Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


AUNTY LULU ANASWA KWA SANGOMA

Gladness Mallya MSANII wa filamu Bongo, Lulu Semagongo ‘Aunty Lulu’ amenaswa kwa sangoma mkoani Tanga ‘akitengenezwa’ ili kung’arisha nyota yake inayodaiwa kushuka.Chanzo cha uhakika kimeliambia gazeti hili kuwa kimemshuhudia msanii huyo akiwa kwa sangoma maeneo ya Handeni alikokaa kwa muda wa wiki moja sasa. Msanii wa filamu Bongo, Lulu Semagongo ‘Aunty Lulu’. “Mh, mmejuaje hayo? Kweli nipo Tanga kwa ndugu wa...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

KADJA ANASWA AKIINGIA KWA SANGOMA

WAANDISHI WETU MSANII wa muziki Bongo, Khadija Maige ‘Kadja Nito’ amenaswa na Mapaparazi wetu akiingia nyumbani kwa sangoma aliyefahamika kwa jina la Kimweri aliyewahi kuripotiwa kumng’arisha msanii mwenzake Menina Attick ‘Menina Ladiva’ kisanaa. Msanii wa muziki Bongo, Khadija Maige ‘Kadja Nito’ akiwasili kwa sangoma huyo. Chanzo chetu cha kuaminika kilichopo jirani na eneo hilo...

 

11 years ago

GPL

SANGOMA ANASWA KWA WIZI WA WATOTO

Na Waandishi Wetu
MGANGA wa kienyeji ‘Sangoma’aitwaye Ramadhani Issa (20) amedaiwa kuwatorosha watoto wawili, Salim Swalehe(13) na Laurent Oscar (13) wanaosoma katika Shule ya Msingi ya Pamba jijini hapa.
Tukio hilo limetokea Januari 20, mwaka huu katika kitongoji cha Ujaluoni, Igogo jijini hapa baada ya watoto hao kutoonekana kwa mwezi mzima tangu Desemba 27, mwaka jana. Inadaiwa kwamba watoto hao walirudi makwao...

 

10 years ago

GPL

AUNTY LULU AWAENDEA KWA BABU WABAYA WAKE


Stori: Gladness Mallya
MWIGIZAJI asiyekaukiwa matukio Bongo, Lulu Mathias ‘Aunty Lulu’ amefunguka kuwa amekwenda kwa mganga (babu) Mtwara kwa ajili ya kuweka zindiko wabaya wake wasimsumbue. Staa wa Filamu za Kibongo, Lulu Semagongo ‘Aunt Lulu’. Akipiga stori na mwanahabari wetu, Aunty Lulu alisema kuna wabaya wake wamekuwa wakimfanyia ‘mambo’ mabwana zake wayeyuke hivyo hayupo tayari...

 

10 years ago

GPL

AUNTY LULU AMWANGUKIA MAMA’KE KWA USAGAJI

Stori: Imelda Mtema
SORY! Staa wa filamu Bongo, Lulu Semagongo ‘Aunt Lulu’ amefunguka kuwa skendo ya kujihusisha ya vitendo vya kisagaji inayomuandama imemsababishia msala mkubwa kwa mama yake na kuamua kumuomba radhi. Staa wa filamu Bongo, Lulu Semagongo ‘Aunt Lulu’ akiwa ndani ya ofisi za Global. Akizungumza na paparazi wetu, Aunty Lulu alisema mama yake ana ugonjwa wa presha hivyo amejirekebisha...

 

10 years ago

GPL

AUNTY EZEKIEL ANASWA KININJA KLINIKI

Imelda mtema
Mama kijacho ambaye ni msanii wa filamu, Aunt Ezekiel juzikati alinaswa akiwa  kliniki huku akiwa amevaa vazi la baibui ambalo linamuonesha macho tu, maarufu kama vazi la kininja. Msanii wa filamu, Aunt Ezekiel akiwa amevaa vazi la baibui ambalo linamuonesha macho tu, maarufu kama vazi la kininja. Paparazi wetu akiwa kwenye majukumu yake, ghafla alimuona staa huyo ambaye ni wa kujifungua leo au kesho akiwa...

 

10 years ago

GPL

AUNTY LULU ALIA KUTENDWA

Stori:  Hamida Hassan
MWIGIZAJI wa sinema za Kibongo, Lulu Mathias Semagongo ‘Aunty Lulu’ amefunguka kuwa ametendwa vya kutosha na marafiki hivyo kwa sasa hahitaji tena kuwa na rafiki. Mwigizaji wa sinema za Kibongo, Lulu Mathias Semagongo ‘Aunty Lulu’ Akipiga stori na mwandishi wetu, Aunty Lulu alisema kwa nyakati tofauti marafiki wamemponza akaachika kwenye uhusiano wa wapenzi wake,...

 

11 years ago

GPL

AUNTY LULU KIPIGO CHAMTULIZA

Na Gladness Mallya
LULU Semagongo aliye mtangazaji na msanii wa filamu Bongo, amedaiwa kupewa kipigo cha haja na mpenzi wake aliyetajwa kwa jina moja la Amani hivyo kujificha nyumbani akijiuguza majeraha aliyopata. Aunty Lulu. Habari kutoka chanzo cha kuaminika, zinasema kuwa Lulu alipewa kubwa na mpenzi wake huyo mpya kutokana na tabia zake ambazo pia hazikuelezwa. “Nakuambia haonekani sehemu yoyote siku hizi. Boyfriend...

 

10 years ago

GPL

AUNTY LULU: MAKALIO YANANITESA!

Mwandishi wetu
MWIGIZAJI Lulu Semagongo ‘Aunty Lulu’ ametoa kioja cha aina yake baada ya kuibuka na kusema kuwa makalio yake yanamtesa akidai anasumbuliwa sana na wanaume wanaovutiwa nayo faragha. Mwigizaji Lulu Semagongo ‘Aunty Lulu’. Akipiga stori na Risasi Jumamosi, Aunty Lulu alisema wanaume wengi wamekuwa wakimiminika kutaka baada ya kusambaziana kuwa mwigizaji huyo analitumia umbo lake ndivyo...

 

11 years ago

GPL

AUNTY LULU ACHEZEA KICHAPO

MSANII wa filamu Bongo, Lulu Semagongo ‘Aunty Lulu’ hivi karibuni alijikuta akichezea kichapo kutoka kwa mpenzi wake anayejulikana kwa jina la Amani baada ya kutaka kwenda klabu usiku bila kumtaarifu. Msanii wa filamu Bongo, Lulu Semagongo ‘Aunty Lulu’ akipozi. Kwa mujibu wa majirani, tukio hilo lilitokea mwishoni mwa wiki iliyopita ambapo walimsikia msanii huyo akipiga mayowe na walipotoka walimuona...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani