Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Picha: Baada ya ‘Utanipenda’ Diamond atishia amani kwa mtutu!

diamond utanipenda

Diamond Platnumz anazidi kudhihirisha kwamba hafanyi tu muziki bali anafanya biashara ya muziki.
Mpango mkakati, mbinu na silaha alizonazo ni nyenzo tosha zitakazomfanya aendelee kuwa na uhakika wa kubaki kileleni kwa kipindi kirefu.

diamond utanipenda

Masaa machache baada ya kuachia wimbo/video mpya ‘Utanipenda’ ambayo imekuwa gumzo kubwa kutokana na kupokelewa vizuri, Diamond amepiga ‘mkwara mwingine’ kwa kupost screenshot ya video nyingine inayomuonesha akiwa juu ya gari na mrembo wakiwa na mavazi meupe...

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

MillardAyo

Namna ambavyo video ya ‘Utanipenda’ ya Diamond ilivyotengenezwa.

Video ya Utanipenda mpaka sasa  ina siku 19 toka iwekwe kwenye mtandao wa Youtube na imetazamwa zaidi ya mara 1,031,735,Diamond kwa sasa amekua tayari kutuonyesha vile vilivyokua vinatokea nyuma ya pazia (Behind the Scene). Unaweza kuvitazama hapa pia mtu wangu. Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO […]

The post Namna ambavyo video ya ‘Utanipenda’ ya Diamond ilivyotengenezwa. appeared first on TZA_MillardAyo.

 

9 years ago

MillardAyo

Sekunde 30 za kuenjoy na Eric Omondi alivyojiimbia ‘Utanipenda’ ya Diamond.. (+Video)

Unajua kwenye namba ya wakali wa comedy wenye majina makubwa kutokea East Africa, jina la Eric Omond nalo limo !! Eric huwa anarudia kwa kuimba style na maneno yake mwenyewe, na bado anarudia na video kwa mtindo wa pekeyake… Utanipenda ndio jina la ‘hit’ ya Diamond iliyokamata mawimbi sasahivi… basi cheki na hii aliyoirudia Eric Omondi […]

The post Sekunde 30 za kuenjoy na Eric Omondi alivyojiimbia ‘Utanipenda’ ya Diamond.. (+Video) appeared first on...

 

9 years ago

Bongo5

Picha: Huyu ndio msanii wa Kenya aliyemshirikisha Diamond baada ya Victoria Kimani

Collabo ya mwisho ya Diamond Platnumz na msanii wa Kenya ni ile aliyoshirikishwa na Victoria Kimani kwenye wimbo Prokoto alikuwemo Ommy Dimpoz pia. Akothee na Diamond wakiwa studio Baada ya hapo, Diamond amekuwa akifanya ngoma na wasanii wa Nigeria, Afrika Kusini na Marekani zaidi. Hata collabo na wasanii wenzake wa Bongo zimekuwa za nadra pia […]

 

10 years ago

CloudsFM

Picha: Diamond akizungumza na waandishi wa habari jana Escape One baada ya kutua nchini

Mshindi wa tuzo tatu za Channel O,staa wa Bongo Fleva, Diamond Platinumz akizungumza na waandishi wa habari jana,Escape One,Mikocheni,jijini Dar baada ya kutua kutoka nchini Afrika Kusini.Mmoja wa mameneja wa Diamond,Mkubwa Fella akizungumza na waandishi wa habari na mashabiki waliofika kumpokea Diamond akitokea nchini Afrika Kusini kwenye tuzo za Channel O.

 

9 years ago

Global Publishers

Kichupa cha ‘Utanipenda’ cha Diamond nyuma ya pazia

Diamond platinumz (4)Nyota wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond’ akiwa  kasimama mbele ya magari aliyoyatumia katika video yake mpya ya Utanipenda.

Diamond platinumz (10)Staa wa Bongo, Jacqueline Wolper, akiongea jambo na Diamond.

Diamond platinumz (7)Gari ya Wolper katika video hiyo  ikimmwagia maji Diamond.

Diamond platinumz (5)

Diamond akiangalia vipande vya video hivyo kabla ya kuendelea kushuti.

Diamond platinumz (8)Diamond akiangalia Magazeti Pendwa baada ya kupata matatizo,  nayo hayakuwa nyuma kuandika.

Diamond platinumz (1)Diamond akipiga kinanda huku akimuimbia mpenzi wake Zari.

Diamond platinumz (12)Mama yake Diamond, Sanura...

 

10 years ago

Mwananchi

Idi Amin Dada mtoto wa ‘sangoma’ aliyeitawala Uganda kwa mtutu

Februari 2, 1971 Uganda ilipata Rais wa kwanza aliyeingia madarakani kwa mapinduzi ya kijeshi. Huyo alikuwa ni Idi Amin Dada. Aliitawala nchi hiyo kwa miaka minane mfululizo mpaka alipoondolewa na majeshi ya Tanzania chini ya uongozi wa Mwalimu Julius Nyerere.

 

10 years ago

Michuzi

BAADA YA UCHAGUZI WA AMANI, BURUNDI BAN KI MOON ATAKA KUTEJEA KWA MAZUNGUMZO

Na Mwandishi Maalum, New York.
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Ban Ki Moon, amezitaka pande zinazopingana nchini Burundi kubaki watulivu na kurejea mara moja katika meza ya majadiliano jumuishi ya kisiasa ili kumaliza tofauti zao na kujadili changamoto zinazolikabili taifa lao.
Kwa mujibu wa Taarifa iliyotolewa na Msemaji wa Katibu Mkuu, Julai 23, Ban Ki Moon ametambua hali ya Amani na utulivu iliyotawala wakati wa uchaguzi wa Rais wa nchi hiyo ( Burundi )uliofanyika Julai 21...

 

9 years ago

Mwananchi

Tupige kura, tupokee matokeo kwa amani na utulivu, kuna maisha baada ya uchaguzi

Keshokutwa, Tanzania inafanya Uchaguzi Mkuu wa madiwani, wabunge pamoja na kumpata rais wa awamu ya tano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

 

10 years ago

Bongo5

Picha: Zari ndani ya Dar, athibitisha kwa mara ya kwanza kwa kauli yake kuwa mpenzi wa Diamond

Katika mitoko yako ya weekend hii usije kushtuka utakapokutana na couple fulani ya ‘Ameizing’ ya TZ+UG, sababu Zari Tlale a.k.a The Boss Lady yupo ndani ya jiji la Dar au kama anavyopaita mrembo huyo D-City. Kupitia Instagram mrembo huyo wa Uganda ambaye makazi yake yako Afrika Kusini amepost picha kadhaa akiwa na mpenzi wake Diamond […]

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani