UZURI NA UBAYA WA MUME WA MTU!
![](http://api.ning.com:80/files/NpAlVAvTs3ObpJxkkylwAansLKesjwuQYt6xc-kNpaD4eUT2ILAKTBqgtNMa4mylOD6pgCkZUJphbF*nPVCFCoV*l4KeYxmc/QRRQ.jpg?width=650)
HABARI zenu wapendwa wasomaji wa safu hii. Tumekutana tena kwa mara nyingine ili tuweze kupeana mawili matatu yanayohusu uhusiano wa kimapenzi na maisha ndani ya ndoa. Kabla sijaingia chumba cha habari na kuandika makala haya, nilifanya utafiti mdogo kwa kuwashirikisha marafiki, wanafunzi na watu wengine walio na uzoefu wa maisha ya kimapenzi na baadaye kubaini sababu kadhaa zinazowafanya wasichana kupenda waume za watu....
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima16 Jan
Uzuri, ubaya wa choo cha kukaa
BAADHI ya watu huwa hawapendi kujadili mambo yanayohusiana na kinyesi kwa kudai ni jambo la siri na aibu. Kwa wanadamu wote tunapozungumzia ‘choo’ huwa tuna maana ya kinyesi, ijapokuwa neno...
10 years ago
Mwananchi17 Jun
Uzuri na ubaya wa CCM kuwa na watangazania wengi
10 years ago
Mwananchi30 Sep
Sera ya Taifa ya elimu ya juu ya Tanzania: uzuri na ubaya wake
10 years ago
Mwananchi02 Sep
Sera ya Taifa ya elimu ya juu ya Tanzania; uzuri na ubaya wake- 2
9 years ago
Mwananchi01 Oct
MCHANGO WA MAWAZO : Siyo ubaya wa Lowassa wala uzuri wa Dk Magufuli
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/dbDz8bz8Q7l-wHj5OnnlF5cRYGvWkpSl4m9PC1BWWJURUBuG7NCe3C-dWORDwz6afU38SaEyBzCNWgziybt560lUa1j5zMqi/MYGODZ.jpg)
MY GOD! MKE WA MTU AMWAFGIWA MAHARAGE YA MOTO, KISA NI MUME WA MTU
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/UUHZoZFGT4guQFV2k*S1qGEXzOGDOxT3dddoyriRdwBxrubBz9rgVMt-S2PZwls5OJ9LMUKsTXJuw1xQh8msugkb-21kLtuS/Hot_CoupleS__1024x768__Wallpapers__aman1512.jpg_a_8.jpg?width=650)
UZURI NA UMBO SIYO FIMBO YA KUMPIGIA MUME WAKO!
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/LzTY94yzCcIkwe79Xf*bMKoF4R9FbewQXeyINX6RzAGzhSuWOwPYDD5JgyVpjIVKOxRsXcX26sWJiOYVK9626gtBKHQVuzb2/mkewamtusumu.jpg?width=650)
MUME WA MTU AFA AKIWA NA MKE WA MTU
10 years ago
Bongo Movies18 Jan
Lulu Awavaa Wanaosifia Uzuri wa Mtu Kwa Kumponda Mwingine
“Niongee kidogo kuhusu hili kwa wanawake na wanaume....hivi kuna baadhi ya Watu mnashindwa kabisa kumsifia mtu bila kuponda wengine....!?? Au kupenda mtu bila kuchukia wengine...!?Kwa ufupi tu iko hivi....Kila mwanamke duniani ana uzuri wake na a ana kitu ambacho mwanamke mwingine hana,hata wanaume pia...!
Sasa kuna watu fulani hawawezi kabisa kumsifia mtu bila kumponda mwingine, inafurahisha sana kutaka kulazimisha kuwa Mungu.....hivi unafikiri Mungu alikuwa hayuko sawa kufanya wanawake...