Picha: Huyu ndio msanii wa Kenya aliyemshirikisha Diamond baada ya Victoria Kimani
Collabo ya mwisho ya Diamond Platnumz na msanii wa Kenya ni ile aliyoshirikishwa na Victoria Kimani kwenye wimbo Prokoto alikuwemo Ommy Dimpoz pia. Akothee na Diamond wakiwa studio Baada ya hapo, Diamond amekuwa akifanya ngoma na wasanii wa Nigeria, Afrika Kusini na Marekani zaidi. Hata collabo na wasanii wenzake wa Bongo zimekuwa za nadra pia […]
Bongo5
Habari Zinazoendana
11 years ago
Bongo513 Jul
Behind the scenes: Picha 15 za shooting ya video ya wimbo wa Victoria Kimani f/ Diamond & Ommy Dimpoz-Prokoto
Hizi ni picha za ‘behind the scenes’ za uchukuaji wa video ya wimbo wa muimbaji wa Kenya, Victoria Kimani uitwao ‘Prokoto’, ambao kawashirikisha Ommy Dimpoz na Diamond. Video ilifanyika Ijumaa (July 11) jijini Dar es salaam na kuongozwa na director wa Kenya Kevin Bosco.
10 years ago
Bongo522 Jul
Wakenya wamkalia shingoni Victoria Kimani baada ya kuwaambia hawasupport wasanii wao
Victoria Kimani analihisi joto la hasira kutoka kwa wakenya walioanzisha hashtag #SomeoneTellVictoriaKimani baada ya juzi kuwalalamikia kuwa wamekuwa nyuma kuwaunga mkono wasanii wao. “Life without art is hell….how can the Kenyan youth not have an interest in the arts ? Who robbed us of our self expression?” alitweet Kimani. “Lupita had to travel and be […]
10 years ago
Bongo525 Oct
Wizkid na Victoria Kimani washoot video Kenya na Enos Olik
Staa wa Nigeria Wizkid amekuwepo Afrika Mashariki kwa takribani wiki moja. Alianzia jijini Nairobi Kenya ambapo Jumapili iliyopita alitumbuiza kwenye viwanja vya The Carnivore, na baadae kuelekea jijini Kampala Uganda ambako alitumbuiza kwenye Party ya Guiness na kisha akarudi tena Kenya ambako imefahamika alirudi kushoot video. Victoria Kimani (kushoto) Wizkid (Kulia) Staa huyo wa ‘If […]
10 years ago
GPL28 Aug
9 years ago
Bongo523 Oct
Nabii hakubaliki nyumbani: Victoria Kimani awatupia lawama ma-promota wa Kenya
“Nabii hakubaliki nyumbani”- Hiyo ni moja ya tweet za mwimbaji wa Kenya, Victoria Kimani ambaye amewatupia lawama ma-promota wa Kenya jana kwa kushindwa kuthamini vipaji vya nyumbani. A prophet is never welcome at home — VICTORIA KIMANI (@VICTORIA_KIMANI) October 22, 2015 Kimani aliandika tweet nyingine akisema kuwa anatamaani angekuwa anafanya show nyingi Kenya lakini mashabiki […]
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania