LOWASSA, SUMAYE NYUMA YA PAZIA
![](http://api.ning.com:80/files/dm99ly9wi6598EYmJ8qGWeRAYzAVKDp8wz9W24s7DIF7meX2SGyDYjb2NYHSmPp7UHXgXr*0CpTOqAPu3qnVc2*P4Wd2toh5/Lowassa.gif?width=650)
Na Mwandishi Wetu WAKATI jana Chama Cha Mapinduzi (CCM) kikitikisa Jiji la Dar kwa kuanza kampeni za uchaguzi mkuu, Oktoba 25, mwaka huu, nyuma ya pazia ya tukio la Waziri Mkuu Mstaafu wa Serikali ya Awamu ya Tatu, Frederick Sumaye kuhama chama hicho kwenda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) kumeibuka mambo kibao, Uwazi limebainishiwa. Â ....Soma zaidi===>http://bit.ly/1NR00K6 ...
GPL
Habari Zinazoendana
9 years ago
Global Publishers29 Dec
Kilichojificha Nyuma ya Pazia Wimbo wa Diamond- Utanipenda
Diamond Platnumz – Utanipenda Behind The Scene Episode 1
Diamond Platnumz – Utanipenda Behind The Scene Episode 2
Diamond Platnumz – Utanipenda Behind The Scene Episode 3
Diamond Platnumz – Utanipenda Behind The Scene Episode 4
Diamond Platnumz – Utanipenda Behind The Scene Episode 5
9 years ago
GPL![](https://4.bp.blogspot.com/-F37A5TSJhAk/Vhsyxe6adVI/AAAAAAAAW7o/x0AaAnmH4yg/s640/FRONT%2BWIKIENDAr%2Bcopy.jpg)
BSS 2015: KILICHOFICHWA NYUMA YA PAZIA CHAFICHUKA
10 years ago
Vijimambo![](http://img.youtube.com/vi/Ae4TlXNbEtc/default.jpg)
5 years ago
BBCSwahili24 Mar
Coronavirus: Mapambano ya nyuma ya pazia kati ya Marekani na China baada ya mlipuko wa virusi vya corona
9 years ago
Global Publishers18 Dec
Kichupa cha ‘Utanipenda’ cha Diamond nyuma ya pazia
Nyota wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond’ akiwa kasimama mbele ya magari aliyoyatumia katika video yake mpya ya Utanipenda.
Staa wa Bongo, Jacqueline Wolper, akiongea jambo na Diamond.
Gari ya Wolper katika video hiyo ikimmwagia maji Diamond.
Diamond akiangalia vipande vya video hivyo kabla ya kuendelea kushuti.
Diamond akiangalia Magazeti Pendwa baada ya kupata matatizo, nayo hayakuwa nyuma kuandika.
Diamond akipiga kinanda huku akimuimbia mpenzi wake Zari.
Mama yake Diamond, Sanura...
9 years ago
Vijimambo14 Sep
SUMAYE-SIRUDI NYUMA MPAKA NIHAKIKISHE CCM IMENG'OKA!
![](https://images-blogger-opensocial.googleusercontent.com/gadgets/proxy?url=http%3A%2F%2Fwww.thecitizen.co.tz%2Fimage%2Fview%2F-%2F2842630%2FmedRes%2F1099112%2F-%2Fkun6a5%2F-%2FSUMAYE.jpg&container=blogger&gadget=a&rewriteMime=image%2F*)
Waziri Mkuu mstaafu, Frederick Sumaye, amesema pamoja na vitisho ambavyo amevipata kutoka kwa mahasimu wake wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), hatarudi nyuma mpaka atakapohakikisha chama hicho kimeng’oka madarakani.Kadhalika, amesema mwisho wa CCM kukaa madarakani ni mwaka huu kwa kuwa wananchi wameamua kufanya mabadiliko wenyewe. Aliyasema hayo jana wakati akizindua kampeni za ubunge Jimbo la Ubungo za Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kupitia Umoja wa Katiba ya Wananchi...
11 years ago
Mwananchi19 Feb
Lowassa, Sumaye ‘kifungoni’
11 years ago
Habarileo14 Feb
Lowassa, Sumaye Ngeleja wahojiwa
AGIZO la Mwenyekiti wa CCM, Rais Jakaya Kikwete kutaka kamati za usalama na maadili za chama hicho kubana wanachama wanaokiuka maadili, limeanza kutekelezwa kitaifa kwa wanachama watatu wa chama hicho kuhojiwa.
9 years ago
IPPmedia02 Sep
Lowassa, Sumaye, Mbowe, Mbatia: No comment for now
IPPmedia
IPPmedia
Former Chadema Secretary General Dr Wilbroad Slaa addresses news conference in Dar es Salaam yesterday on his weeks of absence from political forums. The former secretary general of the opposition Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), ...
Richmond saga 'ex-PM making' - SlaaDaily News
all 5