DIAMOND, ALI KIBA WAKUTANA UKUMBINI, WACHUNIANA!
![](http://api.ning.com:80/files/eHhH0wF8G5C7dFpu293thBoKtx7llLmxkr0al7sar*5khzuyuX4CXIHhI2uo6j2hxqlxA4ifeCd8oC6yyuofs1tE1IP81xxc/BACK..jpg)
Stori: Laurent Samatta na Gabriel Ngo’sha Duh! Kama ulikuwa unaamini kuwa lile bifu la wakali wawili wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ na Ali Saleh Kiba, limekwisha, basi umenoa baada ya jamaa hao kukutana ukumbini na kuchuniana. Baadhi ya wasanii wa Bongo fleva wakiwa kwenye mkutano. Ishu hiyo ilijiri kwenye Ukumbi wa Hoteli ya Double Tree Hilton jijini Dar, juzikati ambapo wasanii...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi13 Jun
Ni mpambano wa Ali Kiba V Diamond
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Tkccsb*3vm4V1LFxO6Azmj*1uYwxcmJquNBTyIhtMSyWuynmnyJ7hNSn9qqvxvFyKA*PKRo7UTspZZkHU004ME*MeYHKkU2v/1213copy.jpg?width=650)
ALI KIBA VS DIAMOND WANAGOMBEA UFALME
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/lihD20i2jrxcqicIMKVQCrk2N7XnWhUUZeGzFxIZjpyMFzu6tJi1wwgvagmL61kMYmSpUZ4NVZlNGgeZwUSBpoS*X3RjHqoB/666o.jpg?width=650)
ALI KIBA ATANGAZA VITA NA DIAMOND!
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/mrjGDDFzeeF0zZeZGlSJHtOWY-SnzsI*8fW09fH5-*ZDgnKKuurQrzT8uXdvYKhtBHByo2bnh7Pije8ZlgjEtn498nQ0qZBl/alli.jpg)
ALI KIBA, DIAMOND WAFIKA PABAYA!
11 years ago
Tanzania Daima03 Feb
Ali Kiba: ‘Kolabo’ na Diamond haitatokea
NYOTA wa muziki wa kizazi kipya nchini, Ali Kiba, amesema haitakuja kutokea kufanya ‘kolabo’ na msanii wa muziki huo, Naseeb Abdul ‘Diamond Platinum’ katika maisha yake. Kauli hiyo ya Ali...
10 years ago
Mwananchi07 Feb
Ali Kiba afunguka kuhusu bifu na Diamond
10 years ago
Mtanzania29 Apr
Diamond, Ali Kiba wachuana Tuzo za Watu
NA MWANDISHI WETU, DAR ES SALAAM
WANAMUZIKI mahiri wa muziki wa Bongo fleva nchini, Naseeb Abdul ‘Diamond Platinumz’ na Ali Kiba, ni miongoni mwa wasanii wanaochuana katika Tuzo ya Msanii Bora wa Kiume katika Tuzo za Watu 2015.
Kwa mujibu wa Mkurugenzi Mkuu wa kampuni ya Bongo 5 Media Group, inayoratibu tuzo hizo, Nancy Sumari, wasanii wengine walio katika kipengele hicho ni Elias Barnaba, Ommy Dimpoz na Jux.
Katika kipengele cha msanii bora wa kike wanaochuana ni Lady Jaydee, Linah,...