Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Panga pangua ya wabunge CCM

NAPE2Na Bakari Kimwanga, Dodoma

CHAMA Cha Mapinduzi (CCM), kimekamilisha uteuzi wa wagombea ubunge wa majimbo na viti maalumu, huku baadhi ya wagombea walioshinda kwenye kura za maoni wakiachwa na kuchukuliwa walioshika nafasi ya pili na ya tatu.

Akizungumza na waandishi wa habari mjini hapa jana, Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye, alisema kukamilika kwa kazi hiyo kunatoa fursa kwa wana CCM kujipanga na kuhakikisha wanarudisha umoja na mshikamano ili chama kiweze kushinda uchaguzi...

Mtanzania

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Bongo5

Video: Colonel Mustafa Ft Brown Mauzo — Panga Pangua

Msanii kutoka Kenya Colonel Mustafa ameachia video mpya ya wimbo unaitwa “Panga Pangua” amemshirikisha Brown Mauzo video imeongozwa na Ogopa Video. Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

 

10 years ago

Mwananchi

Panga pangua Ma-Dc: shabani Kisu, Mwakalebela, Makonda waula

Rais Jakaya Kikwete ametengua uteuzi wa wakuu wa wilaya 12 na kuwateua wengine 27, akiwamo aliyekuwa Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mtwara, Zelothe Stephen na mjumbe wa Bunge la Katiba, Paul Makonda ambaye aliingia kwenye mzozo na mawaziri wakuu wawili wa zamani.

 

10 years ago

Mwananchi

MAONI: Panga pangua ya ratiba Ligi Kuu ni aibu kwa TFF

>Tangu Ligi Kuu ya Tanzania Bara ianze Septemba mwaka jana, Shirikisho la Soka Tanzania (TFF)  limekuwa likiipangua ratiba yake kwa sababu mbalimbali.

 

10 years ago

Mwananchi

Panga la urais CCM kuhamia kwa wabunge

Chama cha Mapinduzi (CCM), kimesema kitatumia ‘panga’ lilelile lililotumika kumpata mgombea wake wa urais katika kuchuja wagombea ubunge na udiwani kupitia vikao vyake halali ili kupata wagombea safi.

 

11 years ago

GPL

PANGUA PANGUA YA JK; WAZIRI AONEKANA KWA SANGOMA

Stori: Na Mwandishi Wetu
MACHAFUKO yanayoendelea ndani ya Baraza la Mawaziri, ni wazi yanawaweka waheshimiwa wengi katika wakati mgumu ambapo Jumapili iliyopita, Uwazi lilimnasa mmoja wa mawaziri (jina tunalo), kwenye nyumba ya sangoma aliyefahamika kwa jina moja la Bwehe, Kijiji cha Mlingotini, Bagamoyo, Pwani. Habari zinadai waziri huyo alikwenda kwa Bwehe ili kufanyiwa madongoloji (nguvu za giza), lengo kuu likiwa kuimarisha...

 

11 years ago

Mwananchi

Pangua pangua Maliasili yaibua mapya

Wiki moja baada ya Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu kupangua wakurugenzi wizarani hupo, baadhi ya askari wa wanyamapori wameibuka na kupinga uamuzi huo, huku wakitishia kufanya mgomo.

 

10 years ago

Mwananchi

URAIS CCM: Magufuli alivyopiga chenga panga la CCM

Dar es Salaam. Kama alivyowashangaza wengi pale alipojitokeza kuchukua fomu za kuomba kuteuliwa na CCM kuwania urais Mei 29 mwaka huu, ndivyo Dk John Magufuli alivyowashangaza tena jana kufikia hatua hii ya tano bora.

 

10 years ago

Mwananchi

CCM kutumia panga la 2005

Vigezo 13 vilivyowekwa na CCM katika Uchaguzi Mkuu wa 2005 kumpima mwanachama anayefaa kugombea urais, ndivyo vitakavyotumika kuwaengua makada wanaoendelea kujitokeza kuwania nafasi hiyo mwakani, imefahamika.

 

10 years ago

Mwananchi

Magufuli alivyopiga chenga panga la CCM

Kama alivyowashangaza wengi pale alipojitokeza kuchukua fomu za kuomba kuteuliwa na CCM kuwania urais Mei 29 mwaka huu, ndivyo Dk John Magufuli alivyowashangaza tena jana kufikia hatua hii ya tano bora.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani