Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Uzuri wamponza, wenye wivu wamharibu sura

WASICHANA ndugu wanaokadiriwa kuwa na umri wa miaka 16 na 18 wamemshambulia kwa visu binti mwenye miaka 15, kwa lengo la kumkomesha kwa sababu anasifiwa kuwa mzuri. Katika tukio hilo la aina yake, ndugu hao walimvizia msichana huyo, Julia Alvarez(15), njiani wakati anakwenda nyumbani mjini Juan Domingo Peron kwenye jimbo la Formosa Kaskazini mwa Argentina.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

UZURI WA SURA NA UMBO NI ADHABU, USIOMBEE

JAMANI nauona kabisa mwaka unakatika huu, kwa sababu tunapokutana leo hapa, zimebaki kama wiki mbili tu na ushee, tuingie kwenye ule mwezi ambao tunazisikiaga nyimbo za msimu wa Krismasi. Ukisikia tu Viva Christmas, ujue mwaka umeisha na kwa sisi wazazi unaanza kufikiria ada za shule!
Basi, nimekuwa nikikutana na watu wengi wanaolalamika kutendwa na wenza wao, wakihoji bahati mbaya waliyonayo, kwani kila wakiwapata wenzao,...

 

9 years ago

Bongo5

New Music: Trubadour George f/ Ibrah – Uzuri wa Sura

76661c15-0aef-4b24-8757-7752aff9d7de

Ngoma mpya ya rapper Trubadour George aliyomshirikisha Ibrah. Inaitwa Uzuri wa Sura.

Rapper huyo anasema:

Huu ni wimbo wa kwanza wa mapenzi kuuachia hewani kutoka kwangu tangu nianze kufanya muziki. Wimbo huu nimetoa maalum kwa mwanamke ninayempenda na pia ni dedication ya watu wapendanao. Video ya wimbo huu itakuwa hewani tarehe 18/12/ 2015. video hii imetayarishwa na Mecky Kaloka kutoka Ngome Videos.

Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na...

 

10 years ago

Bongo5

Stamina adai wasanii wengi wa filamu wanauza sura, wenye vipaji wachache

Rapper Stamina anaamini kuwa tasnia ya filamu nchini inashindwa kwenda mbele zaidi kutokana na waigizaji wengi kutokuwa na vipaji bali wanatafuta umaarufu na pesa. Stamina amesema anashindwa kukaa na kuangalia filamu za siku hizi kwakuwa zimekosa waigizaji mahiri. “Unajua kuangalia filamu kuna raha yake kama utakuta waigizaji ambao wanajua kazi yao. Sio o hawa wanaotafuta […]

 

9 years ago

Bongo5

Lulu akerwa na headline ya gazeti ‘Mastaa waliozaa watoto wenye sura mbaya’

Muigizaji wa filamu, Elizabeth ‘Lulu’ Michael amekerwa na makala iliyoandikwa na gazeti moja la nchini yenye kichwa cha habari ‘Watoto wa mastaa wenye sura mbaya.’ Kupitia ukurasa wake wa Instagram, Lulu ameandika: Hivi dunia Imekuwaje!? Hiki kichwa cha habari. Gazeti linalosomwa na mamilioni ya watu unaandika upuuzi kama huu!? Ni basi tu hao watu mliwaandika […]

 

10 years ago

Michuzi

Isomeni Katiba Mpya Inayopendekezwa sura kwa sura na ibara kwa ibara ili muweze kupata uelewa - Dkt. Migiro

Na Magreth Kinabo
WANANCHI   wameshauriwa kuisoma Katiba Mpya Inayopendekezwa  sura kwa sura na ibara kwa ibara ili waweze kupata uelewa wa masuala mbalimbali yaliyomo ndani ya Katiba hiyo na kuacha kusikiliza maneno  ya watu yenye nia ya kupotosha ukweli.
Kauli hiyo ilitolewa jana  na  Waziri wa Katiba na Sheria Dkt. Asha   Rose Migiro wakati  wa sherehe za mahafali ya pili ya Shule ya Sekondari ya Wasichana  wanaoishi katika mazingira hatarishi  ya WAMA  Nakayama, iliyopo  wilayani Rufiji...

 

9 years ago

Mwananchi

Wimbo wa Lowassa wamponza

Jeshi la Polisi mkoani hapa limemkamata mkazi wa Chang’ombe Emmanuel William (35) kwa tuhuma za kupiga nyimbo za mgombea Urais kwa tiketi ya Chama cha Chadema, Edward Lowassa kwa kutumia simu ya mkononi wakati akiwa kwenye foleni ya wapiga kura.

 

11 years ago

Mwananchi

‘U-CCM’ wamponza Dk. Michael

Mwenyekiti wa Bunge Maalumu la Katiba, Samuel Sitta jana alilazimika kuwaomba wajumbe wachache kwenye Kamati namba Tatu kusoma wenyewe taarifa yao baada ya wajumbe hao kutoridhishwa na usomaji wa Mwenyekiti wa kamati hiyo.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Urais wamponza Sitta

MWENENDO wa Mwenyekiti wa Bunge Maalumu la Katiba, Samuel Sitta, umeanza kutiliwa shaka huku baadhi ya wajumbe wenzake wakidai anateswa na dhambi ya unafiki. Sitta, ambaye aliongoza Bunge la Tisa...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Mchepuko wamponza mkazi Newala

WATU wawili wamefariki dunia katika matukio mawili tofauti mkoani hapa, likiwemo tukio la mwanaume mmoja kucharangwa mapanga kwa madai ya kukutwa akifanya mapenzi na mke wa mtu. Kwa mujibu wa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani