Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Sheddy Clever alalamika jina lake kutoandikwa kwenye kichupa cha Diamond ‘Ntampata Wapi’

Producer wa hits mbili za Diamond Platnumz ‘Number One’ na ‘Ntampata Wapi’ alionekana kufurahia mafanikio ya Diamond kwenye tuzo za Channel O, lakini kitu kimoja hakijakaa sawa moyoni mwake. Sheddy amesema ameshangazwa baada ya kutoona jina lake likiandikwa kwenye video ya ‘Ntampata Wapi’. “Biashara kweli ni matangazo na nilitakiwa niandikwe kweli kwenye ile video, lakini […]

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Sheddy Clever: Mashabiki wamemtosa Diamond

PRODYUZA wa mkali wa muziki wa kizazi kipya nchini, Naseb Abdul ‘Diamond Platinum’, Sheddy Clever, amesema Watanzania ndio wamemuangusha msanii huyo katika harakati zake za kuwania tuzo za MTV MAMA....

 

11 years ago

GPL

SHEDDY CLEVER; PRODYUZA ALIYEBEBWA NA NYOTA YA DIAMOND

Prodyuza aliyebebwa na nyota ya Diamond, Shadrack Willced Mongi au Sheddy Clever. KILA mtu ana ndoto zake kichwani, ili kuzibadilisha ndoto hizo kwenye uhalisia inahitajika kujitoa kinagaubaga ndipo mafanikio yatakapoonekana. Nasibu Abdull ‘Diamond’akiwa studio. Shadrack Willced Mongi au Sheddy Clever kama anavyofahamika na wengi naye alikuwa ni prodyuza wa muziki mwenye ndoto zake, alitamani kufanya kazi na...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Diamond, Jide, Sheddy Clever wamefungua njia

USIKU wa kuamkia Julai 27, macho na masikio ya wapenzi na wadau wa muziki nchini yalihamia nchini Marekani ambapo kulikuwa na utoaji wa tuzo za African Muzik Magazine Awards (AFRIMMA)...

 

10 years ago

Jamtz.Com

10 years ago

Bongo5

New Music: Diamond Platnumz — Ntampata Wapi

Sikiliza ngoma mpya ya Diamond Platnumz ‘Ntampata Wapi’ iliyotambulishwa leo. Wimbo umetayarishwa na Sheddy Clever.

 

10 years ago

GPL

10 years ago

Bongo Movies

Wimbo wa “Ntampata Wapi”, Diamond Hakuniimbia Mimi- Wema Sepetu

Mrembo na staa wa Bongo Movies, Wema Sepetu ametoboa kuwa wimbo wa “Ntampata Wapi” ulioimbwa na aliekuwa mpezi wake, Diamond Platnumz hakuimbiwa yeye, hii ni kutokana na watu  wengi kudhani kuwa  wimbo huu alitungiwa yeye ukizingatia kuwa  wakati wimbo huo unatoka ndio kilikuwa kipindi wametoka kuachana.

 “Leo nasema rasmi kuwa hii nyimbo hakuniandikia mimi….because nilikuwa naisikia hii nyimbo hata wakati tulipokuwa kwenye uhusiano amekuwa akiimba, akiindika kwahiyo ilikuwa tu ni moja ya...

 

10 years ago

Bongo5

Picha: Mfahamu Melissa Magiera, model kwenye video ya ‘Ntampata Wapi’

Diamond Platnumz amewapa mashabiki wake kile walichokuwa wakikingoja kwa muda mrefu, akaunti ya Instagram ya mrembo aliyemtumia kwenye video ya wimbo wake ‘Ntampata Wapi’. “Haya sasa, najua mlikuwa mkisubiria kwa mda mreeeeefu, hii ndio Instagram Aacount ya yule dada alonisaliti kwenye video ya #Ntampata_Wapi. .Basi nnavyowajua atatongozwa leo hadi akome, makuwadi sasa,” ameandika Diamond kwenye […]

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani