Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Idi Amin Dada mtoto wa ‘sangoma’ aliyeitawala Uganda kwa mtutu

Februari 2, 1971 Uganda ilipata Rais wa kwanza aliyeingia madarakani kwa mapinduzi ya kijeshi. Huyo alikuwa ni Idi Amin Dada. Aliitawala nchi hiyo kwa miaka minane mfululizo mpaka alipoondolewa na majeshi ya Tanzania chini ya uongozi wa Mwalimu Julius Nyerere.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

SANGOMA AMFYEKA MTOTO NYETI

Stori: Haruni Sanchawa
NI jambo lililowaacha midomo wazi madaktari na wauguzi wa Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH), jijini Dar es Salaam ambapo mtoto Almasi mwenye umri wa mwaka mmoja na miezi kumi (pichani akiwa na muuguzi) kufikishwa hospitalini hapo akiwa amekatwa nyeti na mtu aliyedaiwa ni mganga wa kienyeji ‘sangoma’ na kuipeleka kusikojulikana. Mtoto Almasi mwenye umri wa mwaka mmoja na miezi kumi akiwa...

 

9 years ago

Mwananchi

Jela maisha kwa kumbaka mtoto wa dada yao

Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Singida, imemuhukumu Mkazi wa Veta Kata ya Mandewa, Ramadhan John (20) na mdogo wake, Karim (18) kutumikia kifungo cha maisha jela baada ya kupatikana na hatia ya kumbaka kwa zamu mtoto wa kike wa dada yao (9).

 

9 years ago

Bongo5

Picha: Baada ya ‘Utanipenda’ Diamond atishia amani kwa mtutu!

diamond utanipenda

Diamond Platnumz anazidi kudhihirisha kwamba hafanyi tu muziki bali anafanya biashara ya muziki.
Mpango mkakati, mbinu na silaha alizonazo ni nyenzo tosha zitakazomfanya aendelee kuwa na uhakika wa kubaki kileleni kwa kipindi kirefu.

diamond utanipenda

Masaa machache baada ya kuachia wimbo/video mpya ‘Utanipenda’ ambayo imekuwa gumzo kubwa kutokana na kupokelewa vizuri, Diamond amepiga ‘mkwara mwingine’ kwa kupost screenshot ya video nyingine inayomuonesha akiwa juu ya gari na mrembo wakiwa na mavazi meupe...

 

10 years ago

BBCSwahili

Mtoto aliyekufa kwa ajali azikwa Uganda

Shughuli za mazishi ya Mtoto wa miaka miwili aliyegongwa na gari ya mamlaka ya mji wa Kampala zimefanyika nchini Uganda

 

10 years ago

Dewji Blog

Mtoto wa Rais mstaafu Salmini Amour ‘Komando’ Amin Salmini achukua fomu kuwania ubunge jimbo la Mkwajuni Zanzibar

 Mtoto wa Rais Mstaafu wa awamu ya Tano Zanzibar, Dkt. Salmin Amour, Amin Salmini, akimkabidhi fedha za kulipia fomu za kuwania Ubunge, Katibu Msaidizi wa CCM
Wilaya ya Kaskazini A Unguja, Shafi Hamadi wakati alipofika kwenye Ofisi hizo za CCM kwa ajili ya kuchukua fomu za kugombea Ubunge wa Jimbo la Mkwajuni Zanzibar.   Katibu Msaidizi wa CCM Wilaya ya Kaskazini A Unguja, Shafi Hamadi, akimkabidhi fomu za kugombea Ubunge, Mwanachama wa CCM, Amin Salmini, bada ya kulipia.  Salmini,...

 

11 years ago

Mwananchi

Mgonjwa akimbilia kwa ‘Sangoma’

Mgonjwa aliyepooza nusu mwili ambaye alikuwa amelazwa Hospitali ya Rufani Bugando Mwanza, amejikuta katika hali ngumu baada ya kuruhusiwa kurudi nyumbani akiwa na kidonda kikubwa sehemu ya makalio kilichotokana na kulala kwa muda mrefu kitandani bila kugeuzwa.

 

9 years ago

GPL

AUNTY LULU ANASWA KWA SANGOMA

Gladness Mallya MSANII wa filamu Bongo, Lulu Semagongo ‘Aunty Lulu’ amenaswa kwa sangoma mkoani Tanga ‘akitengenezwa’ ili kung’arisha nyota yake inayodaiwa kushuka.Chanzo cha uhakika kimeliambia gazeti hili kuwa kimemshuhudia msanii huyo akiwa kwa sangoma maeneo ya Handeni alikokaa kwa muda wa wiki moja sasa. Msanii wa filamu Bongo, Lulu Semagongo ‘Aunty Lulu’. “Mh, mmejuaje hayo? Kweli nipo Tanga kwa ndugu wa...

 

11 years ago

GPL

SANGOMA ANASWA KWA WIZI WA WATOTO

Na Waandishi Wetu
MGANGA wa kienyeji ‘Sangoma’aitwaye Ramadhani Issa (20) amedaiwa kuwatorosha watoto wawili, Salim Swalehe(13) na Laurent Oscar (13) wanaosoma katika Shule ya Msingi ya Pamba jijini hapa.
Tukio hilo limetokea Januari 20, mwaka huu katika kitongoji cha Ujaluoni, Igogo jijini hapa baada ya watoto hao kutoonekana kwa mwezi mzima tangu Desemba 27, mwaka jana. Inadaiwa kwamba watoto hao walirudi makwao...

 

10 years ago

GPL

KADJA ANASWA AKIINGIA KWA SANGOMA

WAANDISHI WETU MSANII wa muziki Bongo, Khadija Maige ‘Kadja Nito’ amenaswa na Mapaparazi wetu akiingia nyumbani kwa sangoma aliyefahamika kwa jina la Kimweri aliyewahi kuripotiwa kumng’arisha msanii mwenzake Menina Attick ‘Menina Ladiva’ kisanaa. Msanii wa muziki Bongo, Khadija Maige ‘Kadja Nito’ akiwasili kwa sangoma huyo. Chanzo chetu cha kuaminika kilichopo jirani na eneo hilo...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani