Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


KWA NINI UJUTE BAADAYE? WAKATI NI HUU WA KUTIMIZA WAJIBU -3

MSINGI wa makala haya ni kukutaka ubaki njia kuu. Usiupuuze uhusiano wako unaokupa faraja kwa tamaa za muda mfupi. Tupo sehemu ya tatu, na ni imani yangu kubwa kwamba mwisho wa somo hili, utajifunza kitu kikubwa sana. Ni ukweli ulio wazi kuwa huna sababu ya kujuta, badala yake unachotakiwa kufanya ni kutimiza wajibu wako leo. Siku zote ni lazima ukumbuke kuwa mapenzi uliyonayo au unayopata kutoka kwa mwenzi wako hivi sasa,...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

KWA NINI UJUTE BAADAYE? WAKATI NI HUU WA KUTIMIZA WAJIBU -7

Janga kuu ambalo limeendelea kusumbua ni kuwa mtu akiwa nacho anaweza kukifuja utadhani hakitaondoka. Ni kosa kubwa kushindwa kumtunza mwenzi wako kwa kiburi tu kuwa kwako ameshafika na hataondoka. Usicheze na moyo wa mwenzio. Usifanye majaribio ya kujuta baadaye. Kufanya jambo lolote la maudhi kwa mwenzi wako kwa makusudi ni jaribio la wewe kujuta baadaye. Unayemuudhi ni binadamu, ana moyo kama ulionao wewe. Siku atakapofanya...

 

11 years ago

GPL

KWA NINI UJUTE BAADAYE? WAKATI NI HUU WA KUTIMIZA WAJIBU -8

Tunaendelea na mada yetu ambayo tulianza nayo wiki kadhaa zilizopita. Lengo ni kuwekana sawa katika suala zima la mapenzi ili asiwepo wa kuja kujuta baadaye kwa sababu alishindwa kutimiza wajibu wake kwa ampendaye. Tunaendelea na mifano ya jinsi kushindwa kutimiza wajibu kunavyoweza kuleta athari. Endelea... akuishia hapo, Hawa akaanzisha uhusiano wa pembeni na wanaume wengine. Matali alipoona mambo magumu, ikabidi aachie ngazi....

 

11 years ago

GPL

KWA NINI UJUTE BAADAYE? WAKATI NI HUU WA KUTIMIZA WAJIBU -6

Gaudensia: “Kwa hiyo umeacha makusudi ili kunithibitishia kuwa ulikuwa ukitembea na wanawake ovyoovyo?” Reina: “Siyo kutembea ovyoovyo, kwani wewe ulitegemea muda huo wote ningekuwa bila mwanamke? Acha utani kabisa, hata wewe kule Dodoma mimi nitajuaje kama siku zote hukuwa na wanaume? Tena nyie wanafunzi wa Udom kwa wabunge ndiyo zenu.” Baada ya kuzungumza hivyo, Gaudensia alianza kufanya usafi kwa...

 

11 years ago

GPL

KWA NINI TENDE ZINALIWA SANA WAKATI HUU?

Ni swali linaloulizwa na watu wengi msimu huu wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhani. Tunda hili lina historia ndefu, ukiacha imani ya kidini kuwa ni suna kuanza kufungua kwa kula tende, kisayansi tende imethibitika kusheheni madini na vitamini lukuki. ZIJUE FAIDA 10 ZA TENDE
1. Katika tende kuna kiasi kidogo tu cha mafuta (fat) na haina lehemu (kolestrol). Pasipo na chakula, mtu unaweza kuishi siku nyingi kwa kula tende tu. 2. Ukila...

 

11 years ago

GPL

UNAJIAMINI NINI HADI UJINYIME KWA AJILI YA MAISHA YA BAADAYE?

Kwanza niwashukuru wasomaji wangu ambao wamekuwa wakinipongeza kutokana na yale ambayo nimekuwa nikiyaandika kupitia safu hii. Mmoja wa wasomaji hao ni Nasra wa Kilombero ambaye ni mfanyabiashara. Kwa nini nimpe shukrani za kipekee? Hivi karibuni alinipigia simu na kuniambia: “Nakushukuru, mada zako zimenisaidia sana, nimekuwa nikifanyia kazi unayoandika na hakika maisha yangu yamebadilika, asante na Mungu akubariki.”...

 

9 years ago

Habarileo

RC ahimiza uadilifu kutimiza wajibu

VIONGOZI na watumishi wa umma mkoa wa Ruvuma wametakiwa kuwa waadilifu na waaminifu wakati wanapotekeleza majukumu yao kwa wananchi. Rai hiyo imetolewa jana na Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma, Said Mwambungu wakati akizindua baraza la madiwani la halmashauri ya wilaya ya Tunduru.

 

9 years ago

Dewji Blog

TACCEO yaitaka NEC kutimiza wajibu wake

Mtandao wa Asasi za Kiraia za Uangalizi Chaguzi Tanzania (TACCEO) umetoa tamko jana Oktoba 6, 2015 kuitaka Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) kuhakikisha sheria na kanuni zinafuatwa na haki ya Wananchi kushiriki katika mchakato wa uchaguzi wa viongozi wao unalindwa na kuheshimiwa.

Kaimu Mwenyekiti wa TACCEO Wakili, Imelda Lulu Urio akitoa tamko kwa Wanahabari (hawako pichani)

Akisoma tamko hilo mbele ya wanahabari, Kaimu Mwenyekiti wa Mtandao huo unaoratibiwa na Kituo cha Sheria na Haki...

 

10 years ago

Vijimambo

BALOZI SEIF AWATAKA WANANCHI KUSHIRIKI KWA AMANI KURA YA MAONI NA UCHAGUZI MKUU BAADAYE MWAKA HUU

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanbzibar Balozi Seif akijibu maswali aliyoulizwa na Wanahabari wa Shirika la Magazeti ya Serikali la Zanzibar leo Hafsa Golo aliyepo Kati kati na Tatu Makame wa kwanza kushoto. Ripota wa Shirika la Utangazaji Tanzania {TBC } Marine Hassan akiporomosha maswali kwa Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi wakati wa mahojiano yao kuhusu maadhimisho ya Miaka 51 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar. Picha na – OMPR – ZNZ.
                                 ...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani