KADJA ANASWA AKIINGIA KWA SANGOMA
![](http://api.ning.com:80/files/xkVCMRT4uG*CQFztMfljPtgPp-zir-l1yQky*XT2DqEo77OK3awxT0C*k42eznfKa0mv17aYaqf4rxnNLUgZBvMXgLTbI0bU/11.jpg)
WAANDISHI WETU MSANII wa muziki Bongo, Khadija Maige ‘Kadja Nito’ amenaswa na Mapaparazi wetu akiingia nyumbani kwa sangoma aliyefahamika kwa jina la Kimweri aliyewahi kuripotiwa kumng’arisha msanii mwenzake Menina Attick ‘Menina Ladiva’ kisanaa. Msanii wa muziki Bongo, Khadija Maige ‘Kadja Nito’ akiwasili kwa sangoma huyo. Chanzo chetu cha kuaminika kilichopo jirani na eneo hilo...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/jzsUW*22gf2h6wfB18UE9SJUhOwLtxw4RqeonotNo3J04JBHaV*JL9Hp*8*sB*OQ87Td1kGZLFZDPBlsGaC09Eg7WHT4kGQU/sangoma.jpg?width=650)
SANGOMA ANASWA KWA WIZI WA WATOTO
Na Waandishi Wetu
MGANGA wa kienyeji ‘Sangoma’aitwaye Ramadhani Issa (20) amedaiwa kuwatorosha watoto wawili, Salim Swalehe(13) na Laurent Oscar (13) wanaosoma katika Shule ya Msingi ya Pamba jijini hapa.
Tukio hilo limetokea Januari 20, mwaka huu katika kitongoji cha Ujaluoni, Igogo jijini hapa baada ya watoto hao kutoonekana kwa mwezi mzima tangu Desemba 27, mwaka jana. Inadaiwa kwamba watoto hao walirudi makwao...
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/pezQEPsid2iilZl6bMAt6*t*3s63ryYYAOjJvVvTlJVLSj3wUeUXLTqJzO7eNofrVLQQXcj3Wiqxnhwm8k*Zi2DZzhcmzvBx/wpidlulu1.jpg)
AUNTY LULU ANASWA KWA SANGOMA
Gladness Mallya MSANII wa filamu Bongo, Lulu Semagongo ‘Aunty Lulu’ amenaswa kwa sangoma mkoani Tanga ‘akitengenezwa’ ili kung’arisha nyota yake inayodaiwa kushuka.Chanzo cha uhakika kimeliambia gazeti hili kuwa kimemshuhudia msanii huyo akiwa kwa sangoma maeneo ya Handeni alikokaa kwa muda wa wiki moja sasa. Msanii wa filamu Bongo, Lulu Semagongo ‘Aunty Lulu’. “Mh, mmejuaje hayo? Kweli nipo Tanga kwa ndugu wa...
10 years ago
GPLTUNDA MAN AKIINGIA DAR LIVE TAYARI KWA SHOO
Tunda Man akiwasili Dar Live. Madansa wa Tunda Man wakiwasili Dar Live. Tundaman katika picha ya pamoja na madansa wake. Tunda Man akipozi kwenye 'Red Carpet' Peke…
11 years ago
Mwananchi10 Jun
Mgonjwa akimbilia kwa ‘Sangoma’
Mgonjwa aliyepooza nusu mwili ambaye alikuwa amelazwa Hospitali ya Rufani Bugando Mwanza, amejikuta katika hali ngumu baada ya kuruhusiwa kurudi nyumbani akiwa na kidonda kikubwa sehemu ya makalio kilichotokana na kulala kwa muda mrefu kitandani bila kugeuzwa.
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/dMNnaPiQ3VgEHqTSiE2onl3hxISDZva8uILFe9KHgFRxFeMIVHZwoH4T-YqAWVU1rUL2Tdu9aG9H8zfv3*gq*bN7UtBzmJqX/Kadja.gif?width=650)
KADJA: KWA MAISHA HAYA MUME WA NINI?
Musa Mateja
STAA kutoka nyumba ya kukuza vipaji Tanzania ‘THT’, Khadija Maige ‘Kadja Nito’, hatimaye ameamua kufunguka na kusema kuwa, kwa maisha yake ya sasa ya kimuziki haoni kama kuna umuhimu wa kufikiria masuala ya kuolewa. Staa kutoka nyumba ya kukuza vipaji Tanzania ‘THT’, Khadija Maige ‘Kadja Nito’. Akizungumza na paparazi wetu mwishoni mwa wiki iliyopita Kadja...
10 years ago
Mwananchi04 Feb
Idi Amin Dada mtoto wa ‘sangoma’ aliyeitawala Uganda kwa mtutu
Februari 2, 1971 Uganda ilipata Rais wa kwanza aliyeingia madarakani kwa mapinduzi ya kijeshi. Huyo alikuwa ni Idi Amin Dada. Aliitawala nchi hiyo kwa miaka minane mfululizo mpaka alipoondolewa na majeshi ya Tanzania chini ya uongozi wa Mwalimu Julius Nyerere.
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Vf77AmMaeXs4lHk84xTVNJSD2hFTEvA-ipSI2hkrvdXA4LliQLSTjXpNfvA*iHCxj5ixbEwStCGC6Ndt-B67vknxVKfkliWZ/jk.jpg?width=650)
PANGUA PANGUA YA JK; WAZIRI AONEKANA KWA SANGOMA
Stori: Na Mwandishi Wetu
MACHAFUKO yanayoendelea ndani ya Baraza la Mawaziri, ni wazi yanawaweka waheshimiwa wengi katika wakati mgumu ambapo Jumapili iliyopita, Uwazi lilimnasa mmoja wa mawaziri (jina tunalo), kwenye nyumba ya sangoma aliyefahamika kwa jina moja la Bwehe, Kijiji cha Mlingotini, Bagamoyo, Pwani. Habari zinadai waziri huyo alikwenda kwa Bwehe ili kufanyiwa madongoloji (nguvu za giza), lengo kuu likiwa kuimarisha...
5 years ago
MichuziWAZIRI MKUU ALIPOKUWA AKIINGIA VIWANJA VYA BUNGE LEO JIJINI DODOMA
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/*whl3J3XpWT2O5su3QEwzcBE-DGghYNsIp*O8we4O5qgGTaG1HaGJi*slTOHud3*P*EgVg0vUjZu8OIplXF5Z8yZ8mo5dIge/BackAMANI.jpg?width=650)
SANGOMA AAIBIKA!
Na Richard Bukos na Issa Mnally Ama kweli uswazi hakuishi vijimambo! Mganga wa jadi almaarufu sangoma aliyetajwa kwa jina la Wadebi Jinasa amepata aibu ya karne baada ya kunaswa ‘live’ na wake za watu kwenye gesti moja (jina linahifadhiwa) iliyopo Tandika jijini Dar es Salaam. Mganga wa jadi almaarufu sangoma aliyetajwa kwa jina la Wadebi akijutia baada ya kunaswa live.
Tukio hilo la aina yake lilijiri maeneo...
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania