Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Ali Kiba afunguka kuhusu bifu na Diamond

Hatimaye staa wa Bongofleva Ali Kiba amekiri kuwa yuko katika bifu na mwanamuziki mwenzie Diamond Platnumz kwa zaidi ya miaka mitatu sasa.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

GURU G LOVER ALONGA NA VIJIMAMBO AFUNGUKA KUHUSU YEYE NA ALI KIBA NI KWANINI WALISHINDWANA

Dj G Lover Dj wa siku nyingi katika anga ya muziki Tanzania na Dj anaepambana na kuupaisha muziki wa kizazi kipya kila kukicha leo Ijumaa Aug 1, 2014 alifanya mahajiano ya simu na VIJIMAMBO  aliongelea mambo mengi kuhusu wasanii na sababu gani walishindwana yeye na Ali Kiba MSIKILIZEPicha juu na chini Dj G Lover akiwa na wasanii mbambali wa Bongo Flava

 

11 years ago

GPL

GURU G LOVER ALONGA NA VIJIMAMBO AFUNGUKA KUHUSU YEYE NA ALI KIBA NI KWANINI WALISHINDWANA‏

Dj G Lover Dj wa siku nyingi katika anga ya muziki Tanzania na Dj anaepambana na kuupaisha muziki wa kizazi kipya kila kukicha leo Ijumaa Aug 1, 2014 alifanya mahajiano ya simu na VIJIMAMBO  aliongelea mambo mengi kuhusu wasanii na sababu gani walishindwana yeye na Ali Kiba MSIKILIZE


Picha juu na chini Dj G Lover akiwa na wasanii mbambali wa Bongo… ...

 

11 years ago

Mwananchi

Ali Kiba: Atoboa kuhusu 'mapenzi' na Lulu,ugomvi na Diamond-2

>Msanii wa muziki wa kizazi kipya, Ali Salehe Kiba maarufu Alikiba, amezungumzia yaliyomsibu hata kujiweka kando ya shughuli za muziki na ujio wake mpya.

 

9 years ago

GPL

MAGUFULI AMALIZA BIFU LA KIBA, DIAMOND

Mwandishi wetu Ikiwa imebaki siku moja kabla ya uchaguzi mkuu, hatimaye mgombea wa nafasi ya urais kwa leseni ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. John Pombe Magufuli amemaliza yale mabifu sugu kati ya manguli wawili wa Bongo Fleva, Ali Saleh Kiba na Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ na lile la Wema Isaac Sepetu na Aunt Ezekiel, Ijumaa linaweza kuripoti. ...Soma zaidi===>http://bit.ly/1KsV75W ...

 

10 years ago

Mwananchi

Ni mpambano wa Ali Kiba V Diamond

Kitendawili cha muda mrefu cha ‘nani mbabe kati ya Ali Kiba na Diamond’ huenda kikapata moja ya majawabu yake leo usiku, wakati wa tamasha la Tuzo za Muziki za Kilimanjaro (KTMA) zitakazofanyika kwenye ukumbi wa Mlimani City.

 

11 years ago

GPL

ALI KIBA VS DIAMOND WANAGOMBEA UFALME

INAWEZEKANA lisiwe jibu sahihi lakini kwa kiasi fulani linatoa picha juu ya kinachoendelea kwenye ulimwengu wa Bongo Fleva, kila kona gumzo ni juu ya nani mkali kimuziki kati ya Diamond Platnumz dhidi ya Ali Kiba. Ali Kiba. Nasibu Abdul ‘Diamond’ ndiye staa kwa sasa na amedumu kileleni kwa miaka kadhaa, hilo halina ubishi, lakini Ali Kiba amerejea kwa kutoa nyimbo mbili za Kimasomaso na… ...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Ali Kiba: ‘Kolabo’ na Diamond haitatokea

NYOTA wa muziki wa kizazi kipya nchini, Ali Kiba, amesema haitakuja kutokea kufanya ‘kolabo’ na msanii wa muziki huo, Naseeb Abdul ‘Diamond Platinum’ katika maisha yake. Kauli hiyo ya Ali...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani