Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kajala : Umbo langu linavutia, halijawahi kunikera

Unapotaja majina ya waigizaji maarufu wa kike nchini, siyo rahisi kuliweka kando jina la Kajala Masanja. Hii ni kutokana na ukweli kwamba yeye ni miongoni mwa mastaa wanaoitendea haki tasnia ya uigizaji katika Tanzania.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

UZURI WA SURA NA UMBO NI ADHABU, USIOMBEE

JAMANI nauona kabisa mwaka unakatika huu, kwa sababu tunapokutana leo hapa, zimebaki kama wiki mbili tu na ushee, tuingie kwenye ule mwezi ambao tunazisikiaga nyimbo za msimu wa Krismasi. Ukisikia tu Viva Christmas, ujue mwaka umeisha na kwa sisi wazazi unaanza kufikiria ada za shule!
Basi, nimekuwa nikikutana na watu wengi wanaolalamika kutendwa na wenza wao, wakihoji bahati mbaya waliyonayo, kwani kila wakiwapata wenzao,...

 

9 years ago

BBCSwahili

Kondomu yenye umbo la chupi Uganda

Kondomu hii ina umbo la suruali ya ndani ya wanawake, Inaweza kuvaliwa siku nzima na wanawake sawa na chupi aina ya ''g-string''

 

11 years ago

Mwananchi

Vaa hereni kulingana na umbo lako

Ni jambo la kawaida kwa mrembo au mtu yeyote anayeelewa masuala ya mitindo ya kunakshi vazi lake linapokuwa limekamilika.

 

11 years ago

Bongo Movies

Baada ya Kajala kudai Wema ni mnafiki,Wema aamua kujibu mapigo. 'Amlipua' vibaya Kajala


Ikiwa ni siku chache zimepita baada ya mwigizaji  Kajala kudai kuwa mrembo Wema Sepeteu ni Mnafiki, hatimaye Mwanadada Wema Sepetu , amemlipua aliyekuwa shosti wake, Kajala Masanja ‘K’ ambaye wiki iliyopita alimwita mnafiki, habari  ambayo  ilisambaa  katika  mitandao  mbalimbali  ya  kijamii.

Katika habari hiyo, Kajala alikaririwa akisema kwamba licha ya watu wengi kuamini wamepatana, hakuna ukweli kwani rafiki yake huyo ni mnafiki kufuatia kutomthamini na kutokuwa karibu naye kama zamani...

 

9 years ago

Mwananchi

Jinsi ya kukabili hisia za umbo dogo la uume

Leo nitafunga mfululizo wa mada juu ya udogo wa maumbile kwa kueleza mambo machache ya kufanya kukabiliana na hali hiyo.

 

10 years ago

GPL

UZURI NA UMBO SIYO FIMBO YA KUMPIGIA MUME WAKO!

Siku zote nimeweka mdomoni neno linalosema kuwa mwanaume ni kifaa adimu kwa sababu watu wanamaliza waganga, wanafanya matambiko ili wapate waume. Cha ajabu kuna wanawake ambao Mwenyezi Mungu amewapa wanaume lakini hawajitumi, wapo wapo tu! Mfano, unakuta mume anafua mwenyewe, mume njaa inamuuma mke yupo anaangalia TV au kaenda kuzurura. Mume anavaa nguo chafu kisa mke hajali suala la kufua. Jamani mume kwa mke ni kama mtoto,...

 

9 years ago

Bongo5

Picha: Utashangaa msichana huyu anavyoweza kulikunja umbo lake

Zlata-the-worlds-most-flexible-woman (1)

Unaweza kudhani mwili wake hauna mifupa lakini Zlata ni binadamu kama sisi na anayofanya yatakuduwaza.

Zlata-the-worlds-most-flexible-woman (1)

Zlata ambaye ni raia wa Urusi ametoa kalenda ya mwaka 2016 yenye picha mbalimbali zinazomuonesha akiufanya mwili wake atakavyo.

Tazama picha zaidi.

Zlata-worlds-most-flexible-woman-main

Zlata-the-worlds-most-flexible-woman (2)

Zlata-the-worlds-most-flexible-woman (3)

Zlata-the-worlds-most-flexible-woman (4)

Zlata-the-worlds-most-flexible-woman

Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani