KADJA: KWA MAISHA HAYA MUME WA NINI?
![](http://api.ning.com:80/files/dMNnaPiQ3VgEHqTSiE2onl3hxISDZva8uILFe9KHgFRxFeMIVHZwoH4T-YqAWVU1rUL2Tdu9aG9H8zfv3*gq*bN7UtBzmJqX/Kadja.gif?width=650)
Musa Mateja STAA kutoka nyumba ya kukuza vipaji Tanzania ‘THT’, Khadija Maige ‘Kadja Nito’, hatimaye ameamua kufunguka na kusema kuwa, kwa maisha yake ya sasa ya kimuziki haoni kama kuna umuhimu wa kufikiria masuala ya kuolewa. Staa kutoka nyumba ya kukuza vipaji Tanzania ‘THT’, Khadija Maige ‘Kadja Nito’. Akizungumza na paparazi wetu mwishoni mwa wiki iliyopita Kadja...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/NEC3sUsJox7dq4dZDlJvrilD9C8oFDEJ0QKes*VaFdaupoVwb3KrO2--0Rmo2qTpYqdgTeOQRxQLSA0dl6hQ4imSUkMolQf5/youngcouple.jpg)
KWA NINI MSICHANA WA KAZI AKUCHUKULIE MUME WAKO-2
5 years ago
BBCSwahili12 Jun
Brazil: Kwa nini makuburi haya yamechimbwa ufuoni?
5 years ago
BBCSwahili09 Mar
Coronavirus: Kwa nini shirika la afya duniani linasema hatua ya kujishika uso ni hatari kwa maisha yako?
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/agg6MtdmQC3XZTPjbLZuzzq34ezxHPtECc9Kqw-S79TqbjV8njx382q6kcURDC80LnfbBTYOlrndeue-3VJjAn6Mc7aIAiNP/Womancomputerupset1.jpg?width=650)
UNAJIAMINI NINI HADI UJINYIME KWA AJILI YA MAISHA YA BAADAYE?
11 years ago
Tanzania Daima14 May
Mauaji haya ya Kiteto, DC Umbula anangoja nini?
RAIS Jakaya Kikwete sina hakika kama unajua kwamba wananchi takribani 30 wameshapoteza maisha wilayani Kiteto Mkoa wa Manyara. Wafugaji na wakulima wanauana kwa sababu ya chuki za kibaguzi zinazodaiwa kupandikizwa...
10 years ago
Mwananchi17 Feb
Matokeo haya kidato cha nne yanatufunza nini?
9 years ago
Mzalendo Zanzibar21 Oct
Haya yote ya nini JK wakati nchi haiko vitani?
. Natatizwa sana kuona Serikali ya KIkwete ikijiimarisha “kiulinzi” kupitia Jeshi, Polisi na hata Usalama wa Taifa eti kudhibiti na kuzuia machafuko wakati wa uchaguzi mkuu. Serikali imeweka majesho yote kwenye Red alert, polisi wamekabidhiwa magari […]
The post Haya yote ya nini JK wakati nchi haiko vitani? appeared first on Mzalendo.net.
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/xkVCMRT4uG*CQFztMfljPtgPp-zir-l1yQky*XT2DqEo77OK3awxT0C*k42eznfKa0mv17aYaqf4rxnNLUgZBvMXgLTbI0bU/11.jpg)
KADJA ANASWA AKIINGIA KWA SANGOMA
9 years ago
Bongo Movies04 Nov
Wema Sepetu: Nasib Angekuwa Mume Wangu wa Maisha
Jina la Nasib Abdul bado halijatoka kichwani mwa Wema Sepetu!
Nasib Abdul ni jina halisi la Diamond Platnumz.
Miss Tanzania huyo wa mwaka 2006 na muigizaji wa filamu alikuwa akijibu swali kwenye kipindi cha Hitzone kupitia kituo cha redio cha Jembe FM cha jijini Mwanza alipoulizwa ni mwanaume gani ambaye alitamani awe mume wake wa ndoa.
“Ni yupi ambaye niliwahi kusema huyu anaweza kuwa wa maisha,” alisema Wema. “Kiukweli alikuwa anaitwa Nasib Abdul,nilishawahi kusema hivyo,”...