UNAJIAMINI NINI HADI UJINYIME KWA AJILI YA MAISHA YA BAADAYE?

Kwanza niwashukuru wasomaji wangu ambao wamekuwa wakinipongeza kutokana na yale ambayo nimekuwa nikiyaandika kupitia safu hii. Mmoja wa wasomaji hao ni Nasra wa Kilombero ambaye ni mfanyabiashara. Kwa nini nimpe shukrani za kipekee? Hivi karibuni alinipigia simu na kuniambia: “Nakushukuru, mada zako zimenisaidia sana, nimekuwa nikifanyia kazi unayoandika na hakika maisha yangu yamebadilika, asante na Mungu akubariki.â€...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi24 Sep
Njia bora za kujiwekea akiba kwa ajili ya faida ya baadaye
11 years ago
GPL
KWA NINI UJUTE BAADAYE? WAKATI NI HUU WA KUTIMIZA WAJIBU -7
11 years ago
GPL
KWA NINI UJUTE BAADAYE? WAKATI NI HUU WA KUTIMIZA WAJIBU -6
11 years ago
GPL
KWA NINI UJUTE BAADAYE? WAKATI NI HUU WA KUTIMIZA WAJIBU -8
11 years ago
GPL
KWA NINI UJUTE BAADAYE? WAKATI NI HUU WA KUTIMIZA WAJIBU -3
10 years ago
GPL
UNAJIAMINI NINI KUMPENDA MTU AMBAYE HUJUI HISTORIA YAKE?
11 years ago
BBCSwahili04 Apr
Rwanda miaka 20 baadaye nini kimebadilika?
9 years ago
Global Publishers24 Dec
Kwa nini usiwe mstahimilivu kwa mumeo hadi unachepuka?
KWANZA nianze kwa kuwasalimu wapenzi wasomaji wangu wa kona hii, assalamu alaykum na kwa wale wagonjwa ugueni pole na tuzidi kuombeana.
Baada ya kuwaeleza hayo, niingie moja kwa moja kwenye mada yetu ya leo iliyobeba kichwa cha habari, kwa nini usiwe mstahimilivu kwa mumeo hadi unafikia hatua ya kuchepuka?
Siku hizi wanawake wengi walio ndani na nje ya ndoa wameyageuza mapenzi kama vile fasheni, wanaishi katika ndoa vizuri lakini mwenza wake akipata matatizo kidogo tu anaamua kuanzisha tabia...
10 years ago
GPLIDRIS: NAFIKIRIA MAISHA YA BAADAYE SI HELA NILIZOPATA