KWA NINI MSICHANA WA KAZI AKUCHUKULIE MUME WAKO-2
![](http://api.ning.com:80/files/NEC3sUsJox7dq4dZDlJvrilD9C8oFDEJ0QKes*VaFdaupoVwb3KrO2--0Rmo2qTpYqdgTeOQRxQLSA0dl6hQ4imSUkMolQf5/youngcouple.jpg)
ASALAAM aleiykhum/Bwana Yesu asifiwe. Bila shaka wasomaji wa safu hii hamjambo na mnaendelea vema na shughuli za ujenzi wa taifa. Kwa wale wagonjwa, nawaombea dua mpone haraka na kuuanza mwaka 2014 kwa furaha. Leo tunaendelea na mada yetu ya wiki iliyopita, nilipata ujumbe mwingi kwa njia ya simu kutoka kwa wasichana wa kazi na akina baba wenye nyumba wakiwa na mawazo tofauti. Haya ndio makosa wayafanyayo wanawake...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-kgTogVO-CgI/U4bMyuvpKDI/AAAAAAAFmBQ/PyqPzr9Rc5o/s72-c/POLISI+LOGO+-+Copy.jpg)
MSICHANA WA KAZI ATIWA MBARONI KWA KUTUPA KICHANGA
![](http://4.bp.blogspot.com/-kgTogVO-CgI/U4bMyuvpKDI/AAAAAAAFmBQ/PyqPzr9Rc5o/s1600/POLISI+LOGO+-+Copy.jpg)
MSICHANA Theresia Matai (19) ambaye ni mfanyakazi wa ndani mkazi wa Kwa Mathias wilayani Kibaha mkoani Pwani anashaikiliwa na Jeshi la polisi mkoani humo kwa tuhuma za kumtupa mtoto wake aliyejifungua.
Akithibitisha kutokea kwa tukio hilo kamanda wa Polisi mkoani Pwani Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (SACP) Ulrich Matei alisema kuwa tukio hilo lilitokea Mei 27 mwaka huu majira ya saa 3 usiku.
Kamanda Matei alisema kuwa tukio hilo lilitokea eneo la Mwembe...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/dMNnaPiQ3VgEHqTSiE2onl3hxISDZva8uILFe9KHgFRxFeMIVHZwoH4T-YqAWVU1rUL2Tdu9aG9H8zfv3*gq*bN7UtBzmJqX/Kadja.gif?width=650)
KADJA: KWA MAISHA HAYA MUME WA NINI?
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/zcg5CJIee4-MLygvUFS6O4T4pyhIttAQ1NqVPJelxtap3Ua0SE-UQcZo03SVAHvK99WUBrir3OXIzjBnjAe2C6El*8H9sS4U/APENZI.jpg)
KWA NINI MITANDAO IVURUGE NDOA UHUSIANO WAKO?
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/XP1HwsPGdbelr4Vix-BHEMMLQV-PU*tkVLJsaSt5RVVB0Kj0*zjoU*d3tbY43vebGgsTPBSJGrSuhMZGWT8gp37X-egMEjvw/24.jpg?width=650)
ALIKUWA MPENZI WAKO, KWA NINI SASA UMHARIBIE?
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Wdk-9Zfi1k7hvx2wEasIKicF*XKu-idjb5lFixw3x0dKYQi9d9uOCgQawClsE*QSbxTlKpfE4Lk7LFVgkFz0INDqJSBi1q78/ninomasan7.jpg?width=650)
HUKATAZWI KUMFUATILIA MPENZI WAKO LAKINI KWA NINI UMFUATILIE?
9 years ago
Raia Mwema30 Dec
Kwa nini Magufuli hajaanza kufanya kazi?
MTU unaponunua eneo kwa ajili ya shamba au ujenzi vitu vya kwanza kabisa ambavyo unaangalia ni ki
Lula wa Ndali Mwananzela
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/UUHZoZFGT4guQFV2k*S1qGEXzOGDOxT3dddoyriRdwBxrubBz9rgVMt-S2PZwls5OJ9LMUKsTXJuw1xQh8msugkb-21kLtuS/Hot_CoupleS__1024x768__Wallpapers__aman1512.jpg_a_8.jpg?width=650)
UZURI NA UMBO SIYO FIMBO YA KUMPIGIA MUME WAKO!
5 years ago
CCM Blog![](https://1.bp.blogspot.com/-P_alNUmivKk/XmS7p1Ly72I/AAAAAAACITc/BTwh7SHLJc4Nd-YrKxz_GHdbP2RaLvKYwCLcBGAsYHQ/s72-c/SIMU.jpg)
SERIKALI: NI KOSA KISHERIA KUSAJILIANA LAINI ZA SIMU, HATA AKIWA MKE AU MUME WAKO
![](https://1.bp.blogspot.com/-P_alNUmivKk/XmS7p1Ly72I/AAAAAAACITc/BTwh7SHLJc4Nd-YrKxz_GHdbP2RaLvKYwCLcBGAsYHQ/s1600/SIMU.jpg)
Serikali imepiga marufuku kwa mwananchi yeyote kumsajilia laini ya simu ya mkononi kwa alama ya vidole kwa kutumia kitambulisho cha taifa cha NIDA mtu mwingine kwa kuwa kufanya hivyo ni kosa la kisheria.
Hayo yameelezwa na Naibu Waziri wa Uchukuzi na Mawasiliano, Mhandisi Atashasta Nditiye mkoani Iringa wakati akiwa kwenye mikutano ya hadhara kwenye kijiji cha Idodi na Isoliwaya mkoani humo akizindua minara ya mawasiliano kwenye kata ya Idodi, Kihesa na Ihimbo...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/JSct6ft9ycRGEu1HQewzepKqjUEixPglD57QIEIjkgh9kd2qiA7fr3FIHwcxTGhGFJWcIXwLXfvmGSb5YQL4syyvxUhD-emQ/mahaba.jpg)
NINI CHA KUFANYA MPENZI WAKO ANAPOWASILIANA NA EX WAKE?-2