Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


GURU G LOVER ALONGA NA VIJIMAMBO AFUNGUKA KUHUSU YEYE NA ALI KIBA NI KWANINI WALISHINDWANA‏

Dj G Lover Dj wa siku nyingi katika anga ya muziki Tanzania na Dj anaepambana na kuupaisha muziki wa kizazi kipya kila kukicha leo Ijumaa Aug 1, 2014 alifanya mahajiano ya simu na VIJIMAMBO  aliongelea mambo mengi kuhusu wasanii na sababu gani walishindwana yeye na Ali Kiba MSIKILIZE


Picha juu na chini Dj G Lover akiwa na wasanii mbambali wa Bongo… ...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

GURU G LOVER ALONGA NA VIJIMAMBO AFUNGUKA KUHUSU YEYE NA ALI KIBA NI KWANINI WALISHINDWANA

Dj G Lover Dj wa siku nyingi katika anga ya muziki Tanzania na Dj anaepambana na kuupaisha muziki wa kizazi kipya kila kukicha leo Ijumaa Aug 1, 2014 alifanya mahajiano ya simu na VIJIMAMBO  aliongelea mambo mengi kuhusu wasanii na sababu gani walishindwana yeye na Ali Kiba MSIKILIZEPicha juu na chini Dj G Lover akiwa na wasanii mbambali wa Bongo Flava

 

10 years ago

Mwananchi

Ali Kiba afunguka kuhusu bifu na Diamond

Hatimaye staa wa Bongofleva Ali Kiba amekiri kuwa yuko katika bifu na mwanamuziki mwenzie Diamond Platnumz kwa zaidi ya miaka mitatu sasa.

 

11 years ago

GPL

SEIF AKIDA MDAU TOKA NEW YORK ALONGA NA VIJIMAMBO‏

Seif Akida's Interview from Luke Joe on Vimeo. Aelezea maisha yake na kuilezea kazi ya kuendesha magari makubwa Marekani ni kazi isiyokuwa na kipato kikubwa kama watu wengine wanavyofikiria pia wenzetu walichukuliaje swala la usalama wa magari hayo makubwa yenye matairi 18, ni nini kinachosababisha ajali nyingi zinazotokea nyumbani Tanzania. MSIKILIZE ...

 

10 years ago

GPL

ALI KIBA & ABDU KIBA KUWARUSHA LIVE WASHINGTON DC JUMAMOSI HII TAREHE 6‏

KWA MARA YA KWANZA SHOW YA AINA YAKE KATI YA WANA NDUGU WAWILI ALI NA ABDU KIBA ITAFANYIKA WASHINGTON DMV,JUMAMOSI HII PALE FIRE STATION 1, 8131,GEORGIA AVENUE,DOWN TOWN SILVER SPRING,VIP PACKAGE ZINAPATIKANA,FREE PARKING

 

11 years ago

Mwananchi

Ali Kiba: Atoboa kuhusu 'mapenzi' na Lulu,ugomvi na Diamond-2

>Msanii wa muziki wa kizazi kipya, Ali Salehe Kiba maarufu Alikiba, amezungumzia yaliyomsibu hata kujiweka kando ya shughuli za muziki na ujio wake mpya.

 

9 years ago

GPL

ALI KIBA NA VICTORIA KIMANI KUWASHA MOTO COKE STUDIO KESHO‏

Staa wa muziki wa Bongo Fleva Ali Kiba (kulia) kutoka Tanzania na Victoria Kimani kutoka Kenya. Wasanii nguli wa muziki wa Bongo Fleva Ali Kiba kutoka Tanzania na Victoria Kimani kutoka Kenya kesho Jumamosi watawasha moto katika onyesho la muziki la Coke studio linalorushwa na luninga ya Clouds kila siku ya Jumamosi. Ali Kiba ambaye anatamba na kwa vibao vyake mbalimbali katika msimu huu wa Coke Studio amefanya Kolabo matata...

 

10 years ago

Michuzi

ALI KIBA NA ABDU KIBA WALIVYOWARUSHA WASHINGTON DC..WAKISINDIKIZWA NA AJ UBAO !

ALI KIBA NA MBWEMBWE ZAKE SASA
ALI KIBA NA ABDU KIBA WAKIWARUSHA


WAANDAAJI "DMK GLOBAL
Kwa picha zaidi BOFYA HAPA

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani