NYUMA YA BSS KUNA DAMU, MACHOZI NA JASHO!
![](http://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2015/09/madam-rita.jpg)
“Vipi, nikuwashie AC? Naona kama unahisi joto, kuwa huru hapa ni mahali ambapo mtu akifika, uhuru wa nafsi na akili unahitajika sana, pia karibu kwa vinywaji, niambie tu chochote, nitakuhudumia,” ni mazungumzo ya kwanza kabisa kutoka kinywani mwa mwanamke shujaa, hodari, jasiri na mpambanaji katika maisha. Staili ya maisha yake, ni kawaida tofauti na hadhi ya jina lake katika jamii! Hajikwezi wala kujibagua na watu wa...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi04 Jan
Delfina: Natoka machozi na jasho la damu
9 years ago
GPL![](https://4.bp.blogspot.com/-F37A5TSJhAk/Vhsyxe6adVI/AAAAAAAAW7o/x0AaAnmH4yg/s640/FRONT%2BWIKIENDAr%2Bcopy.jpg)
BSS 2015: KILICHOFICHWA NYUMA YA PAZIA CHAFICHUKA
9 years ago
Bongo526 Sep
Hussein Machozi adai kukosa management kumemrudisha nyuma
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com/files/-nMzymXXjMJ5CgPscjZefT8*-zlHFPmOe0OYFfD3wfJsKO0tX*us3lF0HR5yLa975rQcdOFkilFJ7gYpsJ7hWocXQOmJDVA7/somazaidi.gif)
9 years ago
Bongo518 Nov
Kuna siasa nyingi sana nyuma ya huu muziki – Q-Chief
![Chilla](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/11/Chilla-300x194.jpg)
Mwimbaji wa Bongo Fleva, Q-Chilla amesema kuwa muziki wa Bongo umetawaliwa na siasa nyingi, kitendo kinachosababisha wengi wao kushindwa kufanikiwa.
“Kuna politics nyingi sana nyuma ya huu muziki, siasa ambazo kwa namna moja au nyingine zinawademoralize wasanii,” alisema Q-Chief kupitia Planet Bongo ya East Africa Radio. “kwa sababu watu wana talent zao, watu wana vision zao lakini wamewekewa limitation ya vile vitu wanakusudia kuvifanya, kwa hiyo we ukiona wanaweka bariers nyingi you...
11 years ago
Dewji Blog12 Jun
Wafanyakazi wa Benki ya Barclays wajitolea Damu kuadhimisha siku ya Damu Duniani
Mfanyakazi wa Benki ya Barclays Tanzania, Agnes Mushi akijitolea damu ikiwa ni sehemu ya matukio ya benki hiyo kuadhimisha Siku ya Damu Duniani inayotarajiwa kuadhimishwa kesho. Hafla hiyo ilifanyika jijini Dar es Salaam jana. Anayemtoa ni Mtaalamu wa kutoa damu kutoka kitengo cha Damu Salama, Judith Goshashy.
Wafanyakazi wa Benki ya Barclays Tanzania, Marcy Mwakajwanga na Kassim Kanyamara (kulia) wakijitolea damu ikiwa ni sehemu ya matukio ya benki hiyo kuadhimisha Siku ya Damu Duniani...
11 years ago
GPLMPANGO WA TAIFA WA DAMU SALAMA -TANZANIA CHANGIA DAMU OKOA MAISHA
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-aPyzhBkuULU/XuRvet2I3eI/AAAAAAALtqM/fPH1AEqIU1oO5BzqONJHfkD7_8C7s6sSQCLcBGAsYHQ/s72-c/yanga%252Blogo.jpg)
AZAM FC, TFF KUADHIMISHA SIKU YA UTOAJI DAMU DUNIANI KWA KUCHANGIA DAMU
![](https://1.bp.blogspot.com/-aPyzhBkuULU/XuRvet2I3eI/AAAAAAALtqM/fPH1AEqIU1oO5BzqONJHfkD7_8C7s6sSQCLcBGAsYHQ/s400/yanga%252Blogo.jpg)
Zoezi hilo la uchangiaji damu linatarajiwa kufanyika nje ya Uwanja wa Azam Complex kuanzia majira ya saa 6 mchana.
Juni 14, Azam itakuwa ikicheza mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara (VPL) dhidi ya Mbao saa 1.00 usiku na kuhusisha watu wa aina mbalimbali.
Zoezi hilo la uchangiaji damu na kudumisha shirikiano huo...
11 years ago
GPL![](http://1.bp.blogspot.com/-EYXbjlLREWo/U5vgEQs9ECI/AAAAAAACjZM/ewbmg7rMYIo/s1600/EXIM+BLOOD+PIX+1.jpg)
BENKI YA EXIM YACHANGIA DAMU KUADHIMISHA SIKU YA UCHANGIAJI DAMU DUNIANI JUNI 14, 2014