Zari awatuliza wabaya wake
NA MWALI IBRAHIM, DAR ES SALAAM
MPENZI wa msanii wa muziki wa Bongo Fleva, Nassib Abdul ‘Dimond’, Zarinah Hassab ‘Zari The Boss Lady’, amewakata mdomo waliokuwa wakimbeza kuwa hana ujauzito kwa kuweka picha kwenye mtandao wake wa Instagram akionyesha ‘kitumbo’ chake.
Watu mbalimbali walikuwa wakionyesha kutokuamini ujauzito wa mrembo huyo, huku wengine wakidai kuwa ni ya kutengeneza.
Msanii huyo wa Uganda, Zari, ambaye amekuwa kimya, juzi aliamua kuweka picha zake mbili kwenye mtandao wake...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
10 years ago
BBCSwahili23 Dec
Rais wa Ufaransa awatuliza raia wake
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/c2nk1pk6akQykxR3cVykaBL9h0vaaxMAGO7kuxhap5gv3CmTljzWgMWmlUhkAKZuEzAxIPEndj*gGlKSRvMAjRSjmjKnv7aw/LULU.jpg)
LULU AFUNGUKIA WABAYA WAKE
9 years ago
Mtanzania29 Sep
Rodgers alia na wabaya wake Liverpool
LIVERPOOL, ENGLAND
KOCHA wa klabu ya Liverpool, Brendan Rodgers, amesema kuwa kuna wabaya wake katika klabu hiyo ambao wanatamani aondoke, lakini anaamini ataendelea kuitumikia timu hiyo kwa muda mrefu.
Klabu hiyo imekuwa na matokeo mabaya katika michuano ya Ligi Kuu msimu huu, lakini mchezo ambao ulipigwa kwenye Uwanja wa Anfield mwishoni mwa wiki iliyopita, Liverpool ilifanikiwa kupata ushindi wa mabao 3-2 dhidi ya Aston Villa na kuifanya klabu hiyo kushika nafasi ya nane katika msimamo wa...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/xa7rDnAgaa45IcTV7X9xBIaWbQxnUuaqE-fUtdV6PsWrouDt7-r57sWn4oojWWJ7zXVlEOd4pjOZgaVWpDx-RMt9SKwwQgAQ/2.jpg?width=650)
AUNTY LULU AWAENDEA KWA BABU WABAYA WAKE
10 years ago
Vijimambo![](http://1.bp.blogspot.com/-mAr53L28UR0/VUOBSPD79PI/AAAAAAAAtBs/ZszPK3SJ_xg/s72-c/zari%2Bwetu.jpg)
Tuache ushabiki Jamani Huyu Dada Tumpe Hongera yake... Ubunifu Wake Nimeupenda..Mitandao ya Kijamii leo ni Zari Zari
![](http://1.bp.blogspot.com/-mAr53L28UR0/VUOBSPD79PI/AAAAAAAAtBs/ZszPK3SJ_xg/s640/zari%2Bwetu.jpg)
Zari "Watanzania Wamenikaribisha kama ni mtu wao na sasa mimi ni wao hivyo ni yote ni heri kabisa"
Zari Tlale aka The Bosslady amesema upendo anaoupata baada ya kuanzisha uhusiano na Diamond Platnumz, umemfanya agundue kuwa watanzania wamemkubali kama mtu wao.
Akiongea na Clouds FM/TV asubuhi hii, Zari amesema tangu ameanza kuja Tanzania amekuwa akipokea upendo zaidi kutoka kwa watanzania kiasi ambacho kimemfanya ajisikie kama yupo kwao.“Siwezi hata kulalamika, watu wa Tanzania ni wakarimu...
10 years ago
Vijimambo![](http://3.bp.blogspot.com/-POvVTW6kW08/VZN7vNudyrI/AAAAAAAAwyo/SEo4KroQRPc/s72-c/pic%252Btibaijuka.jpg)
Escrow Yaendelea Kumtesa Tibaijuka..Amshambulia Halima Mdee, Adai Anatumiwa na Wabaya Wake Kumchafua
![](http://3.bp.blogspot.com/-POvVTW6kW08/VZN7vNudyrI/AAAAAAAAwyo/SEo4KroQRPc/s640/pic%252Btibaijuka.jpg)
Mbunge wa Muleba Kusini (CCM), Profesa Anna Tibaijuka amemshambulia Mbunge wa Kawe (Chadema), Halima Mdee pamoja na baadhi ya vyombo vya habari kwamba vinatumiwa na wabaya wake kumkashifu katika utendaji wake.Profesa Tibaijuka alitoa shutuma hizo wakati akihutubia wananchi wa Kata ya Bureza. Alisema alikumbwa na kashfa ya Escrow, kutokana na kupata fedha kutoka kwa kaka yake Rugemalila (James) alizompa kusaidia shule anayoisimamia.
Alikanusha tuhuma zilizotolewa na Mdee bungeni dhidi yake...
9 years ago
Mtanzania18 Dec
Bocco awatuliza mashabiki Azam
ADAM MKWEPU NA MWALI IBRAHIM, DAR ES SALAAM
MSHAMBULIAJI wa Azam FC, John Bocco amewatuliza mashabiki wa timu hiyo na kuwataka wasubiri ushindi wa kishindo watakapocheza na Majimaji keshokutwa katika Uwanja wa Majimaji, Songea.
Azam ilipata matokeo ya sare ya mabao 2-2 dhidi ya Simba Jumamosi iliyopita na kufikisha pointi 26 zilizoifanya ishuke hadi nafasi ya pili na kuwapa wapinzani wao Yanga nafasi ya kurudi kileleni kwa kujikusanyia pointi 27.
Akizungumza na MTANZANIA jana nyota huyo...
11 years ago
Mwananchi11 Mar
Askofu Mtetemela awatuliza wananchi