Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


BSS 2015: KILICHOFICHWA NYUMA YA PAZIA CHAFICHUKA

Musa Mateja na Imelda Mtema  MASHINDANO ya Bongo Star Search (BSS) 2015, wikiendi iliyopita yalifikia tamati huku historia ya kwanza ikiwekwa na kijana mwenye umri wa miaka 19 tu, Kayumba Juma aliyeibuka kidedea kwa kuwatupa wenzake 6 waliofaulu kuingia fainali na licha ya shughuli hiyo kumalizika salama, lakini kilichojificha nyuma ya pazia kimefichuka. Mshindi wa Shindano la Bongo Star Search 2015 (BSS), Kayumba Juma...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

GPL

LOWASSA, SUMAYE NYUMA YA PAZIA

Na Mwandishi Wetu WAKATI jana Chama Cha Mapinduzi (CCM) kikitikisa Jiji la Dar kwa kuanza kampeni za uchaguzi mkuu, Oktoba 25, mwaka huu, nyuma ya pazia ya tukio la Waziri Mkuu Mstaafu wa Serikali ya Awamu ya Tatu, Frederick Sumaye kuhama chama hicho kwenda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) kumeibuka mambo kibao, Uwazi limebainishiwa.  ....Soma zaidi===>http://bit.ly/1NR00K6 ...

 

9 years ago

Global Publishers

Kilichojificha Nyuma ya Pazia Wimbo wa Diamond- Utanipenda

Diamond Platnumz – Utanipenda Behind The Scene Episode 1

Diamond Platnumz – Utanipenda Behind The Scene Episode 2

Diamond Platnumz – Utanipenda Behind The Scene Episode 3

Diamond Platnumz – Utanipenda Behind The Scene Episode 4

Diamond Platnumz – Utanipenda Behind The Scene Episode 5

 

9 years ago

GPL

NYUMA YA BSS KUNA DAMU, MACHOZI NA JASHO!

“Vipi, nikuwashie AC? Naona kama unahisi joto, kuwa huru hapa ni mahali ambapo mtu akifika, uhuru wa nafsi na akili unahitajika sana, pia karibu kwa vinywaji, niambie tu chochote, nitakuhudumia,” ni mazungumzo ya kwanza kabisa kutoka kinywani mwa mwanamke shujaa, hodari, jasiri na mpambanaji katika maisha. Staili ya maisha yake, ni kawaida tofauti na hadhi ya jina lake katika jamii! Hajikwezi wala kujibagua na watu wa...

 

5 years ago

BBCSwahili

Coronavirus: Mapambano ya nyuma ya pazia kati ya Marekani na China baada ya mlipuko wa virusi vya corona

Virusi vya corona vinaweza kuthibitisha kati ya mataifa hayo yenye nguvu duniani nani anapaswa kuwa juu ya mwingine

 

9 years ago

Global Publishers

Kichupa cha ‘Utanipenda’ cha Diamond nyuma ya pazia

Diamond platinumz (4)Nyota wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond’ akiwa  kasimama mbele ya magari aliyoyatumia katika video yake mpya ya Utanipenda.

Diamond platinumz (10)Staa wa Bongo, Jacqueline Wolper, akiongea jambo na Diamond.

Diamond platinumz (7)Gari ya Wolper katika video hiyo  ikimmwagia maji Diamond.

Diamond platinumz (5)

Diamond akiangalia vipande vya video hivyo kabla ya kuendelea kushuti.

Diamond platinumz (8)Diamond akiangalia Magazeti Pendwa baada ya kupata matatizo,  nayo hayakuwa nyuma kuandika.

Diamond platinumz (1)Diamond akipiga kinanda huku akimuimbia mpenzi wake Zari.

Diamond platinumz (12)Mama yake Diamond, Sanura...

 

10 years ago

Dewji Blog

Shindano la TMT 2015 lazinduliwa rasmi leo, Mwanza kufungua pazia tarehe 24 April 2015.

Afisa Masoko na Mahusiano wa Proin Promotions Ltd, Josephat Lukaza akizungumzia Uzinduzi wa msimu wa pili wa Shindano la TMT 2015 lililopo chini ya Kampuni ya Proin Promotions Ltd ambao pia ni wasambazaji, wauzaji na watengenezaji wa filamu za Kitanzania. Anayeshuhudia pembeni ni Mratibu wa Masoko wa ITV/Radio One ambao ni mmoja wa wadhamini wa Shindano la TMT 2015.   Mratibu wa masoko kutoka ITV/Radio One (wa pili kulia) akizungumzia juu ya umuhimu wa wao ITV/Radio one kuwa washirika wa...

 

9 years ago

Daily News

Four exit 2015 BSS


Four exit 2015 BSS
Daily News
FOUR contestants in the Bongo Star Search (BSS) have been disqualified from the contest. They are Greylove Mwidunda, Sarah Jackson and Nassor Amry from Dar es Salaam and Mbeya's Bezalel Nataaniel. The quartet did not impress the judges as they ...

 

9 years ago

Habarileo

10 wachujwa shindano la BSS 2015

WASHIRIKI 10 mwishoni mwa wiki walishindwa kung’ara katika shindano la kusaka vipaji la Bongo Star Search (BSS) kwa mwaka huu na hivyo kuaga shindano hilo.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani