Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kichupa cha ‘Utanipenda’ cha Diamond nyuma ya pazia

Diamond platinumz (4)Nyota wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond’ akiwa  kasimama mbele ya magari aliyoyatumia katika video yake mpya ya Utanipenda.

Diamond platinumz (10)Staa wa Bongo, Jacqueline Wolper, akiongea jambo na Diamond.

Diamond platinumz (7)Gari ya Wolper katika video hiyo  ikimmwagia maji Diamond.

Diamond platinumz (5)

Diamond akiangalia vipande vya video hivyo kabla ya kuendelea kushuti.

Diamond platinumz (8)Diamond akiangalia Magazeti Pendwa baada ya kupata matatizo,  nayo hayakuwa nyuma kuandika.

Diamond platinumz (1)Diamond akipiga kinanda huku akimuimbia mpenzi wake Zari.

Diamond platinumz (12)Mama yake Diamond, Sanura...

Global Publishers

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Global Publishers

Kilichojificha Nyuma ya Pazia Wimbo wa Diamond- Utanipenda

Diamond Platnumz – Utanipenda Behind The Scene Episode 1

Diamond Platnumz – Utanipenda Behind The Scene Episode 2

Diamond Platnumz – Utanipenda Behind The Scene Episode 3

Diamond Platnumz – Utanipenda Behind The Scene Episode 4

Diamond Platnumz – Utanipenda Behind The Scene Episode 5

 

10 years ago

Bongo5

Sheddy Clever alalamika jina lake kutoandikwa kwenye kichupa cha Diamond ‘Ntampata Wapi’

Producer wa hits mbili za Diamond Platnumz ‘Number One’ na ‘Ntampata Wapi’ alionekana kufurahia mafanikio ya Diamond kwenye tuzo za Channel O, lakini kitu kimoja hakijakaa sawa moyoni mwake. Sheddy amesema ameshangazwa baada ya kutoona jina lake likiandikwa kwenye video ya ‘Ntampata Wapi’. “Biashara kweli ni matangazo na nilitakiwa niandikwe kweli kwenye ile video, lakini […]

 

9 years ago

GPL

LOWASSA, SUMAYE NYUMA YA PAZIA

Na Mwandishi Wetu WAKATI jana Chama Cha Mapinduzi (CCM) kikitikisa Jiji la Dar kwa kuanza kampeni za uchaguzi mkuu, Oktoba 25, mwaka huu, nyuma ya pazia ya tukio la Waziri Mkuu Mstaafu wa Serikali ya Awamu ya Tatu, Frederick Sumaye kuhama chama hicho kwenda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) kumeibuka mambo kibao, Uwazi limebainishiwa.  ....Soma zaidi===>http://bit.ly/1NR00K6 ...

 

9 years ago

GPL

BSS 2015: KILICHOFICHWA NYUMA YA PAZIA CHAFICHUKA

Musa Mateja na Imelda Mtema  MASHINDANO ya Bongo Star Search (BSS) 2015, wikiendi iliyopita yalifikia tamati huku historia ya kwanza ikiwekwa na kijana mwenye umri wa miaka 19 tu, Kayumba Juma aliyeibuka kidedea kwa kuwatupa wenzake 6 waliofaulu kuingia fainali na licha ya shughuli hiyo kumalizika salama, lakini kilichojificha nyuma ya pazia kimefichuka. Mshindi wa Shindano la Bongo Star Search 2015 (BSS), Kayumba Juma...

 

5 years ago

BBCSwahili

Coronavirus: Mapambano ya nyuma ya pazia kati ya Marekani na China baada ya mlipuko wa virusi vya corona

Virusi vya corona vinaweza kuthibitisha kati ya mataifa hayo yenye nguvu duniani nani anapaswa kuwa juu ya mwingine

 

9 years ago

MillardAyo

Namna ambavyo video ya ‘Utanipenda’ ya Diamond ilivyotengenezwa.

Video ya Utanipenda mpaka sasa  ina siku 19 toka iwekwe kwenye mtandao wa Youtube na imetazamwa zaidi ya mara 1,031,735,Diamond kwa sasa amekua tayari kutuonyesha vile vilivyokua vinatokea nyuma ya pazia (Behind the Scene). Unaweza kuvitazama hapa pia mtu wangu. Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO […]

The post Namna ambavyo video ya ‘Utanipenda’ ya Diamond ilivyotengenezwa. appeared first on TZA_MillardAyo.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani