Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


NINI CHA KUFANYA MPENZI WAKO ANAPOWASILIANA NA EX WAKE?-2

Shukrani ziende kwake Muumba ambaye kwa mara nyingine ametupa nafasi ya kukutana kwenye uwanja wetu huu, tukijuzana, kuelimishana na kubadilishana mawazo kuhusu mambo mbalimbali yahusuyo uhusiano wa kimapenzi. Wiki iliyopita tulianza kuijadili mada hii kama inavyosomeka kwenye kichwa cha habari kuhusu hatua unazopaswa kuzichukua unapogundua kuwa mpenzi wako, mumeo au mkeo ana mawasiliano na mpenzi wake wa zamani (ex wake)....

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

NINI CHA KUFANYA MPENZI WAKO ANAPOWASILIANA NA EX WAKE?

Kabla sijaingia kwenye mada ya leo, hebu tushirikishane kuhusu hali iliyomtokea dada yetu mmoja kutoka jijini Dar es Salaam. Aliwasiliana nami siku kadhaa zilizopita, akiwa analia, amekata tamaa, anaomboleza mithili ya mtu aliyepewa taarifa za msiba. Alichokisema ni hiki: “Nimeishi na mume wangu kwa miaka kumi na tumejaliwa kupata watoto watatu. Huyu wa mwisho ana umri wa miezi saba, nilimzaa mwanzoni mwa mwaka huu....

 

10 years ago

GPL

NINI CHA KUFANYA MPENZI WAKO ANAPOWASILIANA NA EX WAKE?-3

6. Anaendelea kumpa misaada mbalimbali. Ukiona mpenzi wako anaendelea kumsaidia ex wake kama kumtumia muda wa maongezi, fedha za matumizi au kodi ya chumba, ujue bado wanapendana na anafanya hayo kwa sababu anaamini ipo siku watarudiana. 7. Bado anazo zawadi walizokuwa wanapeana kipindi cha nyuma. Ukiona mpenzi wako bado anatunza zawadi walizowahi kupeana na ex wake kipindi cha mapenzi yao, ni dhahiri kwamba bado anampenda na...

 

10 years ago

GPL

ALIKUWA MPENZI WAKO, KWA NINI SASA UMHARIBIE?

WAPENZI wa XXXLove tunakutana tena leo kwa rehema na kudra za Maulana. Nami bila hiyana nawakaribisha wasomaji wangu kwa moyo mkunjufu, karibuni! Leo nitazungumza na watu ambao walikuwa na mahusiano mwanzoni, baadaye mapenzi yao yakafika mwisho na kila mtu kuanza maisha yake mapya. Kwa bahati nzuri mwenza wako kaolewa ama kuoa na wewe bado uko bachela, kwa nini uanze kumsumbua? Hilo ni tatizo, tena tatizo kubwa sana ambalo...

 

10 years ago

GPL

KASORO ZA MPENZI WAKO FARADHA, MARAFIKI ZINAWAHUSU NINI?

Wiki hii nataka kuzungumzia tabia f’lani ambayo imejengeka kwa baadhi ya wanaume ambayo kimsingi ni mbaya na haileti picha nzuri lakini naamini kwa kuandika kupitia safu hii, itasaidia kuwafanya wahusika wabadilike. Natambua umuhimu wa watu kukutana sehemu mbalimbali na kubadilishana mawazo, haijalishi ni eneo gani ambalo litatumika. Wapo ambao stori zao huzipigia baa na wengine maskani tu.Huko ndiko tunakojadili mambo...

 

10 years ago

GPL

HUKATAZWI KUMFUATILIA MPENZI WAKO LAKINI KWA NINI UMFUATILIE?

Mapenzi ya zama hizi yamejaa changamoto nyingi sana. Usaliti umekuwa mwingi kiasi kwamba, kila anayeingia kwenye uhusiano anajipa asilimia chache za kutosalitiwa. Ndiyo maana leo hii hakuna anayeweza kusimama na kusema hasalitiwi na mpenzi wake, kila mmoja kwa wakati flani hujihisi kuibiwa lakini anajaribu kupotezea mawazo hayo ili asijikoseshe amani. Ni kweli, ukitaka mapenzi yakukoseshe amani, itakuwa hivyo! Utashindwa kufanya...

 

11 years ago

GPL

MPENZI WAKO ANAWASILIANA NA ‘EX’ WAKE? FANYA HAYA

Unapoingia katika penzi jipya, ni kipindi ambacho moyo wako unakuwa na furaha ya hali ya juu. Unaweza kuhisi unaibeba dunia nzima kwa raha ya penzi jipya, utajitahidi kumuonesha huyo uliyempata kila aina ya mahaba ilimradi aendelee kuwa na wewe na akupende zaidi. Lakini kadiri unavyozidi kukaa na mwenzako na mnavyozidi kuzoeana, ndipo unapopata nafasi ya kuyajua maisha yake kwa undani. Taratibu utaanza kufahamu yeye ni mtu wa...

 

10 years ago

GPL

MPENZI WA ZAMANI WA MPENZI WAKO ANAPOKUWA KIRUSI HATARI!

Niwazi kila mmoja wetu ana historia katika maisha yake ya kimapenzi. Huenda mpaka sasa wewe msomaji ulishawahi kuwa na uhusiano na watu zaidi ya mmoja. Wala siyo ajabu! Yawezekana pia kati ya wale uliowahi kuwa nao wapo uliomwagana nao kwa shari lakini wapo pia ulioachana nao kiroho safi. Jambo ambalo leo nataka kulizungumzia ni hili la mtu kuendelea kuwa na mawasiliano na mpenzi wake wa zamani eti kwa sababu waliachana kwa...

 

9 years ago

GPL

UNATAFUTA MCHUMBA? NINI CHA KUFANYA?

KWENYE dunia ya leo kila mtu aliyekamilika anahitaji mchumba. Uchumba ni hatua muhimu ya kuelekea kwenye ndoa. Huwezi kuingia kwenye ndoa bila kupitia katika safari ya uchumba. Safari hii inahitaji umakini wa hali ya juu maana ukikosea, safari ya kuelekea kwenye ndoa itakuwa na matatizo kwako. Hiyo ndiyo sababu ya leo kukuletea mada hii ili wewe msomaji wangu upate kuelimika. Lazima tutambue kwamba, safari ya uchumba inaanza kwa...

 

10 years ago

GPL

HAKURIDHISHI FARAGHA, NINI CHA KUFANYA?

NIJumamosi nyingine mpenzi msomaji wa safu hii ya Show The Love tunakutana kwa ajili ya kupeana darasa la uhusiano.Uzuri wa mapenzi ni kuridhishana. Kila mmoja ‘ainjoi’ kukutana na mwenzake, alifurahie tendo katika hali ambayo hawezi kuwa na hamu ya mapenzi pindi mnapokuwa mmemaliza tendo. Kinyume na hapo, kukiwa na tatizo katika upande mmoja, furaha ya tendo inaondoka. Mmoja kati ya wapendanao anakuwa na shauku ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani