PANGUA PANGUA YA JK; WAZIRI AONEKANA KWA SANGOMA
![](http://api.ning.com:80/files/Vf77AmMaeXs4lHk84xTVNJSD2hFTEvA-ipSI2hkrvdXA4LliQLSTjXpNfvA*iHCxj5ixbEwStCGC6Ndt-B67vknxVKfkliWZ/jk.jpg?width=650)
Stori: Na Mwandishi Wetu MACHAFUKO yanayoendelea ndani ya Baraza la Mawaziri, ni wazi yanawaweka waheshimiwa wengi katika wakati mgumu ambapo Jumapili iliyopita, Uwazi lilimnasa mmoja wa mawaziri (jina tunalo), kwenye nyumba ya sangoma aliyefahamika kwa jina moja la Bwehe, Kijiji cha Mlingotini, Bagamoyo, Pwani. Habari zinadai waziri huyo alikwenda kwa Bwehe ili kufanyiwa madongoloji (nguvu za giza), lengo kuu likiwa kuimarisha...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi04 Mar
Pangua pangua Maliasili yaibua mapya
10 years ago
Mwananchi16 Feb
MAONI: Panga pangua ya ratiba Ligi Kuu ni aibu kwa TFF
10 years ago
Mtanzania14 Aug
Panga pangua ya wabunge CCM
Na Bakari Kimwanga, Dodoma
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM), kimekamilisha uteuzi wa wagombea ubunge wa majimbo na viti maalumu, huku baadhi ya wagombea walioshinda kwenye kura za maoni wakiachwa na kuchukuliwa walioshika nafasi ya pili na ya tatu.
Akizungumza na waandishi wa habari mjini hapa jana, Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye, alisema kukamilika kwa kazi hiyo kunatoa fursa kwa wana CCM kujipanga na kuhakikisha wanarudisha umoja na mshikamano ili chama kiweze kushinda uchaguzi...
9 years ago
Bongo513 Oct
Video: Colonel Mustafa Ft Brown Mauzo — Panga Pangua
10 years ago
Mwananchi19 Feb
Panga pangua Ma-Dc: shabani Kisu, Mwakalebela, Makonda waula
11 years ago
Mwananchi10 Jun
Mgonjwa akimbilia kwa ‘Sangoma’
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/xkVCMRT4uG*CQFztMfljPtgPp-zir-l1yQky*XT2DqEo77OK3awxT0C*k42eznfKa0mv17aYaqf4rxnNLUgZBvMXgLTbI0bU/11.jpg)
KADJA ANASWA AKIINGIA KWA SANGOMA
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/jzsUW*22gf2h6wfB18UE9SJUhOwLtxw4RqeonotNo3J04JBHaV*JL9Hp*8*sB*OQ87Td1kGZLFZDPBlsGaC09Eg7WHT4kGQU/sangoma.jpg?width=650)
SANGOMA ANASWA KWA WIZI WA WATOTO
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/pezQEPsid2iilZl6bMAt6*t*3s63ryYYAOjJvVvTlJVLSj3wUeUXLTqJzO7eNofrVLQQXcj3Wiqxnhwm8k*Zi2DZzhcmzvBx/wpidlulu1.jpg)
AUNTY LULU ANASWA KWA SANGOMA