleh Kiba ameibuka na kumlipua hasimu wake, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, hali inayotafsiriwa kwamba bifu lao sasa limefika pabaya ikidaiwa kwamba wanagombea nyota (ustaa). Staa ‘the big name’ wa Bongo Fleva ndani na nje ya Bongo, Ali Saleh Kiba. Kupitia Kipindi cha The Sporah...
10 years ago
GPLALI KIBA ATANGAZA VITA NA DIAMOND!
Brighton Masalu VITA! Saa chache tu baada ya kutua kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA), Dar akitokea nchini Marekani kwa shughuli za kimuziki, staa wa Bongo Fleva, Ali Saleh Kiba ametangaza kile kinachotafsirika kuwa ni vita dhidi ya hasimu wake kwenye anga la muziki huo, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, Ijumaa Wikienda lina ‘full’ stori. Staa wa Bongo Fleva, Ali Saleh Kiba....
11 years ago
GPLALI KIBA VS DIAMOND WANAGOMBEA UFALME
INAWEZEKANA lisiwe jibu sahihi lakini kwa kiasi fulani linatoa picha juu ya kinachoendelea kwenye ulimwengu wa Bongo Fleva, kila kona gumzo ni juu ya nani mkali kimuziki kati ya Diamond Platnumz dhidi ya Ali Kiba. Ali Kiba. Nasibu Abdul ‘Diamond’ ndiye staa kwa sasa na amedumu kileleni kwa miaka kadhaa, hilo halina ubishi, lakini Ali Kiba amerejea kwa kutoa nyimbo mbili za Kimasomaso na… ...
10 years ago
Mwananchi07 Feb
Ali Kiba afunguka kuhusu bifu na Diamond
Hatimaye staa wa Bongofleva Ali Kiba amekiri kuwa yuko katika bifu na mwanamuziki mwenzie Diamond Platnumz kwa zaidi ya miaka mitatu sasa.
10 years ago
GPLDIAMOND, ALI KIBA WAKUTANA UKUMBINI, WACHUNIANA!
Stori: Laurent Samatta na Gabriel Ngo’sha
Duh! Kama ulikuwa unaamini kuwa lile bifu la wakali wawili wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ na Ali Saleh Kiba, limekwisha, basi umenoa baada ya jamaa hao kukutana ukumbini na kuchuniana. Baadhi ya wasanii wa Bongo fleva wakiwa kwenye mkutano. Ishu hiyo ilijiri kwenye Ukumbi wa Hoteli ya Double Tree Hilton jijini Dar, juzikati ambapo wasanii...
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania