AUNTY LULU AWAENDEA KWA BABU WABAYA WAKE
![](http://api.ning.com:80/files/xa7rDnAgaa45IcTV7X9xBIaWbQxnUuaqE-fUtdV6PsWrouDt7-r57sWn4oojWWJ7zXVlEOd4pjOZgaVWpDx-RMt9SKwwQgAQ/2.jpg?width=650)
Stori: Gladness Mallya MWIGIZAJI asiyekaukiwa matukio Bongo, Lulu Mathias ‘Aunty Lulu’ amefunguka kuwa amekwenda kwa mganga (babu) Mtwara kwa ajili ya kuweka zindiko wabaya wake wasimsumbue. Staa wa Filamu za Kibongo, Lulu Semagongo ‘Aunt Lulu’. Akipiga stori na mwanahabari wetu, Aunty Lulu alisema kuna wabaya wake wamekuwa wakimfanyia ‘mambo’ mabwana zake wayeyuke hivyo hayupo tayari...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/c2nk1pk6akQykxR3cVykaBL9h0vaaxMAGO7kuxhap5gv3CmTljzWgMWmlUhkAKZuEzAxIPEndj*gGlKSRvMAjRSjmjKnv7aw/LULU.jpg)
LULU AFUNGUKIA WABAYA WAKE
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/pezQEPsid2iilZl6bMAt6*t*3s63ryYYAOjJvVvTlJVLSj3wUeUXLTqJzO7eNofrVLQQXcj3Wiqxnhwm8k*Zi2DZzhcmzvBx/wpidlulu1.jpg)
AUNTY LULU ANASWA KWA SANGOMA
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/YkTQKvQouupdwBrsXDvWfc*Gb*8Wbp-TsaJKfwSw6-PDqzXJL7rZtVqlUAWPqkge0hTkHqRQIUOOKviMtWkHecONTYWENPLe/1.jpg?width=650)
AUNTY LULU AMWANGUKIA MAMA’KE KWA USAGAJI
10 years ago
Mtanzania08 Apr
Zari awatuliza wabaya wake
NA MWALI IBRAHIM, DAR ES SALAAM
MPENZI wa msanii wa muziki wa Bongo Fleva, Nassib Abdul ‘Dimond’, Zarinah Hassab ‘Zari The Boss Lady’, amewakata mdomo waliokuwa wakimbeza kuwa hana ujauzito kwa kuweka picha kwenye mtandao wake wa Instagram akionyesha ‘kitumbo’ chake.
Watu mbalimbali walikuwa wakionyesha kutokuamini ujauzito wa mrembo huyo, huku wengine wakidai kuwa ni ya kutengeneza.
Msanii huyo wa Uganda, Zari, ambaye amekuwa kimya, juzi aliamua kuweka picha zake mbili kwenye mtandao wake...
9 years ago
Mtanzania29 Sep
Rodgers alia na wabaya wake Liverpool
LIVERPOOL, ENGLAND
KOCHA wa klabu ya Liverpool, Brendan Rodgers, amesema kuwa kuna wabaya wake katika klabu hiyo ambao wanatamani aondoke, lakini anaamini ataendelea kuitumikia timu hiyo kwa muda mrefu.
Klabu hiyo imekuwa na matokeo mabaya katika michuano ya Ligi Kuu msimu huu, lakini mchezo ambao ulipigwa kwenye Uwanja wa Anfield mwishoni mwa wiki iliyopita, Liverpool ilifanikiwa kupata ushindi wa mabao 3-2 dhidi ya Aston Villa na kuifanya klabu hiyo kushika nafasi ya nane katika msimamo wa...
10 years ago
Bongo Movies22 Mar
Bondi, Aunty Lulu Wapashana
Mastaa wa Bongo Movies na watangazaji waliowahi kuwa wapenzi, Bondi Bin Suleiman na Lulu Semagongo ‘Aunty Lulu’ hivi karibuni walipashana baada ya kila mmoja kumdhihaki mwenzake kuwa hana kazi anayofanya mjini.
Bondi alisema kitu kikubwa anachokifanya Aunty Lulu ni kubadilisha wanaume ndiyo sababu ya kushindwa kuendelea na kazi yake ya utangazaji na filamu, akiishia kudanganya kuwa yeye ni mjasiriamali.
Lakini Aunty Lulu naye alijibu tuhuma hizo akisema mwandani wake huyo wa zamani...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/n7ZUxQJY0YvVcZCTfMENVmKX0Aldso14kWaLdo8NuIWdt3wl0uzsrgPjd*HxtEkl6Lnk9ebrCQCie7In2s95EMlCNW5fJDoC/lulu.jpg?width=650)
AUNTY LULU KIPIGO CHAMTULIZA
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/SPs2IsiC3PK5dk0PN1DUUbERqne81EHmMc2hCgGnEuRZ57hrxwbdsGkaI-D-04ffhjR5lZ88fS40D3HoJB*8Euj-AHnKF0Y1/lulu.jpg?width=650)
AUNTY LULU ACHEZEA KICHAPO
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/V0EnpUkUMSX90SstcC7p39vVr0kH5Z6ZASJk9v*LvSTFPbVTI3efQqnwsNdkjfpNOPIRM7O*7TjiSJJFjOOHSWR5uE3rAt7r/FRONTJUMAMOSI70.gif?width=650)
AUNTY LULU ASIMULIA ALIVYOBAKWA