Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


UZURI NA UMBO SIYO FIMBO YA KUMPIGIA MUME WAKO!

Siku zote nimeweka mdomoni neno linalosema kuwa mwanaume ni kifaa adimu kwa sababu watu wanamaliza waganga, wanafanya matambiko ili wapate waume. Cha ajabu kuna wanawake ambao Mwenyezi Mungu amewapa wanaume lakini hawajitumi, wapo wapo tu! Mfano, unakuta mume anafua mwenyewe, mume njaa inamuuma mke yupo anaangalia TV au kaenda kuzurura. Mume anavaa nguo chafu kisa mke hajali suala la kufua. Jamani mume kwa mke ni kama mtoto,...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

UZURI WA SURA NA UMBO NI ADHABU, USIOMBEE

JAMANI nauona kabisa mwaka unakatika huu, kwa sababu tunapokutana leo hapa, zimebaki kama wiki mbili tu na ushee, tuingie kwenye ule mwezi ambao tunazisikiaga nyimbo za msimu wa Krismasi. Ukisikia tu Viva Christmas, ujue mwaka umeisha na kwa sisi wazazi unaanza kufikiria ada za shule!
Basi, nimekuwa nikikutana na watu wengi wanaolalamika kutendwa na wenza wao, wakihoji bahati mbaya waliyonayo, kwani kila wakiwapata wenzao,...

 

10 years ago

GPL

UZURI NA UBAYA WA MUME WA MTU!

HABARI zenu wapendwa wasomaji wa safu hii. Tumekutana tena kwa mara nyingine ili tuweze kupeana mawili matatu yanayohusu uhusiano wa kimapenzi na maisha ndani ya ndoa. Kabla sijaingia chumba cha habari na kuandika makala haya, nilifanya utafiti mdogo kwa kuwashirikisha marafiki, wanafunzi na watu wengine walio na uzoefu wa maisha ya kimapenzi na baadaye kubaini sababu kadhaa zinazowafanya wasichana kupenda waume za watu....

 

10 years ago

GPL

9 years ago

Mwananchi

MCHANGO WA MAWAZO : Siyo ubaya wa Lowassa wala uzuri wa Dk Magufuli

Tunapoelekea uchaguzi mkuu wa 2015, kuna watu wanachanganya mambo.Ushabiki unakuwa mkubwa na wakati mwingine watu wanaacha kabisa kufikiri. Ni vyema ufafanuzi ukafanyika, ili twende sawa.

 

10 years ago

GPL

OYA SISTA UKIGEUZA UZURI WAKO MTAJI, UTAISHIA KUCHEZEWA!

Niaje…niaje wanangu na maduu wa ukwehe? Inakuwa nini watu wangu wa nguvu? Imekuwa fasta kinoma na tumekutana tena, huwezi kuamini kama kitu cha wiki kimekatika. Enewei ndo kama hivo kachala wako nipo chuma kabisa nimeshatokelezea rede kukisanua hapa kwa fasi ya jamvini. Wanangu kitu cha mvua kimezingua bati kwani kuna maproblemu? Hakuna tatizo. Basi jiti! Tudei namaindi kukusanua na ishu moko hivi ambayo mazee naona kama...

 

10 years ago

Vijimambo

KUKUBALI MPENZI WAKO ‘AKUCHUNE’ SIYO UBWEGE!

Mpenzi msomaji, wapenzi wako wa aina tofauti. Kuna wale ambao mwanamke anafanya kazi mwanaume hana kazi, mwanaume ana kazi na mwanamke hana kazi ama wote wanafanya kazi.
Katika mazingira hayo, fahamu kwamba mpenzi wako ana haki ya kukuchuna kimtindo ikiwa ni pamoja na kuhakikisha shida ndogondogo hazimtesi.

Hutakiwi kuwa mbahili hata kidogo na unachotakiwa kufanya ni kumpatiliza katika mahitaji yake muhimu pale atakapohitaji.

Hapa sizungumzii kwamba mwanaume ndiye anayetakiwa kumfanyia hayo...

 

10 years ago

GPL

KUKUBALI MPENZI WAKO ‘AKUCHUNE’ SIYO UBWEGE!

Mpenzi msomaji, wapenzi wako wa aina tofauti. Kuna wale ambao mwanamke anafanya kazi mwanaume hana kazi, mwanaume ana kazi na mwanamke hana kazi ama wote wanafanya kazi.
Katika mazingira hayo, fahamu kwamba mpenzi wako ana haki ya kukuchuna kimtindo ikiwa ni pamoja na kuhakikisha shida ndogondogo hazimtesi. Hutakiwi kuwa mbahili hata kidogo na unachotakiwa kufanya ni kumpatiliza katika mahitaji yake muhimu pale atakapohitaji. ...

 

11 years ago

GPL

KWA NINI MSICHANA WA KAZI AKUCHUKULIE MUME WAKO-2

ASALAAM aleiykhum/Bwana Yesu asifiwe.
Bila shaka wasomaji wa safu hii hamjambo na mnaendelea vema na shughuli za ujenzi wa taifa.
Kwa wale wagonjwa, nawaombea dua mpone haraka na kuuanza mwaka 2014 kwa furaha. Leo tunaendelea na mada yetu ya wiki iliyopita, nilipata ujumbe mwingi kwa njia ya simu kutoka kwa wasichana wa kazi na akina baba wenye nyumba wakiwa na mawazo tofauti. Haya ndio makosa wayafanyayo wanawake...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani