Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


LULU AFUNGUKIA WABAYA WAKE

Stori: shakoor jongo
Kumbe! Sexy lady wa sinema za Kibongo, Elizabeth Michael ‘Lulu’ amefunguka kwamba amewajua wabaya wake wanaomfuatilia na kumsakama kwa ubaya katika maisha yake, amewaonya kuwa dawa yao ipo jikoni. Sexy lady wa sinema za Kibongo, Elizabeth Michael ‘Lulu’. Akizungumza na Ijumaa Wikienda wikiendi iliyopita jijini Dar, Lulu alisema kuwa kila kukicha lazima watu hao waibuke na jipya...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

AUNTY LULU AWAENDEA KWA BABU WABAYA WAKE


Stori: Gladness Mallya
MWIGIZAJI asiyekaukiwa matukio Bongo, Lulu Mathias ‘Aunty Lulu’ amefunguka kuwa amekwenda kwa mganga (babu) Mtwara kwa ajili ya kuweka zindiko wabaya wake wasimsumbue. Staa wa Filamu za Kibongo, Lulu Semagongo ‘Aunt Lulu’. Akipiga stori na mwanahabari wetu, Aunty Lulu alisema kuna wabaya wake wamekuwa wakimfanyia ‘mambo’ mabwana zake wayeyuke hivyo hayupo tayari...

 

10 years ago

Mtanzania

Zari awatuliza wabaya wake

ZARINA MWALI IBRAHIM, DAR ES SALAAM
MPENZI wa msanii wa muziki wa Bongo Fleva, Nassib Abdul ‘Dimond’, Zarinah Hassab ‘Zari The Boss Lady’, amewakata mdomo waliokuwa wakimbeza kuwa hana ujauzito kwa kuweka picha kwenye mtandao wake wa Instagram akionyesha ‘kitumbo’ chake.
Watu mbalimbali walikuwa wakionyesha kutokuamini ujauzito wa mrembo huyo, huku wengine wakidai kuwa ni ya kutengeneza.
Msanii huyo wa Uganda, Zari, ambaye amekuwa kimya, juzi aliamua kuweka picha zake mbili kwenye mtandao wake...

 

9 years ago

Bongo Movies

Lulu Afungukia Siasa na Kura Yake

Okay....nimeulizwa na Wengi na pengine yanasemwa mengi kuhusu ni Chama kipi cha Siasa nina support Kama ilivyoonekana Kwa Wasanii Wenzangu wengine..! Kwa kifupi nitajaribu kufafanua machache Kwa huu uwezo mdogo wa kufikiri nilijaaliwa na Mwenyezi Mungu..!

Kwanza,kila binadamu/mwananchi ana uhuru wa kuchagua na ku support anachokipenda...kwahyo sitangaa wala kuchukia Flani ku support upande flani


Pili,Mimi Kama mm(binafsi)hii ni Mara yangu ya kwanza kupiga kura kwahyo nimeamua kuitumia Kwa...

 

11 years ago

GPL

LULU AFUNGUKIA PENZI NA NANDO WA BBA

Stori: Shakoor Jongo
MTOTO mzuri Bongo Movies, Elizabeth Michael ‘Lulu’ ameibuka na kufunguka kuwa amekerwa na kitendo cha mshiriki wa Shindano la Big Brother Africa (BBA) 2013, Amir Khan Nando kujinadi kuwa aliwahi kuwa ‘mtu’ wake kitu ambacho si cha kweli. Mtoto mzuri Bongo Movies, Elizabeth Michael ‘Lulu’. Akizungumza na Ijumaa kwa juzikati, Lulu alikiri kuwa Nando aliwahi kumtokea na...

 

9 years ago

Mtanzania

Rodgers alia na wabaya wake Liverpool

brendan rodgersLIVERPOOL, ENGLAND

KOCHA wa klabu ya Liverpool, Brendan Rodgers, amesema kuwa kuna wabaya wake katika klabu hiyo ambao wanatamani aondoke, lakini anaamini ataendelea kuitumikia timu hiyo kwa muda mrefu.

Klabu hiyo imekuwa na matokeo mabaya katika michuano ya Ligi Kuu msimu huu, lakini mchezo ambao ulipigwa kwenye Uwanja wa Anfield mwishoni mwa wiki iliyopita, Liverpool ilifanikiwa kupata ushindi wa mabao 3-2 dhidi ya Aston Villa na kuifanya klabu hiyo kushika nafasi ya nane katika msimamo wa...

 

9 years ago

Bongo Movies

Lulu Afungukia Mimba Yake Iliyonzia Insta

HAPA NA PALE: Staa mrembo wa Bongo Movies, Elizabeth Michael ‘Lulu’ amewaponda baadhi ya watu ambao hupenda kuvumisha mambo hasa kupitia mtandao picha wa Instagram kuhusiana na habari zizilosambaa siku za nyuma kuwa staa huyo ana ujauzito huku picha hiyo hapo juu ikitumika kuonyesha mimba yenyewe.

“Mimba yangu hii ilianzia Insta ikaishia insta. Pale unapoamua kufanya project zako binafsi na viungo vyako.Mana watu wakufanya nao project wameisha...wote washafanya project na washafanywa...

 

10 years ago

Vijimambo

Escrow Yaendelea Kumtesa Tibaijuka..Amshambulia Halima Mdee, Adai Anatumiwa na Wabaya Wake Kumchafua


Mbunge wa Muleba Kusini (CCM), Profesa Anna Tibaijuka amemshambulia Mbunge wa Kawe (Chadema), Halima Mdee pamoja na baadhi ya vyombo vya habari kwamba vinatumiwa na wabaya wake kumkashifu katika utendaji wake.Profesa Tibaijuka alitoa shutuma hizo wakati akihutubia wananchi wa Kata ya Bureza. Alisema alikumbwa na kashfa ya Escrow, kutokana na kupata fedha kutoka kwa kaka yake Rugemalila (James) alizompa kusaidia shule anayoisimamia.
Alikanusha tuhuma zilizotolewa na Mdee bungeni dhidi yake...

 

10 years ago

GPL

JOKATE AFUNGUKIA USHINDI WAKE!

BRIGHTON MASALU SIKU chache baada ya kupata ushindi wa Tuzo ya Muigizaji Bora wa Kike kupitia filamu ya Mikono Salama, muigizaji Jokate Mwegelo ‘Kidoti’ amesema kamwe hakubahatisha na kwamba ataendelea kuongeza bidii katika uigizaji wake japo hajaweka nia thabiti juu ya kazi hiyo. ...Soma zaidi===>http://bit.ly/1HwWeQC

 

10 years ago

GPL

SNURA ATINGA GLOBAL TV, AFUNGUKIA UKIMYA WAKE

Msanii wa muziki wa mduara, Snura Mushi 'Snura' akiwa katika pozi. Mtangazaji wa Global TV, Mourad Alpha (kushoto) akifanya mahojiano na Snura.…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani