Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mgonjwa akimbilia kwa ‘Sangoma’

Mgonjwa aliyepooza nusu mwili ambaye alikuwa amelazwa Hospitali ya Rufani Bugando Mwanza, amejikuta katika hali ngumu baada ya kuruhusiwa kurudi nyumbani akiwa na kidonda kikubwa sehemu ya makalio kilichotokana na kulala kwa muda mrefu kitandani bila kugeuzwa.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

KADJA ANASWA AKIINGIA KWA SANGOMA

WAANDISHI WETU MSANII wa muziki Bongo, Khadija Maige ‘Kadja Nito’ amenaswa na Mapaparazi wetu akiingia nyumbani kwa sangoma aliyefahamika kwa jina la Kimweri aliyewahi kuripotiwa kumng’arisha msanii mwenzake Menina Attick ‘Menina Ladiva’ kisanaa. Msanii wa muziki Bongo, Khadija Maige ‘Kadja Nito’ akiwasili kwa sangoma huyo. Chanzo chetu cha kuaminika kilichopo jirani na eneo hilo...

 

9 years ago

GPL

AUNTY LULU ANASWA KWA SANGOMA

Gladness Mallya MSANII wa filamu Bongo, Lulu Semagongo ‘Aunty Lulu’ amenaswa kwa sangoma mkoani Tanga ‘akitengenezwa’ ili kung’arisha nyota yake inayodaiwa kushuka.Chanzo cha uhakika kimeliambia gazeti hili kuwa kimemshuhudia msanii huyo akiwa kwa sangoma maeneo ya Handeni alikokaa kwa muda wa wiki moja sasa. Msanii wa filamu Bongo, Lulu Semagongo ‘Aunty Lulu’. “Mh, mmejuaje hayo? Kweli nipo Tanga kwa ndugu wa...

 

11 years ago

GPL

SANGOMA ANASWA KWA WIZI WA WATOTO

Na Waandishi Wetu
MGANGA wa kienyeji ‘Sangoma’aitwaye Ramadhani Issa (20) amedaiwa kuwatorosha watoto wawili, Salim Swalehe(13) na Laurent Oscar (13) wanaosoma katika Shule ya Msingi ya Pamba jijini hapa.
Tukio hilo limetokea Januari 20, mwaka huu katika kitongoji cha Ujaluoni, Igogo jijini hapa baada ya watoto hao kutoonekana kwa mwezi mzima tangu Desemba 27, mwaka jana. Inadaiwa kwamba watoto hao walirudi makwao...

 

10 years ago

Mwananchi

Idi Amin Dada mtoto wa ‘sangoma’ aliyeitawala Uganda kwa mtutu

Februari 2, 1971 Uganda ilipata Rais wa kwanza aliyeingia madarakani kwa mapinduzi ya kijeshi. Huyo alikuwa ni Idi Amin Dada. Aliitawala nchi hiyo kwa miaka minane mfululizo mpaka alipoondolewa na majeshi ya Tanzania chini ya uongozi wa Mwalimu Julius Nyerere.

 

11 years ago

GPL

PANGUA PANGUA YA JK; WAZIRI AONEKANA KWA SANGOMA

Stori: Na Mwandishi Wetu
MACHAFUKO yanayoendelea ndani ya Baraza la Mawaziri, ni wazi yanawaweka waheshimiwa wengi katika wakati mgumu ambapo Jumapili iliyopita, Uwazi lilimnasa mmoja wa mawaziri (jina tunalo), kwenye nyumba ya sangoma aliyefahamika kwa jina moja la Bwehe, Kijiji cha Mlingotini, Bagamoyo, Pwani. Habari zinadai waziri huyo alikwenda kwa Bwehe ili kufanyiwa madongoloji (nguvu za giza), lengo kuu likiwa kuimarisha...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Kumuona mgonjwa Amana kwa kadi

KATIBU wa Afya wa Hospitali ya Amana, Zamzam Ndossy amesema kwa kwa sasa wameanzisha utaratibu wa kuona wagonjwa katika hospitali hiyo kwa kutumia karatasi yenye namba. Akizungumza na Tanzania Daima...

 

10 years ago

Mwananchi

Daktari: Mgonjwa hakufa kwa ebola

Kaimu mganga mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Yusuph Bwire amesema matokeo ya uchunguzi wa sampuli yaliyotolewa na Serikali kupitia Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii yanaonyesha kwamba Salome Richard hakufariki dunia kwa ugonjwa wa ebola bali kwa tatizo la ini.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Watanzania wengi wafa kwa mgonjwa yasiyoambukiza

MAKAMU wa Rais, Dk. Mohammed Gharib Bilal, amesema Watanzania wengi wanakufa kutokana na magonjwa yasiyoambukiza na mengine kwa kutokufanya mazoezi hivyo kuwa na uzito mkubwa. Dk. Bilal, alitoa kauli hiyo...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mchango wa harusi unapodaiwa hadi kwa mgonjwa wodini!

KATIKA moja ya makala zangu za miaka kadhaa iliyopita, niliandika makala kama hii kutokana na kisa kilichomtokea mmoja wa wasomaji wa gazeti hili nayeishi jijini Arusha. Kutokana na kisa kinachoshabihiana...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani