AUNTY LULU AMWANGUKIA MAMA’KE KWA USAGAJI

Stori: Imelda Mtema SORY! Staa wa filamu Bongo, Lulu Semagongo ‘Aunt Lulu’ amefunguka kuwa skendo ya kujihusisha ya vitendo vya kisagaji inayomuandama imemsababishia msala mkubwa kwa mama yake na kuamua kumuomba radhi. Staa wa filamu Bongo, Lulu Semagongo ‘Aunt Lulu’ akiwa ndani ya ofisi za Global. Akizungumza na paparazi wetu, Aunty Lulu alisema mama yake ana ugonjwa wa presha hivyo amejirekebisha...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL
AUNTY LULU: NITAFANYA DHAMBI ZOTE SI USAGAJI
10 years ago
GPL
AUNTY LULU ANASWA KWA SANGOMA
10 years ago
Bongo Movies01 Jan
LULU:Mbali ya Kunizaa Kwa Uchungu, Ulizibeba Aibu Zangu...Ujumbe wa Lulu kwa Mama yake
“Huwezi kuamini Ilinibidi nianze kuandika hii risala 3day before ur birthday (mana Sio caption tena)
Kwanza nashukuru kwa MAPENZI na heshima uliyonipa kwa kuniweka tumboni kwako miezi 9,kunizaa kwa uchungu na kunilea kiroho,kiakili na ki mwili pia...Namshukuru Mungu kwa kunipa ww kama Mzazi WANGU na ninajivunia hilo sana..!
Kuna wakati nakukosea na kukuumiza Lkn kiukweli huwa naumia na kujuta sana baada Ya kujua kosa langu.
Licha Ya uchungu uliopata kwa kunizaa na kunilea upo wakati...
10 years ago
Bongo Movies01 Jan
LULU:Mbali ya Kunizaa Kwa Uchungu, Ulizibeba Aibu Zangu...Ujumbe Mzito wa Lulu kwa Mama Yake
“Huwezi kuamini Ilinibidi nianze kuandika hii risala 3day before ur birthday (mana Sio caption tena)
Kwanza nashukuru kwa MAPENZI na heshima uliyonipa kwa kuniweka tumboni kwako miezi 9,kunizaa kwa uchungu na kunilea kiroho,kiakili na ki mwili pia...Namshukuru Mungu kwa kunipa ww kama Mzazi WANGU na ninajivunia hilo sana..!
Kuna wakati nakukosea na kukuumiza Lkn kiukweli huwa naumia na kujuta sana baada Ya kujua kosa langu.
Licha Ya uchungu uliopata kwa kunizaa na kunilea upo wakati...
11 years ago
GPL
SMS ZA USAGAJI ZA ANTI LULU ZANASWA
10 years ago
GPL
AUNTY LULU AWAENDEA KWA BABU WABAYA WAKE
11 years ago
GPL
AUNTY LULU: NIMEKAMATIKA KIMAPENZI
10 years ago
GPL
AUNTY LULU: MAKALIO YANANITESA!
11 years ago
GPL
AUNTY LULU ACHEZEA KICHAPO