Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


UZURI WA SURA NA UMBO NI ADHABU, USIOMBEE

JAMANI nauona kabisa mwaka unakatika huu, kwa sababu tunapokutana leo hapa, zimebaki kama wiki mbili tu na ushee, tuingie kwenye ule mwezi ambao tunazisikiaga nyimbo za msimu wa Krismasi. Ukisikia tu Viva Christmas, ujue mwaka umeisha na kwa sisi wazazi unaanza kufikiria ada za shule!
Basi, nimekuwa nikikutana na watu wengi wanaolalamika kutendwa na wenza wao, wakihoji bahati mbaya waliyonayo, kwani kila wakiwapata wenzao,...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

UZURI NA UMBO SIYO FIMBO YA KUMPIGIA MUME WAKO!

Siku zote nimeweka mdomoni neno linalosema kuwa mwanaume ni kifaa adimu kwa sababu watu wanamaliza waganga, wanafanya matambiko ili wapate waume. Cha ajabu kuna wanawake ambao Mwenyezi Mungu amewapa wanaume lakini hawajitumi, wapo wapo tu! Mfano, unakuta mume anafua mwenyewe, mume njaa inamuuma mke yupo anaangalia TV au kaenda kuzurura. Mume anavaa nguo chafu kisa mke hajali suala la kufua. Jamani mume kwa mke ni kama mtoto,...

 

9 years ago

Bongo5

New Music: Trubadour George f/ Ibrah – Uzuri wa Sura

76661c15-0aef-4b24-8757-7752aff9d7de

Ngoma mpya ya rapper Trubadour George aliyomshirikisha Ibrah. Inaitwa Uzuri wa Sura.

Rapper huyo anasema:

Huu ni wimbo wa kwanza wa mapenzi kuuachia hewani kutoka kwangu tangu nianze kufanya muziki. Wimbo huu nimetoa maalum kwa mwanamke ninayempenda na pia ni dedication ya watu wapendanao. Video ya wimbo huu itakuwa hewani tarehe 18/12/ 2015. video hii imetayarishwa na Mecky Kaloka kutoka Ngome Videos.

Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na...

 

10 years ago

Habarileo

Uzuri wamponza, wenye wivu wamharibu sura

WASICHANA ndugu wanaokadiriwa kuwa na umri wa miaka 16 na 18 wamemshambulia kwa visu binti mwenye miaka 15, kwa lengo la kumkomesha kwa sababu anasifiwa kuwa mzuri. Katika tukio hilo la aina yake, ndugu hao walimvizia msichana huyo, Julia Alvarez(15), njiani wakati anakwenda nyumbani mjini Juan Domingo Peron kwenye jimbo la Formosa Kaskazini mwa Argentina.

 

11 years ago

Mwananchi

Usiombee kuugua dengue, kipimo Sh50,000

>Wakati taharuki iliyosababishwa na mlipuko wa homa ya dengue ikiendelea kutikisa kila kona ya jiji, imebainika kwamba gharama za vipimo katika hospitali mbalimbali zinafikia Sh50,000, ikiwa ni tofauti kubwa na Sh1,000 kwa kipimo cha malaria.

 

10 years ago

Michuzi

Isomeni Katiba Mpya Inayopendekezwa sura kwa sura na ibara kwa ibara ili muweze kupata uelewa - Dkt. Migiro

Na Magreth Kinabo
WANANCHI   wameshauriwa kuisoma Katiba Mpya Inayopendekezwa  sura kwa sura na ibara kwa ibara ili waweze kupata uelewa wa masuala mbalimbali yaliyomo ndani ya Katiba hiyo na kuacha kusikiliza maneno  ya watu yenye nia ya kupotosha ukweli.
Kauli hiyo ilitolewa jana  na  Waziri wa Katiba na Sheria Dkt. Asha   Rose Migiro wakati  wa sherehe za mahafali ya pili ya Shule ya Sekondari ya Wasichana  wanaoishi katika mazingira hatarishi  ya WAMA  Nakayama, iliyopo  wilayani Rufiji...

 

11 years ago

Mwananchi

Vaa hereni kulingana na umbo lako

Ni jambo la kawaida kwa mrembo au mtu yeyote anayeelewa masuala ya mitindo ya kunakshi vazi lake linapokuwa limekamilika.

 

9 years ago

BBCSwahili

Kondomu yenye umbo la chupi Uganda

Kondomu hii ina umbo la suruali ya ndani ya wanawake, Inaweza kuvaliwa siku nzima na wanawake sawa na chupi aina ya ''g-string''

 

10 years ago

Mwananchi

Kajala : Umbo langu linavutia, halijawahi kunikera

Unapotaja majina ya waigizaji maarufu wa kike nchini, siyo rahisi kuliweka kando jina la Kajala Masanja. Hii ni kutokana na ukweli kwamba yeye ni miongoni mwa mastaa wanaoitendea haki tasnia ya uigizaji katika Tanzania.

 

9 years ago

Mwananchi

Jinsi ya kukabili hisia za umbo dogo la uume

Leo nitafunga mfululizo wa mada juu ya udogo wa maumbile kwa kueleza mambo machache ya kufanya kukabiliana na hali hiyo.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani